econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 22,138
- 32,716
Angekubalika angeiba kura 2020?.
Sawa miongoni mwa wasio na akili na maskini waliohitaji faraja alikuwa anakubalika ndio japo sio kwa wakulima..
Hawa mbona hawana muda mrefu Mungu atawatejeza kwake? Na huyu babu ndio kawamaliza Kwa hizo kauli...!Nanukuu kutoka kwa mzee Makamba "Watu wazuri huwa hawafi ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!"
Hii kauli ndio imeleta utata huko.
Hizo ni kelele za mafisadi wachache waliozibiwa mianya yao ya kitapeli; Watanzania wengi tunasimama na Magufuli. Mama Magufuli awe na moyo mkuu!
Kwakweli haya ni maajabuAngekubalika angeiba kura 2020?.
Mariamu akasema, Moyo wangu wamwadhimisha Bwana,
Na roho yangu imemfurahia Mungu, Mwokozi wangu;
Kwa kuwa ameutazama Unyonge wa mjakazi wake. Kwa maana, tazama, tokea sasa Vizazi vyote wataniita mbarikiwa;
Kwa kuwa Mwenye nguvu amenitendea makuu, Na jina lake ni takatifu.
Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi Kwa hao wanaomcha.
Amefanya nguvu kwa mkono wake; Amewatawanya walio na kiburi katika mawazo ya mioyo yao;
Amewaangusha wakuu katika viti vyao vya enzi; Na wanyonge amewakweza.
Wenye njaa amewashibisha mema, Na wenye mali amewaondoa mikono mitupu.
Amemsaidia Israeli, mtumishi wake; Ili kukumbuka rehema zake;
Kama alivyowaambia baba zetu, Ibrahimu na uzao wake hata milele.
Watu wazuri hawafi. Tunumdu Lissu alipona.Hata mke wa Lissu alikuwa na moyo mkuu, mmewe akapona
🙄🙄🙄🙄 Rais wa moyo wanguCHADEMA ndio walikuwa wanakupenda tangu ukiwa waziri na ndio walipbana mpaka msiba wako ukatangazwa.
Hawa mbona hawana muda mrefu Mungu atawatejeza kwake? Na huyu babu ndio kawamaliza Kwa hizo kauli...!
🙄🙄🙄🙄 Rais wa moyo wanguView attachment 2440061
Nimesoma ,nikahuzunika sana ,anaway,hawa wazee walimtenda yule marehemu
Ukweli ni kwamba leo mtu mzima amekosea, ameropokwa na ametia aibu.
Kauli yake haikuwa ya afya na Rais amejua alimaanisha nini na ndio maana akashindwa kuikalia kimya.
Heshimu hisia na machaguzi ya mtu, kutomoenda wewe sio lazima wote tuwe hivyo. Tupo aligusa maisha yetu huwezi pendwa na wote na huwezi kubarika na wote. Nina mpenda nitamkumkumbuka daima ni rais wangu daima moyoni na akiliniUlimsaidia kunajisi uchaguzi?
Makamba Snr
Kuwa wabaya washakufa
Wazuri hawafi ndo mana JK na Kinana wapo
Mbona unaikwepa hoja unanishambulia mtoa hoja. Yaelekea kichwani umejaza takataka badala ya ubongoAisee kumbe kichwa umejaza utoko?
Kwa akili yako aliyokuwa anayofanya huyo mmeo unaona Ni sawa kwa akili. Mwamba alikuwa anawatafutiwa mwanya wavunje sheria watengue contracts za madini za gesi ili iwe kwa faida yetu sote. Wewe unaropoka. Nikuambie wenye vidomo Domo wanamalizwa ili wanyamaze. Nchi nyingi mno wanafanya viongozi mkuu. Soma history.
Ila tuache, mie nilikuwa na machungu na nchi inavyoliwa na wachache.
Mungu ipokee roho ya Ben SaaNane , Amina .Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well![]()
Huenda kauli hizo zinamfariji , waulize majirani unyama alioupitiaIla jamaniiiii huyu mama anavumilia mengi, kama ni mm nisinge fika kwenye hvyo vikao, hata kama mumewe alikua na mapungufu ila sio kwa kusikia kauli hizi jamaniiiii 🥲