Visababishi vikuu vya upungufu wa nguvu za kiume

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,721
Reaction score
870,435
Hili tatizo linazidi kukua kwa kasi ya ajabu na wahanga ama wanapotoshwa tiba na kinga ama hawajui cha kufanya huku wengi wakifanya ni siri kubwa...na kati yao wapo wa makundi matatu hivi
Waathirika wapya/ waathirika wa mwanzo/ waathirika tarajiwa
Waathirika wa kati
Waathirika sugu

Vitu hivi vine ndio kaburi kuu la nguvu za kiume kwa kizazi cha sasa

1. Vyakula
Wengi wetu hatujui wala hatuzingatii milo yetu, hatuli milo kamili, hatuli kulingana na kazi zetu ,hatuli kufuatana na majira, hatuli kwa wakati
Wengi wetu tunakula vyakula mfu na vyenye kemikali,vyakula hivi vya madukani vya kusindika na vilivyokaa muda mrefu kwenye makopo na vifungashio ni vibaya mno kwa afya ya mwili
Wengi wetu tunakula vyakula vya mafuta 24/7, na hatufanyi ama hatuzingatii mazoezi.. mafuta ya ziada mwilini ni sumu mbaya kwa nguvu za kiume
Wengi wetu hatuli vyakula fresh, hatuli matunda wala hatuli vya kuchemsha , kuchoma, kubanika ama vya mvuke View attachment 1704517

2. Pombe na vilevi
Hapa nijikite zaidi kwenye pombe na hii ina waathirika makundi mawili
Kundi la kwanza ni wale mabosi mambo safi , asubuhi chai ya haja kisha kwenye gari ofisini, mchana lunch ya nguvu jioni pombe na michemsho ya bar ama nyama choma kisha usiku dinner ya haja,,baada ya hapo kulala
Kundi la pili watu wasio na kipato kikubwa , maisha ya kuungaunga mlo wa shida, hivyo kukimbilia pombe kali za bei poa
Pombe zinachosha sana mwili na misuli ukiinywa kwa wingi na kila wakati bila mazoezi na bila kupumzisha mwili
View attachment 1704516

3.Uchovu na mazoezi
Wengi wetu tunatumia muda mwingi kutafuta pesa na muda unaobaki hatufanyi mazoezi wala hatupumziki bali tunakimbilia kwenye tv na vilevi...misuli ya mwili isiposhughulishwa inalemaa kuwa dhoofu na kusinyaa
Mavyakula tunayokula yana sumu nyingi, pia yana sukari na mafuta mengi.. hivi vikiingia mwilini vinahitaji kushughulishwa ili vibaki kwa kiwango kinachotakikana tuu
Wengi hurudi majumbani saa tatu usiku na kuendelea na kudamka alfajiri bila kulala vizuri bila mazoezi

4. Msongo wa mawazo(stress) na uchovu wa akili
Maisha tuliyonayo ni ya kukimbizana na shilingi..mahitaji ni mengi kuliko kipato, familia ni kubwa kuliko uwezo, majukumu ni makubwa kuliko umri
Ni muhimu kupangilia mambo yako ili usiichoshe sana akili yako wala usipate stress nyingi, fanya yale ya lazima kwanza kisha ya msingi halafu ya muhimu.... fanya kinachowezekana kwa wakati wake usilazimishe
Ngono haitaki uchovu wala stress View attachment 1704518

5. Punyeto
Kujichua ni hatua ya makuzi lakini ikikuganda umekwisha...wengi hushindwa kutoka kwenye hili shims na wengine ni kutokana na aibu, kipato na ubahili huku wengine wakihofia maaumbile yao, ufundi na kuogopa magonjwa..punyeto linachosha sana msuli mkubwa na kuuzoesha kumaliza ndani ya dakika
giphy.gif

Sasa wengi hatuzingatii hayo na kinachofuata ni kutafuta tiba mkato....boosters, dawa za kuongeza nguvu za kiume na zile za kuchewelesha kufika kileleni...hapa sasa ndio watu wanamalizwa na ndio wafanyabiashara wanapiga pesa
Kinachobaki ni mwendo wa kula hovyo, kunywa hovyo kisha viagra na vumbi...kumbuka kadiri unavyozidi kutumia ndivyo unavyozidi kuwa tegemezi na kuhitaji zaidi

Kama ukosefu wako wa nguvu za kiume si tatizo la asili fanya haya utapona bila gharama kubwa
Pangilia vyakula
Tumia vilevi kwa uchache sana
Fanya mazoezi
Epuka vyakula vya mafuta na vya kusindika
Pata muda wa kupumzika na kupumzisha akili
Jitahidi sana uache PUNYETO
 
Hili tatizo linazidi kukua kwa kasi ya ajabu na wahanga ama wanapotoshwa tiba na kinga ama hawajui cha kufanya huku wengi wakifanya ni siri kubwa...na kati yao wapo wa makundi matatu hivi
Waathirika wapya/ waathirika wa mwanzo/ waathirika tarajiwa
Waathirika wa kati
Waathirika sugu

Vitu hivi vine ndio kaburi kuu la nguvu za kiume kwa kizazi cha sasa

1. Vyakula
Wengi wetu hatujui wala hatuzingatii milo yetu, hatuli milo kamili, hatuli kulingana na kazi zetu ,hatuli kufuatana na majira, hatuli kwa wakati
Wengi wetu tunakula vyakula mfu na vyenye kemikali,vyakula hivi vya madukani vya kusindika na vilivyokaa muda mrefu kwenye makopo na vifungashio ni vibaya mno kwa afya ya mwili
Wengi wetu tunakula vyakula vya mafuta 24/7, na hatufanyi ama hatuzingatii mazoezi.. mafuta ya ziada mwilini ni sumu mbaya kwa nguvu za kiume
Wengi wetu hatuli vyakula fresh, hatuli matunda wala hatuli vya kuchemsha , kuchoma, kubanika ama vya mvuke

Ngono haitaki uchovu wala stress

Shamsa hakubaliani na wewe [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
JamiiForums-1288806074.jpg

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Umeongea mambo ya muhimu sana. Mazoezi na vyakula bora ndiyo kila kitu si kwa nguvu za kiume tu bali katika mfumo mzima wa maisha na kudumisha afya zetu.
 
Shamsa hakubaliani na wewe [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1704229

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Umeongea mambo ya muhimu sana. Mazoezi na vyakula bora ndiyo kila kitu si kwa nguvu za kiume tu bali katika mfumo mzima wa maisha na kudumisha afya zetu.

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Huyo demu kaongea upande wao[emoji3][emoji3][emoji3][emoji12]na kwa uzoefu wake...imagine mtoto wa kike kaanza kupelekewa moto at the age of 15, msingi, sekondari, chuo....ladha zote keshaonja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila mkuu watu tumepiga punyeto miaka zaidi ya kumi still bado hatuna upungufu wa nguvu za kiume...au madhara yanaonekana baada ya miaka mingapi?

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app

Unapiga kwa timing labda na pengine unakula vizuri na kufanya mazoezi ila sasa madhara utakutana nayo utakapoingia kwenye ndoa
 
Hili tatizo linazidi kukua kwa kasi ya ajabu na wahanga ama wanapotoshwa tiba na kinga ama hawajui cha kufanya huku wengi wakifanya ni siri kubwa...na kati yao wapo wa makundi matatu hivi
Waathirika wapya/ waathirika wa mwanzo/ waathirika tarajiwa
Waathirika wa kati
Waathirika sugu

Vitu hivi vine ndio kaburi kuu la nguvu za kiume kwa kizazi cha sasa

1. Vyakula
Wengi wetu hatujui wala hatuzingatii milo yetu, hatuli milo kamili, hatuli kulingana na kazi zetu ,hatuli kufuatana na majira, hatuli kwa wakati
Wengi wetu tunakula vyakula mfu na vyenye kemikali,vyakula hivi vya madukani vya kusindika na vilivyokaa muda mrefu kwenye makopo na vifungashio ni vibaya mno kwa afya ya mwili
Wengi wetu tunakula vyakula vya mafuta 24/7, na hatufanyi ama hatuzingatii mazoezi.. mafuta ya ziada mwilini ni sumu mbaya kwa nguvu za kiume
Wengi wetu hatuli vyakula fresh, hatuli matunda wala hatuli vya kuchemsha , kuchoma, kubanika ama vya mvuke

2. Pombe na vilevi
Hapa nijikite zaidi kwenye pombe na hii ina waathirika makundi mawili
Kundi la kwanza ni wale mabosi mambo safi , asubuhi chai ya haja kisha kwenye gari ofisini, mchana lunch ya nguvu jioni pombe na michemsho ya bar ama nyama choma kisha usiku dinner ya haja,,baada ya hapo kulala
Kundi la pili watu wasio na kipato kikubwa , maisha ya kuungaunga mlo wa shida, hivyo kukimbilia pombe kali za bei poa
Pombe zinachosha sana mwili na misuli ukiinywa kwa wingi na kila wakati bila mazoezi na bila kupumzisha mwili

3.Uchovu na mazoezi
Wengi wetu tunatumia muda mwingi kutafuta pesa na muda unaobaki hatufanyi mazoezi wala hatupumziki bali tunakimbilia kwenye tv na vilevi...misuli ya mwili isiposhughulishwa inalemaa kuwa dhoofu na kusinyaa
Mavyakula tunayokula yana sumu nyingi, pia yana sukari na mafuta mengi.. hivi vikiingia mwilini vinahitaji kushughulishwa ili vibaki kwa kiwango kinachotakikana tuu
Wengi hurudi majumbani saa tatu usiku na kuendelea na kudamka alfajiri bila kulala vizuri bila mazoezi

4. Msongo wa mawazo(stress) na uchovu wa akili
Maisha tuliyonayo ni ya kukimbizana na shilingi..mahitaji ni mengi kuliko kipato, familia ni kubwa kuliko uwezo, majukumu ni makubwa kuliko umri
Ni muhimu kupangilia mambo yako ili usiichoshe sana akili yako wala usipate stress nyingi, fanya yale ya lazima kwanza kisha ya msingi halafu ya muhimu.... fanya kinachowezekana kwa wakati wake usilazimishe
Ngono haitaki uchovu wala stress

5. Punyeto
Kujichua ni hatua ya makuzi lakini ikikuganda umekwisha...wengi hushindwa kutoka kwenye hili shims na wengine ni kutokana na aibu, kipato na ubahili huku wengine wakihofia maaumbile yao, ufundi na kuogopa magonjwa..punyeto linachosha sana msuli mkubwa na kuuzoesha kumaliza ndani ya dakika

Sasa wengi hatuzingatii hayo na kinachofuata ni kutafuta tiba mkato....boosters, dawa za kuongeza nguvu za kiume na zile za kuchewelesha kufika kileleni...hapa sasa ndio watu wanamalizwa na ndio wafanyabiashara wanapiga pesa
Kinachobaki ni mwendo wa kula hovyo, kunywa hovyo kisha viagra na vumbi...kumbuka kadiri unavyozidi kutumia ndivyo unavyozidi kuwa tegemezi na kuhitaji zaidi

Kama ukosefu wako wa nguvu za kiume si tatizo la asili fanya haya utapona bila gharama kubwa
Pangilia vyakula
Tumia vilevi kwa uchache sana
Fanya mazoezi
Epuka vyakula vya mafuta na vya kusindika
Pata muda wa kupumzika na kupumzisha akili
Jitahidi sana uache PUNYETO
To be honest siwez kuzuia mamillion ya watu kwa sababu ya kumfurahisha bi.tch mmoja

Acha nieendelee kuscore goli mbili ndani ya dakika 5 ile ki chicharito
 
Yote uliyonena ni sahihi kabisa, hasa hili la kuishi kisasa. Yaani mtu anaogopa kutembea kwa miguu au kuendesha baskeli ili asionekane kafulia.

Mfano mtu anafanya kazi KKoo na kuoshi Magomeni kila siku anagombania mwendokasi au boda boda ili aonekane yupo uchumi wa kati, hapo lazima utafute mkongo.

Pia hili la Rambo nalo linachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza tatizo. Hata kama misuli haipo imara sana ukikutana na kitu tight utajishangaa mwenyewe kuwa ndio wewe wa kila siku, ila kama unakutana na haya marambo tena yana freza ndani hapo tena kwisha habari yako
 
Thanks Mkuu. Hii ni very resourceful, kuhusu kula, kupumzika na unywaji wa pombe sina shida nako. Shida kwenye mazoezi, nimeanza mazoezi wiki ya tatu sasa, so, naamin very soon nitakuwa ninatoa show ya uhakika.
 
To be honest siwez kuzuia mamillion ya watu kwa sababu ya kumfurahisha bi.tch mmoja
To be honest siwez kuzuia mamillion ya watu kwa sababu ya kumfurahisha bi.tch mmoja

Acha nieendelee kuscore goli mbili ndani ya dakika 5 ile ki chicharito

[emoji15][emoji16][emoji15][emoji16][emoji16]kupanga ni kuchagua
 
Yote uliyonena ni sahihi kabisa, hasa hili la kuishi kisasa. Yaani mtu anaogopa kutembea kwa miguu au kuendesha baskeli ili asionekane kafulia. Mfano mtu anafanya kazi KKoo na kuoshi Magomeni kila siku anagombania mwendokasi au boda boda ili aonekane yupo uchumi wa kati, hapo lazima utafute mkongo.
Pia hili la Rambo nalo linachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza tatizo. Hata kama misuli haipo imara sana ukikutana na kitu tight utajishangaa mwenyewe kuwa ndio wewe wa kila siku, ila kama unakutana na haya marambo tena yana freza ndani hapo tena kwisha habari yako

Kuna Rambo
Kuna Tanganyika
Kuna Mtera
Kuna baridi
Kuna nyamafu
Hisia, usafi, utundu na size ya kiwanja pia ni vichokoo muhimu sana
 
Thanks Mkuu. Hii ni very resourceful, kuhusu kula, kupumzika na unywaji wa pombe sina shida nako. Shida kwenye mazoezi, nimeanza mazoezi wiki ya tatu sasa, so, naamin very soon nitakuwa ninatoa show ya uhakika.

Hizi ndio sumu zenyewe
Mayai ya kisasa kemikali tupu
Viazi mkaango full mafuta
Kitimoto roast mafuta juu ya mafuta...vyote hivyo tumboni[emoji24][emoji24][emoji24]
IMG_0955.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom