Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

Form IV class of 2011... Much respect to MATESHI ESB kati ya waalimu ntakao wakubali maisha yangu yote... Bila kuwasahau Franco, Mkindi, Madam Kassim

Nakumbuka mzee alitaka kunihamisha anipeleke boarding ila ufundishaji wa Mateshi ukanipa ujasiri wa kumwambia asihangaike.... Am glad I made it.

Nimepata taarifa kastaaf this year April.
Haha ha ha Franco bana
 
Haha. naona Sergio kapigwa ban na uzi ndio umeishia hapo.

Baada ya miaka mitano nataka nikachukue cheti changu pale, hadi sasa ntakuwa nadaiwa kama 15k hivi ya file masijala huwa wana charge buku3 kwa mwaka,

Kwa ambao hamjachukua cheti bado au mnaotaka kwenda kutembelea shule yetu ni vema tukapanga siku tuende wote tukatoe motivation speech kwa madogo[emoji111][emoji111]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom