Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Mwanakijiji hana anticedent basis katika uchambuzi wake, hukurupuka, na hujagundua kuwa kakurupua after all odds. Naye ni mchemshaji, usiamini kila analosisema.

Ni hayo, nitakachosema, nimesema.

Wewe ndio mkurupukaji hapa. Sasa hiki ni nini umeandika? Hata hueleweki. Rudia tena kusoma ulichoandika uone ulivyochemsha.
 

Exactly,

Hakuna chochote alichofanya huyu mama ambacho hakina ruhusa ya JK. Kila kitu hapa kina ruhusua ya Jakaya Mrisho Kikwete ambaye hataki kabisa kuwa na spika anayeitwa Sitta, au wabunge wanaompigia kelele kila siku.

Angalia wapambe wa JK - kanda2, GT, masatu na wengine wanavyomsapoti hapa ndio ujue kuwa hii kahawa sio ya burundi bali ni ya ethiopia.
 
Kitu gani alichochukua too far?

Nyie ndio mna mambo ya 50's, mnadai kuwa Mengi sio smart lakini pia na nyie mnafanya almost the same thing mnachompinga Mengi. Kitu gani alichokosea hapo?

Kuweni specific

Mr S.D heshima mbele... Naomba nikuulize, wee unafikiri mtu mwenye akili timamu na atakaye kuleta maendeleo Tanzania angeitoa press conference kama ya Mengi?Mengi amekuwa kama nani kumwambia Simba hawaulize Usalama wa taifa kuhusu uanachama wake CCM? Hivi siku hizi usalama wa taifa unaangalia unachama wa watu kwenye political parties?
 
Pamoja na malumbano haya yasiyo na tija, mimi mlalahoi naumia na mgao wa umeme.
 



Ohhh please huko nyuma nilishasema hivi:

Eidha Mengi sio smart kama anavyotaka watu wafikirie au washauri wake ni watu wa HOVYO HOVYO

Kwanza hii ni wrong move strategically...for obvious reasons

Pili huwezi kutafuta ligi na Sofia simba...period!!

Tatu anasema Sofia simba akatafute taarifa usalama wa Taifa lakini kasahau kuwa huyo huyo sofia simba ndiye waziri wa Usalama wa Taifa

Nnne: Mengi keshaingia kwenye huo mtego sasa i hope next time hatowaambia mawakili wake wazungumze kwa niaba yake...huyo mama keshaingia ulingoni na by the look of things naamini kuwa keshavaa gloves

Tano: Hiyo ya kubishana na mjinga ingebidi afafanue je mjinga ni nani hapo?


Kuhusu Pinda​

Its no brainer,zile comments zake zinamfanya aonekane kama the most stupid Prime Ministers in Tanzania ever to breathe.

The picture i get from Pinda is a Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character. I would go through every single Govt decision initiated by this man who is driven by nothing but politics of envy.
 

Kinachofanyika ni siasa na Mengi amecheza siasa tu. Kwa hiyo mtu mwenye akili timamu anayependa kucheza michezo ya kisiasa angefanya alichofanya Mengi - rudisha spotlight kwa mpinzani wake na wasaidizi wake kama wapo.

Hapa Mengi karudisha ngoma kwa Mama Simba na usalama wa taifa. Kumbuka kuwa Mama Simba ndiye anahusika na usalama wa taifa kwa hiyo Mengi pia kafanya hiyo link iwe wazi zaidi hata kwa wale wasiojua kazi ya mama Simba (haya ni maoni yangu binafsi).

Unajua watu wengi wanasikia tu waziri wa utawala bora bila kujua kuwa ndio wizara inayoshughulikia usalama wa taifa pia. Mchezo huu so far ni mzuri na alichofanya Mengi ni kuwawahi usalama wa taifa kwenye game ya propaganda na siasa za kuchafuana (na kuuana).

Sasa wewe eleza alichokosea Mengi maana so far unasema tu kakosea bila kusema kakosea nini na vipi au kutoa alternative ya ambacho angefanya leo tofauti.
 

GT, picha bado haijaisha na ma starring wako wengi katika picha hii.
Obviously wale extras wataanza kuuwawa na mwisho tubaki na the good guy vs the villain.
Just watch this space!
 
huyu mama pua yake tu ilivyo unamjua kuwa ni mtu wa makuu!!!1.

anakera sana

Eddy imebidi nicheke tu mkuu.........ila ungemalizia tu........hata ''domo......limekaa ki-bulicheka fulani hivi''...ha!ha!ha!ha!ha!ha!aaaa

Binafsi nilishakuwa na altitude mbaya na huyu mama tangia tu alipopewa uwaziri, yes haya anayofanya yanadhihirisha doubts zangu!
 
kwanza inaonekana Mzee Mengi anajua kuna watu ndani ya CCM hawajui kama yeye ni mwana CCM na anafanya nini kwa niaba ya CCM. kwa hiyo kwake watu hao ni "Foolish chap"

Humu ndani mara kadhaa Mwanakijiji amekuwa anasisitiza kwamba vita dhidi ya mafisadi imetekwa nyara na wasiohusika,lakini watu wamekuwa wanampuuza kwa kiwango cha hali ya juu sana.

siyo siri kwamba kinachohusishwa na Rushwa au Ufisadi ni mfumo mzima wa CCM na wala siyo mtu mmoja mmoja. kimantiki waislamu na wasabato hawali nyama ya nguruwe.lakini akitokkea mmoja na kusema kwamba anakula nyama ya nguruwe basi haimanishi kwamba jamii nzima ya waislamu au wasabato wanakula Nguruwe.

kama Mengi anaamini kwamba yeye ni msafi haimanishi kwamba ndani ya CCM kuna viongozi wasafi, kwani yeye Mengi siyo KIONGOZI bali ni mwanacha wa kawaida tuu. na viongozi ndiyo hutoa taswira ya chama chochote kile cha siasa duniani

Mengi siyo CCM bali ni mwanachama wa CCM,lakini Kikwete na kamati yake kuu ndiyo CCM, wao ndiyo wamepewa mamlaka ya kuibeba CCM kwa taswira yoyote ile. Kikwete na kamati yake kuu "wakichafuka" Automatically na CCM nayo 'inachafuka" mpaka pale wana-CCM watakapowafukuza Kikwete na wenzake kwa KUICHAFUA CCM.

Kuna tetesi zilizagaa humu ndani kwamba Mengi ataisaidia CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2010,lakini kama jamaa ni kada tangu Enzi za kina Daudi Mwakawago kweli ataisaidia CHADEMA kuishinda CCM?? SASA wale wote wanaoamini kwamba Mengi yuko kwenye upande wao waanze kufikiri upya kwani inawezekana kwamba kweli yeye ni Nyangumi wa Ufisadi. wenyewe wanajuana!!
 

Says who?

Simba kaaminiwa na Jakaya Kikwete kuwa waziri wa usalama wa taifa kwa hiyo akiachiwa tu kufanya chochote atamfanya Mengi kama alivyomfanyia mama Kahama.

Unless unataka kusema kuwa watu wanyamaze kila mara mama simba akiongea au kufanya chochote. Hiki ndicho ikulu ya Kikwete mlitaka?

Tatu anasema Sofia simba akatafute taarifa usalama wa Taifa lakini kasahau kuwa huyo huyo sofia simba ndiye waziri wa Usalama wa Taifa

Yap,

Hii ni spotlight kwa mama simba ili aseme kama report yake hii ni kwa mujibu wa usalama wa taifa au ni maoni yake mwenyewe. Wanaojua hii game wana kila habari kuwa Kikwete mwenyewe anahusika kwenye hili kwa hiyo hii ni chase - nani atafanya next move? Kikwete, Simba au usalama wa taifa?

Nnne: Mengi keshaingia kwenye huo mtego sasa i hope next time hatowaambia mawakili wake wazungumze kwa niaba yake...huyo mama keshaingia ulingoni na by the look of things naamini kuwa keshavaa gloves

So what GT,

Hivi mnadhani kuwa kwa vile mmeshikilia ikulu basi mtafanya kila mnachotaka? Yaani Kikwete sasa hivi anataka kunyanyasa wafanyabiashara kama Mengi? Hii ndio game mnataka kuanza?

Huu pia ni ushauri wa Rostam na Manji kuwa Mengi atolewe kwenye picture ili wafanye wanachotaka?

Mtaiweza hii vita mnayotaka kuanzisha?


Hili hata halihitaji jibu,

wewe umekuwa unamzushia Pinda mambo kibao hapa hadi unafikia kuomba msamaha baada ya kubanwa. Endeleza tu vita zako za kidini ila nakuhakikishia kuwa hutafanikiwa.
 

Mkuu next level,

kafuatilie ule uchaguzi wa wanawake ccm kati yake na mama kahama ili uone jinsi huyu mama alivyo na mambo. Ana kiburi cha hali ya juu na kinatoka moja kwa moja kwa mafisadi wakuu nchini - Rostam, Manji et al
 

 

Mengi for so long has tried to portray himself as the most community person in terms of wanting developments/changes in Tanzania. And I am very ashamed to say I used to believe on him and his ionic games. It doesn’t take psychologist to say huyu mzee anatry to cover up something about himself or possible his businesses activities? na hicho kitu ni nini hasa? Kila PC yake si straight forward na most of the time inatawaliwa na kiburi na majivuno! Mbona kuna viongozi wengi sana Tanzania mfano Mrema ambaye amesemwa ni mwanachama wa CCM, mara he is the most idiot person in Tanzania na anaharibu upinzani ila ata siku moja hujamsikia akiita PC kujitete kwa kutumia the most ridiculous and contradictive speed kama ya RM? Solomon, I strong believe Mengi is after power, and I think he is among the most arrogant person in TZ, to be honest hamna tofauti ya mengi na RA. They are all the same and it’s about time maovu ya Mengi kutoka nje nje (kama hayajatoka yote bado). Na sasa kutokana na hii speech kwenye PC yake, inabidi for the rest of his life afikirie nini akiongeacho kuhusu CCM na other political parties…. Na ndipo hapo namwona ni mtu asie na brain at all.. He should stick to what he does best i.e business not politics Mengi anashindwa kujua kwamba kama anataka kuimarisha Tanzania kwanza inabidi hawe politically neutral? Does it take any genius to figure it out about that? Is this man really into changing people lives or giving/promoting himself to power?
 

Ha ha ha haha,

Unafiki mkubwa sana ndugu Zitto.

Yaani of all people wewe ndio wa kumshauri Mengi kuwa mambo ya ndani ya vikao vya chama yaishie huko? Wewe hapa mbona hukubakiza mambo ya chadema yabaki ndani ya chadema wakati wa uchaguzi?

Ama kweli nyani haoni kundule. Zitto kawasema viongozi wenzake kwenye vyombo vya habari baada ya kushauriwa asigombee. Ulivujisha siri za chama hapa JF kuwa umezuiwa au kushauriwa kugombea. Ukamtuma rafiki yako Omar kuja kuwapondea chadema hapa.

Leo una moral authority ya kuongea kuhusu vikao na siri za chama?

Kajisafishe wewe kwanza kabla ya kushauri wengine kufanya kile ambacho wewe umeshindwa au kukataa kufanya.
 
labda Mengi anahitaji kununuliwa hiki kitabu:




watu wamemwekea ndoano na yeye kaingia

labda angefanya homework yake kujua who EXCTLY is Sofia Simba na how she fights her battles..regardless of her ideology


GT, heshima mbele,

Usitake kumfanya mama Simba AONEKANE KAMA POLITICAL HEAVY WEIGHT IN TANZANIA. SHE IS NOT. Her impact is just negligible to say the least. Huyu mama among others, wameingia kwenye siasa kwa kubebwa na wazee wa chama. Hana ubavu wa kushindana na mzee Mengi. Atleast on this I can bet my five cents.

Never underestimate mzee Mengi. Kwa vile havai kofia ya kijani au shati la njano..haina maana kwamba system haijui vyema.

Kama umeisoma hii PC ni dhahiri kwamba Mzee Mengi ameiandika/kuitoa kwa minajili kwamba imuumize TO THE MAXIMUM mhusika na katoa majina..hakujiumauma. Maana kumuita mtu ni mjinga tena waziri inakuonyesha how mzee alivyo na confidence ya anachokifanya.

I dont know much kuhusu huyu mzee..ila what I see ni kwamba watu kama akina Sofia Simba wanapewa madaraka wanajisahau. She thinks she is on top of the world. Unadiriki kusema kwamba CCM hakuna msafi..as if Tanzania ni private company..we have to play to the tunes za wana CCM na viongozi wake? She is simply wrong! She should just know. She might be in Office, but somebody else is in power.

Lastly, Huyu mama, nadhani hatumii uwezo wake wa kufikiri vyema.....huwezi kwenda kuongea mbele ya kadamnasi kwamba fulani siyo member wa Chama bila kuwa na facts zako fresh.

Ohh..nearly forgot, even one of her Predecesor Masilingi..picked up a fight with mzee Mengi..thinking kwamba yeye ndo yeye kwenye nchi hi..where is he now? Moral of the story..ukiwa na kibarua cha serikali..tread carefully. Hujui boss wako na yeye alisaidiwa na nani kuwa alipo...

Ee bo..wewe unataka kuwa Mkatoliki kuliko Papa mwenyewe aliyeachiwa kanisa na Petro?-Mama Simba should no better. Na ni kwa sababu ya vinchi masikini kama sisi..but who gives a damn to the so called waziri?

I will be happy to see her going to court asking for damages!
 
Mengi for so long has tried to portray himself as the most community person in terms of wanting developments/changes in Tanzania.

When and how? Did i miss the memo? when did that happen?
By the way, what is wrong with that? what is wrong with wanting to make changes?

And I am very ashamed to say I used to believe on him and his ionic games. It doesn’t take psychologist to say huyu mzee anatry to cover up something about himself or possible his businesses activities?

There only shame i see here is your language skills. It would have been easier for you to use the language you know best - swahili.


Bado hujasema makosa ya Mengi hapa ni yapi exactly zaidi ya name calling.

Solomon, I strong believe Mengi is after power, and I think he is among the most arrogant person in TZ, to be honest hamna tofauti ya mengi na RA. They are all the same and it’s about time maovu ya Mengi kutoka nje nje (kama hayajatoka yote bado).

Kwa matumizi yako ya lugha ya kingereza, unajionyesha usivyo na authority kabisa ya kusahihisha kilichofanywa na mengi kuhusu communication. Labda ungetumia pia muda kujifunza vizuri lugha unayojaribu kutumia.


Kama watu kama wewe wakimuona Mengi kuwa hana brain at all, basi Mengi yuko fine tu.
 
i will be happier if i get to know the motive behind Mengi's PC!
but i guess only time will tell
 


Mkuu huu mtizamo wako una mashaka. umetumia kipimo gani kufikia hili hitimisho? simply kwa sababu hukubaliani naye kwa alichokisema? Surely, you can do better than this. Cant you?

Masanja,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…