Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

Maji mengi ya uvuguvugu mix na ndimu au limao,ukiweza asale na cinnamon. Instead of tea use cinnamon.
punguza cold drinks, sugar stuff,kula mboga kwa wingi punguza wanga,epuka frozen junk foods.
Exercise!

Nb.
hivi ni wanaume wotee ama wabongo tu ndo mpo too picky????
Maana!
 
mi nakitambi cha nyuma pacha cha mbele bado sijabarikiwa....!
Gym naendaga kutoa Hi to!!!!!!!

Hahahahaa..... kitambi cha nyuma e! Huo ndo ugonjwa wangu Lady doctor.... niponye daktari wangu.
 
Last edited by a moderator:
hivi uzuri wa mwanamke ni kuwa mwembamba? halafu ukishakuwa mzuri sijui kupendeza ndo unapata faida gali vile?
 
Wengine sijui huwa wanaona sifa!!!! Yani mwanamke anakula hadi mtu unaogopa, bora angekuwa anakula kwaafya
 
Back
Top Bottom