Special message to Mama Janeth Magufuli

Special message to Mama Janeth Magufuli

Acha kujifanya unanmijua, kima wewe...

Yaani unajiona una uchungu na Magu kuliko Mama Janeth mwenyewe...

Au nulikuwa mke mwenzake?
Tulia wewe na ujinga wako, usianze kutolea watu lugha za maudhi ili kuficha upuuzi wako.
 
Mpaka kesho Adolf Hitler anasemwa vibaya mno licha ya kwamba alikufa zaidi ya miaka 70 iliyopita. Magufuli ni nani watu wasimseme?

Kama ambavyo Hitler aliwaumiza watu enzi za utawala wake, vivyo hivyo na Magufuli amewaacha baadhi ya Watanzania wakiwa na majeraha mazito mioyoni mwao.

Wapo wanaoamini ndugu zao waliuawa au kupotea kwa amri au maelekezo yake. Wapo waliodhulumiwa mali na kufungwa jela bila hatia. Hawa wote bado wanamchungu mengi sana na marehemu. Na sasa ndiyo nafasi yao ya kutoa nyongo. Tuwaache watoe yao ya moyoni.

Pia wapo ambao Magufuli aliwatendea mema. Pia wanahaki ya kuwa upande wake.
 
Roho mbaya kuliko aliyesema angekuwa rais wa Zanzibar asinge sign makaratasi Maalim akatibiwe nje?. Mwenye roho mbaya anajulikana ndio maana siku hizi hakuna watu wasio julikana na kupiga wabungr risasi hadharani au kuvamia vituo vya redio.
Kwa mara ingine unajibu bila kujua namaanisha nini
 
Please Mimi Sina mahaba na huyo mzee tangu alipokuwa katibu mkuu CCM na Mimi CHADEMA. Tangu kipindi hicho siivi na mzee makamba. Ila kwenye ukweli tuseme. Mzee makamba hakumuongelea Magufuli per se, issu ya Magufuli imekuja na kujishtukia.

Ni sawa mtu ana VVU halafu atokee Rafiki yake aseme tujihadhari na ukimwi ndugu zangu. Yule mwathirika atajishtukia kwamba anasemwa yeye.
Huwezi kutetea ujinga wa Makamba huku ukisema huna mahaba nae.

Listen, kilichotokea baada ya ile kauli ya Mzee Makamba ni hali ya kawaida, hao wengine mnaowatumia kusema kwamba mbona wao hawalalamiki ni kwasababu wao hawana kundi kubwa la kuwasemea, lakini kimsingi nao wameumizwa na kauli ile.

Kwa Magufuli imekuwa tofauti kwasababu yeye ana kundi kubwa la kumsemea, ndio maana sasa mko busy kujibizana nalo, lakini kimsingi hata wale wasio na kundi kubwa nyuma yao, nao hawakupendezwa na kauli ya Mzee Makamba jana, ndio maana Samia akamuombea radhi.
 
Mpaka kesho Adolf Hitler anasemwa vibaya mno licha ya kwamba alikufa zaidi ya miaka 70 iliyopita. Magufuli ni nani watu wasimseme?

Kama ambavyo Hitler aliwaumiza watu enzi za utawala wake, vivyo hivyo na Magufuli amewaacha baadhi ya Watanzania wakiwa na majeraha mazito mioyoni mwao.

Wapo wanaoamini ndugu zao waliuawa au kupotea kwa amri au maelekezo yake. Wapo waliodhulumiwa mali na kufungwa jela bila hatia. Hawa wote bado wanamchungu mengi sana na marehemu. Na sasa ndiyo nafasi yao ya kutoa nyongo. Tuwaache watoe yao ya moyoni.

Pia wapo ambao Magufuli aliwatendea mema. Pia wanahaki ya kuwa upande wake.
Rais Gani hajawahi kuumiza watu?hao siku zao zinahesabika
 
Hakuna haja ya kuheshimu wazee wapumbavu kama huyu.

Wakihara unawaharishia tu. Iko hivyo.

Kuhara kwenye kabuli la wazee huoni unajitafutia laana halafu ni Jambo la aibu. Ili kauli ya kisiasa take it easy.
 
Acha uchochezi na uchongqnishi mleta mada. Hakuna aliyemnanga jiwe leo. Hayo ni mawazo yako tu.

Hebu mtaje mtu aliyemtaja jiwe kwa jina lake. Vinginevyo ni uzushi na uzandiki tu unaojaribu kuueneza.
Sio lazma ucomment vingine Uzi kama haukuhusu pita kimya
 
Move on, tafuta basha mwingine wa kusafisha huo mtaro... hawezi kurudi tena duniani, cho'ko wewe

Move on, tafuta basha mwingine wa
kusafisha huo mtaro... hawezi kurudi tena duniani, cho'ko wewe

Mkuu wasamehe
 
Back
Top Bottom