RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,821
- 129,719
From nowhere jamaa kaanza kunitukana,mbona wewe hujajibu matusi?Please tusifike huko.
From nowhere jamaa kaanza kunitukana,mbona wewe hujajibu matusi?Please tusifike huko.
You better..Ngoja nikupuuze..
!!Walisema nini?Nani hasa aliesema vibaya Hadi Rais Samia...akaingilia..
From nowhere?From nowhere jamaa kaanza kunitukana,mbona wewe hujajibu matusi?
From nowhere jamaa kaanza kunitukana,mbona wewe hujajibu matusi?
Nakubaliana na wewe lakini alinikera zaidi habari za JF anafikia kuingiza hadi wazazi wakati hakuna popote nilipohusisha wazazi wake!!Please tusifike huko.
Watu wamekereka na lugha ya chuki ya mzee makamba aliyotoa jana kule Dodoma kwenye mkutano mkuu wa CCMMbona mnatukana sana leo kuna nini?
SawaNadhani Kuna post moja Kuna mdau alimtuhumu kuwa muaji wa Magufuli so akareact kwa kudhani ni wewe ndio umemtuhumu. It was just emetional.
Mbona Kikwete hakufa kwa kupona Dr Ulimboka?Ukweli ni kwamba Lissu kupona ndio kulikomfanya yule dikteta afe maana hakuamini ameponaje. Kupona kwa Lissu ndio kilikuwa kifo Cha dikteta. Damu ya mtu ni nzito kuliko maji.
Jamaa ana hoja, yaani mfano kata nayoishi hatukufanya uchaguzi wa serikali za mitaa wala udiwani Wala ubunge wote hao walipiga bila kupingwa kiufupi hatukuona kampeni Wala hatukuchagua mtu!!Unataka kusema lisu alipata Kura nyingi kuliko Magufuli?aisee anayefikira hivi amefika kiwango kidogo cha kufikiria.wanachama Tu wa CCM ni wengi kiasi cha kumpa mgombea ushindi ebu tumia akili sometimes.
Kiazi kweli wewe!We lazima itakuwa ulikuwa unakazwa na marehemu, msen'ge mkubwa wewe
..hotuba nzima ya Mzee Makamba hii hapa.
..naomba muisikilize ili kutenda haki.
..kwa mtizamo wangu kuna baadhi yetu wanaikuza au kuipa tafsiri potofu kauli za Mzee Makamba.
..kinachoendelea hapa ni sehemu ya michezo michafu ya siasa.
Miaka yote tunasikia malalamika ya wizi wa kura katika chaguzi zote watu wanajua ccm inaendelea kutawala kwa sababu ya wizi wa kura na kutumia nguvu ya dola, sasa wewe unataka kutuaminisha kwamba huo wizi wa kura kitu kipya alichokileta Magufuli.Kalinde kaburi chato. Kumpenda hakuzuii ukweli kuwa lilikuwa jizi la kura.
Rais mwenyewe alisharekebisha ila machawa wake bado wamekaza fuvu.
Mungu akubariki kwa maneno yako ya hekima na busara.Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well 🙏
Kwa akili yako aliyokuwa anayofanya huyo mmeo unaona Ni sawa kwa akili. Mwamba alikuwa anawatafutiwa mwanya wavunje sheria watengue contracts za madini za gesi ili iwe kwa faida yetu sote. Wewe unaropoka. Nikuambie wenye vidomo Domo wanamalizwa ili wanyamaze. Nchi nyingi mno wanafanya viongozi mkuu. Soma history.
Ila tuache, mie nilikuwa na machungu na nchi inavyoliwa na wachache.
Na ndiye anayelipiza kisasi. Kuna kila dalili kwamba wengine wanaona wana hati miliki ya nchi kuliko wengineMungu yupo na ni wetu sote.
Kama Mungu alivyoingilia kati kwa Dr. UlimbokaAlikuwa afe Mungu akaingilia Kati.