denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,487
- 68,267
Kwa hiyo kama ndio akachomekea wazuri huwa hawafi, ni sawa na kumaanisha kitu gani kwa waliokufa?Unajua wabaya ndio hujishuku bila kutajwa. Mzee alikuws anajisahihisha baada ya kusema mama asipofika 2025 Mungu ataleta mwingine ndipo akachomekea wazuri huwa hawafi. Sasa kwa muktadha huo alikuwaambiaje anamuongelea Magufuli au anamsifia mama kwamba ni mzuri hatakufa mapema.
Tuache kuishi in denial.
Punguzeni haya mahaba yenu, mnazidi kumuharibu huyo mzee.