Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,690
Usishangae mwakani wakashinda kwa kishindo, watu tunaojua yanayoendelea hata 10% hatufiki, na huwa hatupigi kura, kazi bado ipo.
Kwa kuiba kura watashinda..........kwa uhalali hawawezi
Usishangae mwakani wakashinda kwa kishindo, watu tunaojua yanayoendelea hata 10% hatufiki, na huwa hatupigi kura, kazi bado ipo.
Ninaamini yale tunayoyafanya huwa yanaonyesha sisi ni kina nani.Huyu mama sidhani kama ni kiongozi.Anaaibisha waliompa huo wadhifa maana ni mropokaji, mgomvi, mtukanaji etc. Kitu kibaya anabehave as if she is Invisible kama alivyo Robot wa JF!!!
Hii wizara anayoiongoza ni wizara nyeti mno na tupende tusipende inabeba mzigo mzito wa direction ya Taifa letu.Sasa kama amekaa mtu ambaye anafikiria kutafuta umbeya tu tutarajie nini?
Hatuko hapa tulipo kwa bahati mbaya.Tumejifikisha na kwa bahati mbaya badala ya kutumia nguvu zetu kusonga mbele tunapigana vikumbo wenyewe kwa wenyewe!Tunayo nafasi ya kujirekebisha na kusonga mbele kwa kuachana na watu wasio na sifa za kuwa viongozi!!
Napenda kuwaambia kwamba mimi ni Mwanachama wa CCM tangu tarehe 18 Aprili,1977 na kadi yangu ni Na. B124595, iliyotolewa na Tawi la Kisutu, Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam.
Eidha Mengi smart kama anavyotaka watu wafikirie au washauri wake ni watu wa HOVYO HOVYO
Kwanza hii ni wrong move strategically...for obvious reasons
Pili huwezi kutafuta ligi na Sofia simba...period!!
Tatu anasema Sofia simba akatafute taarifa usalama wa Taifa lakini kasahau kuwa huyo huyo sofia simba ndiye waziri wa Usalama wa Taifa
Nnne: Mengi keshaingia kwenye huo mtego sasa i hope next time hatowaambia mawakili wake wazungumze kwa niaba yake...huyo mama keshaingia ulingoni na by the look of things naamini kuwa keshavaa gloves
Tano: Hiyo ya kubishana na mjinga ingebidi afafanue je mjinga ni nani hapo?
HUYU JAMAA anatatanisha!HAKIKA NI MTATA!;
ANGALIA HAPA:
Kuna kesi mahakamani kuhusiana na gazeti la Mtanzania lililoandika kuhusika kwa Mengi katika NICOL, na story iko katika gazeti la Tanzania Daima la jana ambalo naona halijawekwa mtandaoni kama ambavyo Raia Mwema halijawekwa mtandaoni. Soma gazeti hilo utapata majibu. Hii ndio Tanzania. Tusubiri tuone.
hii nchi bana yaani hatujamaliza kusikiliza single ya super star Hosea wana release single ya Mengi itauza kweli hii...
Hili ni gazeti la IPP Nipashe leo, nimechukua kipande.
Mengi ni mwanachama wa CCM wa siku nyingi; amekuwa akisaidia jamii ya Watanzania misaada mingi ya kuwawezesha kiuchumi; amekisaidia hata CCM kwenye uchaguzi wa Busanda Sh. milioni 100, alisema na kuongeza kuwa wakati wa uchaguzi wa UWT Simba alipata msaada wa Sh. milioni tano kutoka kwa Mengi."
Tangu nipate tetesi who is whi in Tanzania and JF, nimekuwa nikifaidi sana kukitokea mikwaruzo kama hii. Hapa kuna watu wengi wanatetea ndugu zao, jamaa zao, rafiki zao, wazazi wao, wakwe zao, wapenzi wao, nk nk nk.....
Mama Sophia Simba inabidi nikushukuru kwa katufungulia ukurasa mpya kabisa Tanzania. Taratibu tunaanza kuisongelea saa tisa mchana kabla ya Yesu kulia "Eloi......." na PAZIA LA HEKALU LIPASUKE.....