vp kuhusu mwalimu deo nae humkumbukiO level hapo. Mwaka 2009.mwalimu Joel. A. K. A magongo, bi fuksa, hawa Ndo ninao wakumbuka ika hawakuwahi kunfundisha..
Mwalimu wangu aliyenfundisha hata mmoja simkumbuki kwa jina lake..
Labda mwalimu Ommary yule mmama wa chemistry lab pale ground floor..
Joel yupo second masterO level hapo. Mwaka 2009.mwalimu Joel. A. K. A magongo, bi fuksa, hawa Ndo ninao wakumbuka ika hawakuwahi kunfundisha..
Mwalimu wangu aliyenfundisha hata mmoja simkumbuki kwa jina lake..
Labda mwalimu Ommary yule mmama wa chemistry lab pale ground floor..
Deo ndo umenkumbusha wew.. Huyu nakumbuka alihama mwaka 2006 tukiwa form one. Alikua mtu wa sifa sana..vp kuhusu mwalimu deo nae humkumbuki
Nilipokua form one. Nafikiri alikua Mr. DEO, kipindi hiko joel ni mwalimu wa kawaida tu alikua anafundisha chemistry, advance, alivoondoka DEO sikumbuki alikua nani tena, mana shule ilipoa haikua na mnoko mwingine.Enzi zenu displine master alikuwa nan? Sis alikuwepo mkoloni jamaa flan iv mnoko sana
Kwaiyo ulikua doja auO level hapo. Mwaka 2009.mwalimu Joel. A. K. A magongo, bi fuksa, hawa Ndo ninao wakumbuka ika hawakuwahi kunfundisha..
Mwalimu wangu aliyenfundisha hata mmoja simkumbuki kwa jina lake..
Labda mwalimu Ommary yule mmama wa chemistry lab pale ground floor..
Ndio nilikua doja, ila pia walimu hatukua nao, kipindi cha likizo nilikua naingia zangu mchikichini tukifungua nimemaliza sylabus nikawa naingia zangu class kimachale. Mda mwingi nilikua napiga msuli chimbo.Kwaiyo ulikua doja au
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app