Special message to Mama Janeth Magufuli

Special message to Mama Janeth Magufuli

Ajue hayuko peke yake. Kila raia wa kawaida ambao ndio tupo wengi bado tunabubujikwa machozi. Na hawa tunajua Mungu atawalipa kwa namna ya ajabu. Maana chozi la mnyonge halitadunda bure sakafuni.
Kutowaongeza mishahara watumishi wa serikali kama sheria inavyotaka, kwani wao siyo raia wa kawaida
 
Wakuu
Mtakie kila lililo la kheri Mama Janeth Magufuli kuonesha kua mamilioni yetu tupo pamoja nae na anastahili kuheshimiwa na watu wote kwani nae anatuheshimu watu wote.

IMG_1014.jpg
 
Acha uchochezi na uchongqnishi mleta mada. Hakuna aliyemnanga jiwe leo. Hayo ni mawazo yako tu.

Hebu mtaje mtu aliyemtaja jiwe kwa jina lake. Vinginevyo ni uzushi na uzandiki tu unaojaribu kuueneza.
Hujawahi kuwa na akili, fukara wewe.
 
Unadhani hatujui tofauti ya chaguzi chini ya Magufuli na nyingine? Kabla ya Magufuli CCM ilikuwa inaiba kura, na bado wapinzani walikuwa wanazidi kuongezeka. Magufuli alipoona kuiba hakutampa kura atakazo zaidi ya fedheha, akaamua kupora mchakato wa uchaguzi. Kama hujui tofauti ya hili basi huna ujualo.
Unazungumzia ubunge na udiwani si ndio? Maana kwenye upande wa urais mlisha ridhia kwamba hiyo ni nafasi ya ccm tu nyie mtagawana nao ubunge na udiwani tu.

Hiyo ndio tofauti unayoizungumzia ya hali ya uchaguzi?
 
Kila siku tumesema CCM inaanguka but still ipo huo mwisho unaousema haupo Kijana narudia haupo may be kizazi hiki kiishe kije kingine
Upo tena unajengeka kwa kasi ...wewe huoni wanavyo fanya madudu ya kuumiza nyoyo za watz ....ukiona hayo ujue ndiyo mwisho unajongea wapo katika pumzi ya mwisho wewe huoni wanavyo raruana wao kwa wao kwa chuki kubwa. Tena magufuli ndiye kawa sumu ya kuiangamiza ccm kwa sababu wanapambana na marehemu kwa kuwakomoa raia
 
Yote uliyoouliza nimeyasema kwenye post hiyo hiyo uliyoi-quote! Kama unatarajia jibu lingine tofauti na hayo, SINA!
Sijaona ulipoeleza kwanini Mzee makamba azumgumzie suala la Samia kama itatokea akafariki kabla ya 2025.
 
Back
Top Bottom