Mimi najionea huruma, miez miwili niko bed rest nakula na kulala, siruhusiwi kufanya zoezi lolote! Nakiogopa kioo, naogopa mzani! Juzi nimepima suruali skin jeans zimepita, zinafunga hazinibani.
Yaani na hivi siponi leo wala kesho, najihurumiaje! Itabidi nianze kula asali na ndimu!
Michaela Pereira (huyo aliyeko kulia) wamuonaje? Mi naona yuko bomba kabisa. Ni zaftig.
![]()
hapo kwenye bia hapo, loo unanisema?:wink1:...hahaha mambo ya kili moto/baridi, mazoezi wengine ndio hivyo tena looo
yuko poa,she is sexy na inaonekana ni mtu anaejali mwili wake
sasa kuna wale watu jamani,kujiachia so kujiachia,
hii operesheni yako ya kutoa makavi laivu.... shaurilo..Elli79 hanuni mtu hapa, Heaven on earth lazima tuwe makini sana na tunachokula kila siku @Lara1 poule, ndimu na sali vinahusika sana hapo.
Uzuri wa mwanamke ni nini?
Wayafanyie matumbo yao kazi...yapungue, ila wasipunguze kale kaugonjwa ka mwanaume wa kiafrika...makalio...we do love them.
Alafu kuwa mnene si shida shida ni kuachia mwili na kuwa na nyama zisizohitajika kwenye baadhi ya sehemu za mwili......hapa tatizo sio unene tatizo kujiachia na kuwa na mwili usio asili yako
Nyani Ngabu basi funguka kidogo kuhusu hizi picha zako
Duh... Mrembo by Nature umesema tufanye mazoezi... sasa mazoezi gani hayo??? Make ni balaa
C.C. Kaizer
Nyani Ngabu basi funguka kidogo kuhusu hizi picha zako
Ukishakunywa hakikisha unapata maji ya kutosha kutoa ngano mwilini ,then mazoezi jitahidi hata masaa 2 siku tatu kwa wiki.