Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Mrembo by Nature hujui raha ya vitambi tena ukute mwenye mapingili.....
Utamtaka!
 
Last edited by a moderator:
Wabongo wengine falsafa ya "Do you" hawawezi.

Mtu kaamua mwenyewe kuwa sanamu la Michelin, kwa raha zake, wewe kinachokufurukuta hasa nini?

Kwa nini jinsi mtu baki alivyoamua kuishi maisha yake, bila kukudhuru wewe, ajilie michemsho yake na kujinywea mibia yake, si sigara useme itatoa moshi upate second hand smoking, kwa nini kujichomeka katika maisha ya watu baki?

Wakikusema wewe kimbaumbau kwa sababu una minyoo na una gubu kwa kuwa huna hela ya bia wala mchemsho, wala wowowo la kuvutia wafadhili utaona sawa?

Hapo hamjafungua visimi vya watu muone kama wana clit ring mshajaa mineno, mkiona msivyotakiwa kuona je? Si ndo mtanunua kurasa kama si gazeti zima kwa Mengi?

Kujaa maneno kuhusu habari za watu wasiowahusu ni dalili ya ujinga, umbea, kukosa kazi, kutoheshimu faragha za wengine, kujivika ujuvi, chuki, inda, gubu, kisirani, kukosa haiba, uhasi, ushari, upumbavu, udaku, ushankunpe, hashuo, mtindio wa akili, ukosefu wa malezi, elimu ndogo, kukosa kiasi, kukosa staha na mengine mengi yafananayo na hayo.

Do you.

And let others do them unless they cross you "doing you".

What's next? Utatuandalia ripoti ya nani anakula mayai na nani anakula dagaa kauzu?

Utataka sheria za Kitalibani mwanamke asinywe bia anavyotaka mwenyewe?

The inner libertarian in me finds this sorry mentality grotesquely impeachable on so many levels.
 
Hivi wapi kuna supu nzuri huko mjini? Naona uvivu kwenda leaders club! Kitambi ndo asusa ya mpenzi wangu lmao
Asubuhi yote hii ya jumapili si uchemshe supu yako na wewe nyumbani?
 
I think Kiranga nailed it the hardest.
Let people be, miili yao, vitambi vyao na maisha yao.

Mimi nashangaa. Waswahili wanasema "Pilipili ya shamba inakuwashia nini?"

Kuna pahali nilisikia wanawake wanachukiana sana wenyewe kwa wenyewe na hii ni moja ya sababu hawawezi kupata usawa na wanaume. Threads kama hii zina support hii view.

Sasa hata kama mtu hapendi vitambi, kwa nini vya wanaume visisemwe visemwe vya wanawake?

But above all, narudi kwenye point yangu. Kwa nini mtu mwenye akili na shughuli zake aende kufuatilia maisha ya wengine?

Tutajifunza lini kuheshimu maamuzi ya wengine as long as hawajatuingilia maishani mwetu?
 
Sipendi sana kuamini msemo huo (wanawake hawapendani) ingawa unaweza kuwa na chembe za ukweli.

Nisingekuwa na shida kama angetoa ushauri tu bila kuwabeza wenye machaguo au maoendeleo tofauti na yake. Lkn mipasho na kuwapangia jinsi ya kuishi watu wengine, nashindwa kupingana na tabia ulizozitaja kwenye post yako ya kwanza.
 
Back
Top Bottom