Kanzo cha ayo mafanikio ni Mr JoelNakumbuka mkuu
Sema mlifanya poa alafu tukafuata sisi
Division one 53
Kuna Dada PCB alipiga 1ya5 n
Aisee ile shule nimesikia majirani zetu kina jangwani,Azania,tambaza wanaiogopa wanaiona kama feza high vile
Mkuu acha tuu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Azaboy,Jangwani yamebaki majina tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nakumbuka mkuu
Sema mlifanya poa alafu tukafuata sisi
Division one 53
Kuna Dada PCB alipiga 1ya5 n
Aisee ile shule nimesikia majirani zetu kina jangwani,Azania,tambaza wanaiogopa wanaiona kama feza high vile
Mkuu acha tuu
Kumbe tulioanza 2010 hadi 2016 tupo humuAaaaaah
Kumbe umeniuliza mie??
Mie nipo chuo mwaka wa pili naingia sasa ila benja nimetoka 2016 tokea 2010
Yaani one to six
Ex_benja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii record hadi leo haijavunjwaTokea shule ile ianzishwe ni
Form4 2010 na form6 2016 ndio matokeo mazito
Division one 45 na 53 respectively
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitoka hapo 2009 form four.. Tulikua na division 1 nazani 33..ila mwaka wetu nazani ndo mwaka ambao zlitoka one kali... Waliopata point 10 hadi 13.nazani tulifka zaidi ya 12..Hii record hadi leo haijavunjwa
Yeah boss hakuna mvunjaji tene kwa vizazi ivi vya visengeliHii record hadi leo haijavunjwa
Safi sanaNilitoka hapo 2009 form four.. Tulikua na division 1 nazani 33..ila mwaka wetu nazani ndo mwaka ambao zlitoka one kali... Waliopata point 10 hadi 13.nazani tulifka zaidi ya 12..
ChuleHiyo chule ni ya vilaza sana!!!!!!Sizani kama wahitimu wake wanaweza hata kujumulisha sehemu.