Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Nilipokua form one. Nafikiri alikua Mr. DEO, kipindi hiko joel ni mwalimu wa kawaida tu alikua anafundisha chemistry, advance, alivoondoka DEO sikumbuki alikua nani tena, mana shule ilipoa haikua na mnoko mwingine.
Nmeikumbuka sana benja, tulikua tuna shift mbili kuingia asubuhi hadi saa 6. Nyingine unaanzia saa 6 mpaka 11,kulikua hakuna maswala ya kukaa assembly, yani unaweza kutega hata mwezi mzima na wala usifuatliwe,
Chimbo letu la kusoma kulikua kuna vyoo kule jengo la Azam kabla hata hawajaeka madirisha.
Kila ijumaa kulikua kuna mechi ya mpira, nakumbuka mpaka tunamaliza hatukuwah kucheza na Azania walimu wakihofia ugomvi..
Na gtaduation hamkufanyiwa loo
 
Ahahahha natamani nikujue jina lako unaanzaje kumsahau masunga jaman na asha boko
[emoji23] [emoji23] asha boko nmemkumbuka, na Masunga.. Ila niliwasahau kabisa..ulisoma science au arts.. Kama ulikia science, utakua unanijua
 
Na gtaduation hamkufanyiwa loo
yaaa hata mie mwaka niliomaliza ilikua haikuwepo graduuu zilikua za dini tu.... p2p nilichafua mno shule nzima

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Umeona wakati watu tumesoma enzi za city school enzi za Kihawa (rip) enzi za mapunjo, mama mgasa apana chezea

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
So sad sikujua kihawa hatunae!

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Nilichaguliwa benja kwenda advance nikitokea mwanza.

Niifikia kwa ndugu zangu pale tangi bovu pakishua saana nikakuta kuna janki miaka yote yuko form two hameshindwa kuvuka darasa kwa miaka kibao na kila shule anafukuzwa mara kwa Mara kwa utovu wa nidhamu akawa mwana saana na Mimi nikaanza life la udoja ni bata tu Billcanas afu nasoma A-level science...weee kidogo niliwe kichwa nikashtuka nikahamia kigamboni kwa ndugu zangu pangu pakavu ndo nikastabilize acamedicaly.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Na pale kama walabata wamejaa yani kama wote
 
85c1f562bbb3441e88006ae5f5e9fa75.jpg

Ckuiz huyo ndyo displine master jina lake maarufu ni mkoloni
 
Back
Top Bottom