Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

- Kuhusu harusi na ufadhili wake, Auntie Sophia hakusema ukweli kwa sababu harusi iliandaliwa na kamati maalum kama inavyokuwa kwenye harusi zote bongo, Mwenyekiti wa kamati alikuwa Chiligati, akishirkiana na DC wa Dodoma Mjini, ikiwa ni pamoja na wanakamati kama Kimbau na Kitwana Kondo, na kina General Gau, sasa hawa hasa Chiligati wangetakiwa kuonyesha mahesabu waliyoyatumia ili kuweka ukweli unapotakiwa, kwa sababu ninazo copies zote za matumizi ya ile harusi na pesa zilizochangwa na majina wala sio tatizo.

- Maneno ya Auntie Sophia, siyaamini hata kidogo na ni uzushi mtupu kwa sababu ni mimi ndiye niliyetoa hela zangu za mfukoni kwanza kununua suti zote mbili za bwana harusi, na pia nilitoa hela zangu za mfukoni za kulipia honeymoon yao, ama sivyo hata honeymoon isingekuwepo, na kama kawaida yangu huwa ninatunza risiti ya kila kitu ninachofanya duniani, kwa hiyo ninasema kwamba Auntie Sophia, ana kazi kubwa sana kuthibitisha madai yake akiwa waziri wa Usalama wa taifa, kwa sababu ninazo risiti nyingi sana za hela zangu nilizotumia on the harusi, sasa kama kweli harusi ilifadhiliwa na fisadi, mimi na ndugu zangu hatukuwa na sababu ya kutoa hela nyingi sana tulizotumia kwenye ile harusi.

- Ya kugombea urais, hivi Mzee si alikuwa na hela za Iran, zilizobaki toka mwaka 1995. Halafu Auntie Sophia hapa tena anakuwa sio mkweli wala anayejali sheria, kwa sababu kampeni za urais wagombea wote walipokea hela toka kwa watu na sekta mbali mbali na haikuwa uvunjaji wa sheria za jamhuri, na ukweli niujuao ni kwamba kampeni ya mzee ilifadhiliwa na Shabibu, na kampeni ilikuwa na hela ndogo sana ndio maana haikufanikiwa, unless Shabibu ni fisadi then kweli mzee alichukua hela chafu, na kama ilivyokuwa kampeni ya Rais wa sasa ambako Auntie Sophia alikuwa mshiriki sasa angelinganisha hela zilizotumiwa na kambi zote na walikozitoa hela zao ndio ingependeza, lakini si kweli kabisa kwamba Patel ndiye aliyefadhili ile kampeni, walioifadhili kampeni ni shabibu na Mstaafu wa Idara, sasa the question inapaswa kuwa alikuwa akizitoa wapi zile hela kama at the sametime alikuwa akishirikiana na kina Rsotam na Lowassa? Kwa sababu all this came to the light baada ya uchaguzi na mtoto wa mstaafu kupewa ubunge wa bure na mtandao Sophia angekuwa mkweli angeisaidia sana hii kamati na taifa kwa ujumla na hasa kutokana na nafasi yake ya uwaziri wa Usalama wa Taifa.

Pole mkuu kwa yote, mi nilidhani ni jina tu unatumia na hakuna uhusiano wowote na JS Malecela maana wengine tulimzoea sana Ipyana (RIP).

- Haya ya kawaida sana mkuu, na atleast sijajifanya mtoto wa General Mboma ha! ha! ha!, vipi hakuna mapya yale yale kila siku? Halafu vipi m,asilahi ya wananchi hayakuumi yanapochezewa na hizi ngonjera bila hoja za taifa?

- Dilunga utakuwa lini ndugu yangu, ukishabanwa mbavu tu lazima ulete viroja! Kwenye siasa hakuna pole, ndio maana Mboma lipopata kura yake tu kule Mbeya, hakupiga kelele na sasa amepewa ulaji ndio siasa ndugu yangu, hakuna pole!

Ahsante.

william.
 
- Mkuu ndio maana nimesema ninajaribu sana kumsihi Mama K, asiingie huu mtego wa kalubandika, maana wenye akili watashindwa kuwatofautisha, point yako ni nzito sana.

Ahsante.

William.

Yani hilo ni la muhimu sana ... mwambie mama yeyey hadi Marekani wamempa tuzo kwa kutambua juhudi zake, na wananchi wanampenda ... yani yuko league nyingine kabisa na mama Simba .. anaweza tu kumwambia athibitshe madai yake ... na ni wazi hawezi kuthibitisha kwa sababu anasema huyu anan wivu wa kukosa ufirst lady .. sasa utathibitsha vipi tuhuma kama hizo? mama yeye anaweza kumjia na llist of issues zenye maswali ya taifa na kumtaka ajibu hayo... akifanya hivyo atakuwa amelinda heshima ... yani tafadhali asiingie kwenye kusutana ....... please .I have lot of respect for her ......by the way watu wengine they think she can even be the madam Presida siku moja kwa hiyo awe makini na jinsi atakavyoreact ... unajua Mwalimu Nyerere alikuwa anasema ... kuwa mambo mengine ni ya kijinga kiasi kwamba wala huitaji kujibu .. please...
 
amenifurahisha kuwa tuhuma dhidi ya Chenge ni udaku tu yaani si za kweli na zinatokana na chuki!

Na huyu mama eti ni waziri wa usalama wa taifa. Hii kama si sababu tosha ya kumfanya Kikwete aachie madaraka basi ni ipi tena?
 
Hii thread kumbe imenoga hivi, kumbe kuna siri nyingi huku kwenye siasa.
 
- Mkuu ndio maana nimesema ninajaribu sana kumsihi Mama K, asiingie huu mtego wa kalubandika, maana wenye akili watashindwa kuwatofautisha, point yako ni nzito sana.

Ahsante.

William.

Yani hilo ni la muhimu sana ... mwambie mama yeyey hadi Marekani wamempa tuzo kwa kutambua juhudi zake, na wananchi wanampenda ... yani yuko league nyingine kabisa na mama Simba .. anaweza tu kumwambia athibitshe madai yake ... na ni wazi hawezi kuthibitisha kwa sababu anasema huyu anan wivu wa kukosa ufirst lady .. sasa utathibitsha vipi tuhuma kama hizo? mama yeye anaweza kumjia na llist of issues zenye maswali ya taifa na kumtaka ajibu hayo... akifanya hivyo atakuwa amelinda heshima ... yani tafadhali asiingie kwenye kusutana ....... please .I have lot of respect for her ......by the way watu wengine they think she can even be the madam Presida siku moja kwa hiyo awe makini na jinsi atakavyoreact ... unajua Mwalimu Nyerere alikuwa anasema ... kuwa mambo mengine ni ya kijinga kiasi kwamba wala huitaji kujibu .. please...
 
aaaaagh sasa kwani kamati ndo inatoa hela..Jeatu alitoa 200m kama wachangiaji wengine.hapa ndo pakushika wanaojidai wapiganaji kumbe nao wananuka rushwa.Wizi mtupu hapaa

- Wewe na Sophia simba mngekwua na ushahidi ndio ingependeza, maana mimi ninao wa majina ya wote waliochangia ile harusi, aliyechangia nyingi ni Mzee Mengi tu, na hazikufika hizo amount na besides Mzee hana uhusiano wa karibu na Jeetu, lakini anao uhusiano wa karibu sana na Shabibu ambaye ni mkazi wa Dodoma na ndiye mmiliki wa New Africa Hotel ya Dar, sasa huyu ni fisadi then ni kweli hizo ngonjera.

- Halafu kwa nini unahnagika na kujaza thread na ma-ID kibao, si utumie moja tu useme unachotaka ksuema maana nimekuona muda sasa ukihangaika, wewe is mtumzima mke na na watoto mbona unakuwa tena kama Auntie Sophia! Ha! ha! ha! ha! Nilijua mkuu it won't take long kabla hujaonyesha rangi yako ya kweli, lakini muhimu ni ushahidi ambao Sophia hana!

Ahsante.

William.
 
Hii thread kumbe imenoga hivi, kumbe kuna siri nyingi huku kwenye siasa.

we acha tu.kumbe Kilango anapiga makelele ni wivu wa kuukosa u first lady,,,na mze Six naye ni kuukosa U PM..Kazi ipo mwaka huu
 
Yani hilo ni la muhimu sana ... mwambie mama yeyey hadi Marekani wamempa tuzo kwa kutambua juhudi zake, na wananchi wanampenda ... yani yuko league nyingine kabisa na mama Simba .. anaweza tu kumwambia athibitshe madai yake ... na ni wazi hawezi kuthibitisha kwa sababu anasema huyu anan wivu wa kukosa ufirst lady .. sasa utathibitsha vipi tuhuma kama hizo? mama yeye anaweza kumjia na llist of issues zenye maswali ya taifa na kumtaka ajibu hayo... akifanya hivyo atakuwa amelinda heshima ... yani tafadhali asiingie kwenye kusutana ....... please .I have lot of respect for her ......by the way watu wengine they think she can even be the madam Presida siku moja kwa hiyo awe makini na jinsi atakavyoreact ... unajua Mwalimu Nyerere alikuwa anasema ... kuwa mambo mengine ni ya kijinga kiasi kwamba wala huitaji kujibu .. please...

Mkuu naomba kupingana na wewe. Hili suala linakiwa kujibiwa haraka sana. Supu ya mbwa inanywewa ikiwa bado ya moto. Ikipoa inatia kichefuchefu. Mtu akijaribu kukushika sehemu nyeti mbele za watu, kama unaweza mvue nguo tu ili watu wamwone vizuri. SS anastahili jibu tena haraka sana.

Labda ushauri wangu ni kuwa Mama AK-M ajipange vizuri ili hoja zake ziwe za kiwango cha kutosha. Hiyo itasaidia sana kupunguza kelele za hao vilaza wenye degree/vyeti vya kukodi, wanaotambia vyeo bandia kutoka kwa watu bandia!
 
huyu mama ameongea mengi..but being a minister anaye deal na UWT ambayo ni taasisi nyeti kwa usalama na siri za nchi,kwa kweli sichelei kuamini aliyoyasema ni kweli..tungejuaje malecela alipewa 200m za kampeni ya Jeatu?mimi binafsi siyapuuzi haya hata kidogo
 
we acha tu.kumbe Kilango anapiga makelele ni wivu wa kuukosa u first lady,,,na mze Six naye ni kuukosa U PM..Kazi ipo mwaka huu

- Ina maana Sophia basi ni babu kubwa maana anaweza kuingia vichwani mwa Spika na Kilango na kujua wanasumbuliwa na nini katika kulijenga taifa lao, ndio mana hawa kina Sophia wataishia kua hata marais wetu, maana wako wengi wenye mawazo kama yao! ha! ha! ha! ha!

Ahsante.

William.
 
Hilo la harusi niliwahi kusikia kwamba ilifadhiliwa na wafanyabiashara ingawaje sikumbuki ni wapi nilisikia. Wakati huo niliamini ni majungu tu.

Vita vya ufisadi lazima vianzie nyumbani kwetu, kwa kila mtu kujisafisha yeye kwanza kabla hata ya kumgusa mwingine.

Kuna baadhi ya hao wanaojiita wapiganaji wa ufisadi, huwezi kuwaachia hata mbuzi wako wakutunzie, watamla.

Watanzania tunadanganya sana kwa hizi ngojera za kisiasa huku matendo yetu ni mabaya mno.

Njia pekee ya kupigana na ufisadi ni kwa bunge kutunga sheria ambazo haziangalii sura ya mkosaji. Sheria zenye msumeno na kwa ajili ya kila mtu, kuanzia muuza nyanya mtaani mpaka rais wa nchi.

Pia vyombo kama PCCB, mahakama na police viwe huru bila kuingiliwa na wanasiasa. Kazi ya wanasiasa iwe kutunga sheria safi za kuvisaidia vyombo vya ulinzi na usalama kutimiza majukumu yao.

Kwa mwendo wa sasa, sahau kuhusu vita vya ufisadi na hata viendelee miaka 100, hakuna ushindi.
 
Hii thread kumbe imenoga hivi, kumbe kuna siri nyingi huku kwenye siasa.

Pia wanaJF tukumbuke kuwa : Sio kila lisemwalo ni kweli... na moja ya nguzo muhimu ni kuwa... kwenye usiamini kila jambo unaloambiwa .. manake hapa naona ka vile watu wote wanaamini kuwa ni kweli Milioni mia mbili zilitolewa kamam michango .. kwa kuwa tu Sophia Simba kasema ....na hili ni tatizo kwenye jamii yetu ndio maana watu wakisikia mwizi mwizi mwizi wanatoka na mafuta bila kuuliza nani kaibiwa wapi .. nakwamba kamam mtu mwizi apelekwe polisi.. matokeo yake wameuawa watu wasiokuwa na hatia ... just because people do not spend a minute to think before reacting......

Hitler aliwahi kusema : Luck are the rulers that people do not think...

NA TUSITOKE KWENYE MADA TUKAANZA KUJADILI MICHANGO YA HARUSI ILIKUWAJE .... MADA KUU HAPA NI UFISADI ...
 
It's only in Tanzania where a person like Sophia Simba can become a leader and a cabinet minister for that fact. Mama kakaa kama muimbaji wa taarabu na hata maneno yake saa nyingine uta fikiri ni nyimbo za akina Hadija Kopa. If it wasn't for her being a minister i wouldn't waste my time on her.

Hapa kweli umeongea huyu mama ni mshari kweli kweli, elimu yake wala bado haijamsaidia japo anadai ni msomi.
 
we acha tu.kumbe Kilango anapiga makelele ni wivu wa kuukosa u first lady,,,na mze Six naye ni kuukosa U PM..Kazi ipo mwaka huu

Mkuu kwa mwendo huo kila mtu atafutiwa sababu ya kusema. Na wengine humu jamvini tutaambiwa tunaandika kwa sababu tumeukosa Ubunge, udiwani au ujumbe wa mtaa! Kwani kila anayesema ni kwa sababu kakosa cheo?
 
- Ina maana Sophia basi ni babu kubwa maana anaweza kuingia vichwani mwa Spika na Kilango na kujua wanasumbuliwa na nini katika kulijenga taifa lao, ndio mana hawa kina Sophia wataishia kua hata marais wetu, maana wako wengi wenye mawazo kama yao! ha! ha! ha! ha!

Ahsante.

William.

yes na wapo wengi kama wewe ambao mnamshangilia mwakyembe na ujambazi wake wa kuchukua posho mara mbili mbili,na kumuona si mkosaji pale alipoongoza kamati ya kuchunguza Richmond wakati kumbe na yeye ana kampuni yake anataka ianze kuzalisha umeme....
 
NA TUSITOKE KWENYE MADA TUKAANZA KUJADILI MICHANGO YA HARUSI ILIKUWAJE .... MADA KUU HAPA NI UFISADI ...

- JF huwa hatuchagui wala kubagua hoja, kila kinacholetwa hapa huchambuliwa ni haki ya kila mwananchi kutoa hoja zake on kinacholetwa ndugu yangu, kwenye all this kinatakiwa ni ushahidi, sasa Waziri wa ofisi ya rais anaibuka na tuhuma nzito kama hizi ni vyema akazitolea ushahidi,

- Mama K, atakapokwenda atakwenda na ushahidi na vithibiti vingi sana itakuwa aibu sana siku hiyo, lakini ndio uzuri wa Demokrasia huwa ni lazima kila mwananchi asikilizwe! Can you imagine Sophia angepewa nafasi bila ya watu kama sisi kujibu?

Ahsante.

William.
 
Tusema Sophia si Mfalme njozi kama ndiyo ataweza kujuwa kitu ndani ya vichwa vya Spika na Kilango Malecela, lakini madai aliyoyatoa hayaonekani dhahania hasa hili la kuwa wamewahi kuonja ladha ya fedha za mafisadi waje wajibu madai yao waseme ni uwongo na Jeetu Patel akatae kuwa si kweli...kuw fedha za EPA anazodaiwa kuchota hazikufika hata senti tano mfukoni mwa the Malecelas
 
Aisee hii habari ni kwa wenye password peke yake au ??

Ingia kwenye google, type Mwananchi Tanzania newspaper, click habari ya kwanza chini ya kichwa cha habari 'Habari za kawaida' ujisomee mwenyewe mauzauza au 'nonsense' ya waziri wenu Sophia
 
yes na wapo wengi kama wewe ambao mnamshangilia mwakyembe na ujambazi wake wa kuchukua posho mara mbili mbili,na kumuona si mkosaji pale alipoongoza kamati ya kuchunguza Richmond wakati kumbe na yeye ana kampuni yake anataka ianze kuzalisha umeme....

- Labda wewe na Hosea mngetuonyesha ushahidi, badala ya kuwapigia simu wabunge na kwenda kujikomba kwa Spika,

- Ninamheshimu sana DK, kazi yake kubwa kwenye taifa, ya kuanzisha kampuni ya umeme nilisema wazi kwamba kweli kulikuwa na conflict of interest, sasa kama tuna sheria on that basi alitakiwa achukuliwe hatua za kisheria, otherwise tunawahukumu wananchi wengine kwa ushahidi na sio ngonjera na viroja! ndio sababu tulienda shule!

- Wananchi wenye mawazo kama wewe ndio sababu kina Sophia watakuwa marais wetu in the future!

Ahsante.

William.
 
Huyu mama kazi imemshinda, bora akae pembeni awapishe wanaoweza kuongoza hiyo wizara.

labda hivyo ndivyo anavyotakiwa kufanya na bosi wake, kwa macho yako kazi imemshinda kwa bosi wake hivyo ndivyo atakavyo
bosi wake angekuwa hapendi utendaji wake wa kazi angemfukuza
 
Back
Top Bottom