Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

Ilitakiwa hata waziri wa mambo ya ndani ajiuzuru.
Mzee mwinyi ashawai fanya hivo akiwa katika serikali ya Nyerere.
 
Pathetic!!! Yan mwendesha pikipiki alikua mjanja kuliko polisi wetu!!! Alijua akikimbilia nchi jiran polisi hana sheria inayomlinda huko!! Askali wetu hawakujua hilo!?? Hatari jamani!!!
 
Hivi vipolisi vimeponzwa na njaa. Polisi ni watu wanaopeleleshwa na njaa sana.

Njaa +elimu ndogo haya ndio matokeo yake.

Hawa wajinga ndio wnawakilisha taswira ya jeshi la polisi.

Njaa inawatesa sana ndio maana weledi wa kazi hakuna.

Njaa mbaya sana.

Huyo bodaboda walitamani wamdake wampige fedha ila ikala kwao.
 
Makosa waliyoyafanya hao Polisi huenda yameandikwa katika PGO zao.....ila kwakuwa ni vilaza na hawajui PGO na wanafanya kazi kwa mazoea wamevuna walichopanda....

Na huenda huyo mkuu aliyetoa adhabu na yeye haijui PGO vile vile
Aijulie wapi?

Angejua angewauzia wote saba wakati kulikuwa na inchi wa Msafara?

Mkuu wa msafara ndiye mhusika.

Hawa wengine wangeshushwa vyeo .
 
Polis wakiona pesa akili huruma kichwani na kukimbilia kichwa cha chini



Huanza kufikiria kwa kutumia kichwa cha chini.
 
Back
Top Bottom