Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

You are not human being seems you are a ghost.
Vipi, ya moto wa Ilala yamekushinda unataka kuanisha mengine? yafungulie nyuzi tutakuja kukujibu. Hapa panaongelewa moto wa Karume!

Wewe mwandishi wa habari au mwandishi wa udaku? waandishi wa habari wanaandika utumbo?
 
naona buku 7 fc umezinduka.

Naona umeamka na gongo kichwani. Kazime moto wa gongo kichwani mwako kwanza ndio uje hapa.

Si kila kitu ni siasa ndiyo maana Watanzania hawawapi kura, imeshawaona ni mapunguani.

Badala ya kufikiri mambo ya maana nyie mnafikiri ujinga saa zote.
 
Hata kama ungekuwa upo zimamoto, lile soko gumu sana kuokoa hasa kwenye majanga ya moto
 
Ccm watatumaliza kabsa jamani!
Embu zindukeni bas kwahili!
Serkali yetu yahusika hapo kwa 100%
 
I have a suspicious feelings that ze market is purposeful burned down to move the bussiness people to the complex building...Ilala municipality can be responsible in this because if they are not involved why fire emergenc didnt respond quickly until the whole market is completly down. Why if one of the bakhresa premise alert for fire we see lots of fire cars emergence pass on the other side of road try to respond quiclky???this is not a proper way of pushing people to the new place of business, think about their income,family and children...for real i have right to speak for them abd one day my suspission will become reality....i appologise for the broken english but it pained me to the extent that my tongue stacks to let out swahil words 

Haha!hapon umenikumbusha babu yangu akishapiga lubisi na gongo anaongea kiingereza ile mbaya ingawa darasa halijui
 
ma-CCM bwana. Yamepachoma hapa ili wafanyabiashara waende kwenye lile Jengo lao walilolikataa, sasa sijui yatawapa mitaji? hivi hiki chama kilitokea wapi jamani? mbona kimekuwa chanzo cha vilio kila mahali nchi hii.
Wewe hata siku mke wako akikikumbia utasingizia CCM ndiyo wamesababisha.
 
Unafikiri kwa kutumia makalioo wewe ! Au ata ujasiriamali aukusoma ata kidogo we unadhani wanapenda warundikane sehemu moja au wanafata wateja wao.

Heri ya mimi unakiri kuwa nnafikiri, kwa kutumia chochote ukipendacho. Wewe huna fikra kabisa na umekurupuka kuja hapa na siasa za kijinga wakati kuna watu waharibikiwa maisha yao.

Fikiri japo kiduchu. Hawafati wateja wao, wateja wanawafata wao. Mteja anatoka nyumbani kwake anakwenda Karume. Kumbuka hilo. Karume ni soko. Na mteja hufata soko.

Ndiyo maana nikakupa mfano wa msoko hata ya nyanya, samaki, Mlimani, bado tu hajaelewa? amma kweli Tanzania hii tuna kazi kubwa sana kwa kuwa na vichwa maji kama wewe.

Hivi hizi shule mnakwenda kusoma nini? mimi naona zinaenda kuwajaza ujinga tu na si kuwaelimsha. Au ni wewe tu ndio kichwa maji? maana huelewi japo kiduchu kila unavyofundishwa. Majanga.
 
Hilo ni chezo la muda mrefu,na huko Machinga complex haendi mtu

Cthani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza watia watu umasikini kwa kulazimisha jambo hilo. Sasa kama tayari mitaji imekatika, wahamie huko kuuza nini !!! Kama kuna mtu anataka wahame, agepeleka Wazee wa Ngugnguli kuliko kupeleka moto.
 

Ulinzi wa watu na mali zao upo mashakani.Ninawasiwasi na askarri wetu ,inawezekana jeshi letu limeachwa solemba ila linashughulishwa na kifuatilia chadema inafanya nini.jeshi letu ama linavifaa duni au mafunzo yake yapo shakani.kuungua kwa soko hili wakati kuna walinzi maeneo hayo ni aibu.intelijensia ya polisi hainasi hayo ila vyama na mikutano yao.pamoja na tofauti zetu bajeti ya jeshi la polisi na ile idara ya zima moto ni ndogo sana,wakati wenzetu wa USA,japan,Afrika kusini wakitenga bajeti kubwa kwa ajiri ya kupambana na majanga s
Sisi tunakwapua pesa ,tuzitumie kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa,aidha wabunge wa ccm ninashangaa sana kuunga mjkono hoja bila kuangalia askari wetu,mazingira wanayoishi mfano tu temeke,na Natarnyumba mbovu nenda singida,Ruvuma,Rukwa ni aibu.kuna haja ya kuja na sera,mipango na mikakati imara ya kubadili mafunzo ya maaskari yetu yawe ya kisayansi kabisa na zana za kisasa.moto huo usingeathilu maisha na mali za wananchi hao ambao wanawatoto wanalisha,wanawavisha,wanawasomesha vyuoni,sekondari na elimu ya juu,wanawapa matibabu,na kulipa kodi inayotumika kuleta maendeleo ya nyanja zote!. Leo familia hizo takribani watu 2000 na watoto hao wanarudi kuwa ombaomba wa nchi.mali imeteketea ni nani atawakopesha wakati mitaji imekufa? Inasikitisha sana,Tanzania tujisahihishe
 
Wafanyabiashara wengi wanafanya biashara zao kienyeji kiasi kwamba ikitokea shida kama hii ni kwamba wanaanguka kibiashara mazima.

Nadhani elimu inahitajika kwenye hili
 
Dah, mabenki, taasisi za mikopo, wamachinga, wafanya biashara wameingia hasara kutokana na huu moto kuwaka.
Mabenki na taasisi za fedha hazitapata hela zao kwa wakati, wenye maduka leo mauzo yatapungua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom