Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Tena uchunguzi wangu umegundua wanaume ndio wanaosababisha wake zao kuwa na vitambi. Wife akisema niko kwenye diet nyie mnawabembeleza wale...kula kidogo tu darling; msosi wa leo mtamu kula, afu mnakuja ku complain oooh amfanyi mazoezi...mazoezi huku unafukia ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Bila support ya wanaume wanawake kupungua ni ndoto.


Cheza na jimama lenye kitambi wewe! Waego kunyweni tu ili tupate burudani kunako 6 x 6
 
Tena amepigilia skin tight na juu katupiamo body suti kwi kwi kwi....

Asante kwa kutupa ushauri bibie, nimeuchukulia vizuri kabisa ukizingatia kitambi sivifagilii pia. Unakuta mdada kabinuka kitambi mbele na nyuma baraka za allah.. mweeeh!!
 
Mrembo ya nature, siku hizi naona wamama/wadada walau tunajitahidi kufanya mazoezi. mie huwa nafanya mazoezi pale home boys mwenge wadada/wakaka/wamama tunajaa balaa. Mwalimu mwenye alivyo mkali hataki kuona vitambi ndani ya miezi miwili basi tunakomajee!
 

kazi kwao wenye matumbo
sie wengine mlo mmoja kwa siku
hiyo bia tuipate wapi,figure zinajimaintain zenyewe tuu
pacha Lady doctor we huna likitambi?mazoezi muhimu jamani!!
 
Last edited by a moderator:

kazi kwao wenye matumbo
sie wengine mlo mmoja kwa siku
hiyo bia tuipate wapi,figure zinajimaintain zenyewe tuu
pacha Lady doctor we huna likitambi?mazoezi muhimu jamani!!

mi nakitambi cha nyuma pacha cha mbele bado sijabarikiwa....!
Gym naendaga kutoa Hi to!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kweli bana, unakuta mdada ana Tumbo,minyama ya pembeni hata akivaa nguo hapendezi!....halafu ndo wavaa tyt na top!
....haya wale washinda bar, teh teh
 
Back
Top Bottom