Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

1. ?Na ikithibitika mirembe kuwa Sofia ni timamu,mzee Malecela atakuja na hoja gani tena ya kutuzuga?Au ndiyo hii ya kuzaa na wanaume za watu?

2. Mkuu unayo ripoti ya daktari wake kuthibitisha huo ukichaa wa Sofia?

3. Yah siyo kichaa kwa sababu mpaka sasa sijaiona ripoti yoyote ya kitabibu inayoonyesha kuwa Sofia kichaa.Na wewe utatuthibitishia vipi kwamba siyo kichaa na hizi hoja zako mufilisi?

4. Hayo mengine ni nonsense sitapoteza muda kuyajibu.

- Irrelevant na pure waste of my time kukujibu, one minute unasema akipimwa je, halafu the next minute unasema hana ugonjwa wa kichaa, subiri apimwe kwanza mkuu acha longo longo!

FMEs!
 
Hoja iliyoletwa ni kwamba Jeetu amekanusha kuipatia kampeni ya Malecela 200M.

Wakati ukiisoma hiyo habari,hukuti kitu kama hicho.Sasa mimi sikuja na hoja kuwa Jeetu amekubali..

- Mkuu chagua moja, halafu kwa nini maneno ya Jeetu liwe tatizo la Malecela, wewe ni nani hasa, Sophia ametoa maneno bila ushahidi Malecela amejibu kwamba ni kichaaa na mimi ninakubali kwamba Sophia ni kichaa kwa sababu maisha yake ayanajisema wazi kwamba amepungukiwa akili, Malecela amesema hawezi kujibishana na kichaa wewe,

- Mkuu nenda mpime Sophia kwanza halafu then msimamie Malecela kwamba Sophia ni mzima kwa hiyo madai yake ni valid, unles you do that ni kelel za mlango mkuu, watu wanalala ndani kama kawa!


FMEs!
 
FMES,
Kwakuwa tumefika pahala tumekubaliana kwa hoja...CCM wote si wasafi,nimalizie kwa nukta moja tu, si wananchi wote wa Tanzania wachafu kama ilivyo CCM...ktika Bunge la Tanzania kuna Vyama vingine ambavyo vinawakilisha sehemu ndongo ya Watanzania ambao wamekubali kujitenga na uovu huo wa CCM (mim nikiwa mmoja wao), sasa hili kundi kubwa lililobakia,aidha kwa kutokuwa na uelewa wa kutosha wa hali halisi ya nchi inavyopelekwa songombingo na genge la wezi(CCM)...wamebaki kuona kuwa bado CCM ni chama kile kile kilicholeta uhuru kumbe hali imebadilika na wao ndo wahanga wa vita vya ulaji ndani ya CCM..kama tunavyoshuhudia...wenye tonge kubwa...wanapambana na wadokozi...waroho wa kutowea...wanawasakama waliokwamwa na miiba kooni..walioshiba wanashindilia kwa maji.
MKUU WANANCHI HAWATAKUWA WAPUMBAVU SIKU ZOTE IPO SIKU WATAJIUNGA NASISI WACHACHE TUNAOONA KUWA CCM IMECHOKA INAHITAJI KUPUMZISHWA.

- Huo wekundu that is wasup mkuu, yaani wewe kumbe ni msafi sana, really? Later!
Bwa! ha! ha!

FMEs!
 
Hakuna ubishi kama kuna conflict of interest...unataka sheria gani tena?
Thanks kwa kukiri kuwa na yeye ni fisadi.
Kama vile ilivyokuwa Sophia hana maadili ya kuwa waziri wa TAKUKURU,kwa matatizo binafsi...ndiyo hivyo hivyo, hakuna mwanachama yoyote wa CCM mwenye haki ya kujipa na kujitapa kuwa yeye ni jamadari na mpiganaji wa ufisadi, provided kuwa tumeshakubalia kuwa nyinyi CCM wote ni mafisadi,sawa...,nashukuru Mkuu angalau umenielewa.

- Ni kweli kabisa mkuu hapa tumeelewana.[/SIZE]

FMEs!
Hapa tumeelewana Mkuu.
 
- huo wekundu that is wasup mkuu, yaani wewe kumbe ni msafi sana, really? Later! bwa! Ha! Ha!

fmes!
Namaanisha nimejitenga na uchafu wa ccm...usinilishe maneno sikusema miye Msafi sana,kwa maana sikatai mapungufu yangu ya kibinaadamu. Mkuu ndo chama chenu kilivyo hivyo na kinanyojionyesha sura yake halisi ya sasa, utafanyaje, kubali tu, usikionee tabu chama chako kama unakiona mzigo ww hama tu...wenzako hatuna presha saivi...wanatafunana hukooo siye tumefunga4. We baki nyumba inakuporomokea watakuchopoa uko uko uliko
 
nasema nimejitenga na uchafu wa ccm...usinilishe maneno sikusema miye Msafi sana,kwa maana sikatai mapungufu yangu ya kibinaadamu. Mkuu ndo chama chenu kulivyo hivyo na kinanyojionyesha utafanyaje, kubali tu, usikionee tabu chama chako kama unakiona mzigo ww hama tu...wenzako hatuna presha saivi...wanatafunana hukooo siye tumefunga4. We baki nyumba inakuporomokea watakuchopoa uko uko uliko

Ha ha ha,

Umeachana na ccm lini?
 
- Tatizo ni kwamba wewe siku zote una tatizo na mimi na this time nataka kulimaliza mkuu yaani I am willing kwenda na wewe mpaka kusikofikika na ikibidi nitamfunua mpaka mkeo mbuzi wewe, ninasema hivi Sophia ni changadoa ninajua kwamba ni dini yako ndio maana unalia sana lakini ameanza mwenyewe, mwendawazimu ni wewe na huyu Sophia wako,

- Asingekua basi angekwenda kwenye kamati kwanza kuonyesha ufisadi wa Jeetu kwa ushahidi na mzee na mkewe ili wakamatwe mara moja, otherwise, ninasema ni changudoa, na mw9izi wa waume za watu ameanza na Kitwana kondo mpaka kuzaa naye yule mtoto aliyeko Canada, now briing it on kama you have a problem!

Field Marshall Es!
Mkuu Sophia Simba sio muislam ni muumini wa kanisa la MAMA LWEKATARE. WEKA RECORD VIZURI.
 
- Irrelevant na waste of my time kukujibu, one minute unasema akipimwa je, halafu the next minute unasema hana ugonjwa wa kichaa, subiri apimwe kwanza mkuu acha longo longo!

FMEs!


Mkuu wewe ndiyo unaleta longolongo tena na mipasho ya kitaarabu taarabu kama Bi Khadija Kopa.
Sasa ni lazima kuwe na ushuhuda wa kitabibu kwamba Sofia ni kichaa na so far haupo na siwezi kuamini kwamba ni kichaa kisa Mzee Malecela amesema ni kichaa.Mzee Malecela siyo daktari wa mama Sofia kwahiyo mama Sofia anabaki kuwa mtu na akili yake timamu isipokuwa baada ya kumwaga radhi majuzi hapa kuna watu badala ya kujibu hoja wakaja na viroja na mipasho ya kinamama.
 

- Mkuu chagua moja, halafu kwa nini maneno ya Jeetu liwe tatizo la Malecela, wewe ni nani hasa, Sophia ametoa maneno bila ushahidi Malecela amejibu kwamba ni kichaaa na mimi ninakubali kwamba Sophia ni kichaa kwa sababu maisha yake ayanajisema wazi kwamba amepungukiwa akili, Malecela amesema hawezi kujibishana na kichaa wewe,

- Mkuu nenda mpime Sophia kwanza halafu then msimamie Malecela kwamba Sophia ni mzima kwa hiyo madai yake ni valid, unles you do that ni kelel za mlango mkuu, watu wanalala ndani kama kawa!


FMEs!


Nachagua moja kwamba Mzee Malecela akanushe madai ya Sofia Simba kwamba hakupewa 200M na Jeetu.Akanushe hoja na siyo kukimbilia personality attacks.
 
Namaanisha nimejitenga na uchafu wa ccm...usinilishe maneno sikusema miye Msafi sana,kwa maana sikatai mapungufu yangu ya kibinaadamu. Mkuu ndo chama chenu kilivyo hivyo na kinanyojionyesha sura yake halisi ya sasa, utafanyaje, kubali tu, usikionee tabu chama chako kama unakiona mzigo ww hama tu...wenzako hatuna presha saivi...wanatafunana hukooo siye tumefunga4. We baki nyumba inakuporomokea watakuchopoa uko uko uliko

- Nothing to do na the topic, yaani kichaa cha Sophia.

FMEs!
 
Mkuu wewe ndiyo unaleta longolongo tena na mipasho ya kitaarabu taarabu kama Bi Khadija Kopa.
Sasa ni lazima kuwe na ushuhuda wa kitabibu kwamba Sofia ni kichaa na so far haupo na siwezi kuamini kwamba ni kichaa kisa Mzee Malecela amesema ni kichaa.Mzee Malecela siyo daktari wa mama Sofia kwahiyo mama Sofia anabaki kuwa mtu na akili yake timamu isipokuwa baada ya kumwaga radhi majuzi hapa kuna watu badala ya kujibu hoja wakaja na viroja na mipasho ya kinamama.

- Huu mkuu ni msimamo wako si unajua hii ni demokrasia, mimi nimeamua kwamba Sophia ni kichaa, mpaka atakapopimwa siwezi kuamini anything she says, na besides maisha yake binafsi si yako wazi kwamba ni kichaa, I mean kuwa na watoto wanne na viongozi wanne tofauti tena wa serikali ile ile it says a lot kuhusu tabia za Sophia na uwezo wake wa kufikiri, kwenye hili mkuu tufike mahali tukubalane kutokubaliana, kwa sababu huwezi kunilazimisha niamini tofauti,

- Waziri wa Takukuru anatakiwa kuongea tuhuma akiwa na facts, yaani ushahidi kwa sababu yeye ni authority ya taifa, sasa anapoanza kuongea midundiko kwenye ishu serious kama hii ya taifa, jawabu la watu wenye akili timamu ni kwamba hawezi kuwa mzima, lazima ni kichaa,

- In this case Sophia ni kichaa kwa sababu kwanza Jeetu, hajahukumiwa popote pale nchini as fisadi, pili Tanzania hatuna sheria inayokataza wananchi au viongozi kupokea michango ya harusi kutoka kwa Wahindi, na tatu Tanzania hatuna sheria inayokataza kupokea michango ya kampeni za urais kutoka kwa Wahindi, na nne kutaka kuwasafisha Lowassa na Rostam watu ambao ni wachafu na hawasafishiki, kwa haya machache ninakubaliana na Malecela kwamba kumjibu Sophia ni kuwa kichaa kama yeye!

- Tanzania sio taifa la wendawazimu kwamba mtu akiamua tu anakufanya fisadi as long as anaweza kusema anything, hapana unasema na facts Malecela amepewa hela Shillingi Millioni 100 za harusi nilimuona anazipokea tarehe flani na mahali flani, zile hela zilikuwa zimeibiwa na Jeetu huku Malecela akiwa anajua, lakini akazipokea anyways na kuishia kumsaidia Jeeetu na one two three na kulitia hasara taifa letu, mkuu all Sophia had to do ilikuwa ni kusema haya tu, ningemuunga mkono mpaka mwisho wa safari na pasingetosha hapa.

Otherwise, ni udaku tu na umetolewa na Kichaa, sasa unajibishana vipi na kichaa, badala ya kumsaidia aende kupimwa? Huu ndio msiamo wangu mkuu, sasa it is up to you!


FMEs!
 
Nachagua moja kwamba Mzee Malecela akanushe madai ya Sofia Simba kwamba hakupewa 200M na Jeetu.Akanushe hoja na siyo kukimbilia personality attacks.

- Malecela hana sababu ya kukanusha anything ambacho ametuhumiwa bila facts, sasa ni wajibu wa Sophia kututhibitishia kuwa sio Kichaa na kwamba anazo akili timamu, kwa sababu tunajua kwamba watu wote wenye akili timamu wanapokuwa kwenye nafasi ya uwaziri kama aliyonayo, wanapotuhumu wengine hwua wanaongea na facts, sio maneno ya mtaani, sasa unataka Malecela ajibu kila kinachosemwa mtaani ili iwe nini kwani anatafuta tuzo la uongozi kwako?

- Mkuu just deal with facts kwamba huyu Sophia ni changudoa, kazi kupitisha picha za porno bungeni alipokuwa mbunge, au unabisha mkuu? Acha kurukia treni kwa mbele haya ya Sophia huyajui, tulia sasa anaanza kunyolewa hili shimo amejiingiza mwenyewe na this time hatoki huko shimoni she is done!

- Yes I said it kazi yake ilikuwa kupitishia wabunge wanaume picha za prono yaaani za watu wakiwa uchi wa mnyama, je unataka niwatajee hata wabunge wanaume aliokuwa akiwapitishia hizo picha na waliokuwa wakizifurahia, viongozi wazima wa taifa? Unafikiri ubunge na uwaziri alipewa hivi hivi tu? tunaposema huyu ni kichaa sio kwamba anaonewa, record yake iko wazi kwa tunaomjua!


FMEs!
 
Huyu mama alipaswa kuwajibishwa tangu wakati wa kampeni zake chafu dhidi ya mheshimiwa Janeth Kahama katika nafasi ya UMOJA WA WANAWAKE, Umoja ambao kwa sasa anaunajisi. Hivi hao anaowaongoza katika umoja huo hawaoni kwamba huu ni MTAMBO?
 
i have always said this, sofia paka does not deserve to be a cabinet minister. She is just a shit, na malaya mkubwa huyu na kikwete anavuna aliyopanda kwa kuteua watu wapumbafu na kurundika ktk serikali yake.

I even wonder how the president thinks?


heri mimi sijasema!
 
nyie mnamlaumu kikwete bure, pindi anagombea alisema ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya, ila hakuwa more elaborative kuonyesha facts ari ni ya kwenda mbele au nyuma. labda ari na nguvu zilikuwa ni hizi za kurudi nyuma, tumuulizeni tena atuambie.
 
Back
Top Bottom