Getting Money from parents as a Kid is a victory but a defeat as an Adult....

"Isingekuwa aibu ya uvamizi siku ile Makonda angeamuru Nape leo awekwe ndani kwa kuhisi anaweza kuvuruga msiba wa Ruge" hivyo madaraka tusiyatumie vibaya
Kama thread isemavyo tupia maneno yaliyokugusa kwa namna moja ama nyngne au ile unayoikubali hasawa...Yangu hiiView attachment 2370047

Hii ya mabaharia wakiwa wanatafuna posho zao...“SEA NEVER DRY AND MAN DON’T CRY”