maji nayanywa haswaaaa tena ya moto/uvuguvugu, mdogo wangu wacha tu nikianza mazoezi week ya kwanza tu viungo vikianza kuniuma fulani naacha! ila maji yananisaidia sana.
Kuna baadhi ya watu huwa wanayagusa maisha yetu kwa yale wanayoyafanya au vile walivyo na huwa hatuchoki kuwaangalia.Basi tu namzimia sana. Kila nikiamka asubuhi lazima niangalie CNN-domestic kwa ajili yake yeye tu.
She is class, grace, and brains personified.
![]()
Mimi najionea huruma, miez miwili niko bed rest nakula na kulala, siruhusiwi kufanya zoezi lolote! Nakiogopa kioo, naogopa mzani! Juzi nimepima suruali skin jeans zimepita, zinafunga hazinibani.
Yaani na hivi siponi leo wala kesho, najihurumiaje! Itabidi nianze kula asali na ndimu!
"kama wewe na mume wangu hamlalamiki kuhusu kitambi changu,hao wengine watajiju"......one day nitawapa mkasa mzima wa mimi na huyu bi mkubwa(some scary and funny shit happened)
maji nayanywa haswaaaa tena ya moto/uvuguvugu, mdogo wangu wacha tu nikianza mazoezi week ya kwanza tu viungo vikianza kuniuma fulani naacha! ila maji yananisaidia sana.
Mazoezi na mpangilio wa msosi ni muhimu sana.
Mazoezi na mpangilio wa msosi ni muhimu sana.
Ka we ni Mrembo by Nature unafanya mazoezi ya nn?
Hiyo ni lazima ukianza mazoezi pale mwanzoni viungo lazima viume,kama so mvumilivu
mbona unaweza kuacha ukahisi unajitesa,ila ni bora kufanya kuliko kuacha......
Mwili wa mwanamke wa kiafrika "bantu figure" ikimaanisha kalio la haja, sidhani kama nimekosea kukumbushia hilo...kalio ni mpango mzima.Mwanaume wa kitanzania utamjua tu
Utupe tu hiyo stori maana nimeona mara ya kwanza nikashangaa
na hapa tena nimeiona..........
......Kitambi!Uzuri wa mwanamke ni nini?
Hahaha nafuta baadhi ya maneno kwenye kauli yangu, nina kaka 2 tu humu na hawawezi kununa mbele yangu.