Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Achana huyo wa kusuka sisi tulifanya usela mavi wa kuvamia office ya mkoloni dadeq
Mwaka gani mkuu ulikuwa form4 maana
Kuna mwaka nilikuta na kina baharia yaani ukienda chooni wanakuja kuchukua pesa zao
Kuna muhuni alikuwa na bonge LA kovu LA nyembe katikati ya USO
Sema wahuni walifanya uhuniee lakini walimuheshimu joeli sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma pale advance tu
 
Benjamin William mkapa high school
I pray so much
I love so much
I pray with all my heart

Formally city high school
G....in 1999
To render good service to the nation....
 
hehehehe.... sisi sir kiumbe alitukataa mapema hivyo tulilisongosha na maticha wa temple tu
Nakumbuka mkuu
Sema mlifanya poa alafu tukafuata sisi
Division one 53
Kuna Dada PCB alipiga 1ya5 n
Aisee ile shule nimesikia majirani zetu kina jangwani,Azania,tambaza wanaiogopa wanaiona kama feza high vile
Mkuu acha tuu
 
Back
Top Bottom