Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Makaayamawe,
Mkuu wangu kamati ya Mwinyi haikukaa kujadili Malecela hata kwa jambo moja..nadhani unakumbuka yaliyotokea hadi JK kuteua hii kamati.. Leo, waziri mzima unaitwa kujieleza unaweka habari ambayo haikuwepo kabisa! nini makusudio yake haswa!
 
Lakini kama waziri wa utawala bora anadiriki kuhalalisha rushwa? Kwamba kwa kuwa kina malecela walifadhiliwa na fisadi basi wakae kimya wakiona wengine wanajihusisha na ufisadi. huu ndio utawala bora kweli?

Muheshimiwa hapo juu nakuunga mkono kwa hoja yako. Halafu huyu waziri Simba huwa ananichanganya sana kwa hoja zake za ajabu ajabu. Lakini inaonyesha siku zao zinakaribia mwisho.
 
Haya sasa. Wacha wapiga kelele nao wafisadiwe.njaa zao wanajiona wasafi
 

ASANTE WILLIAM


Umesikika William

Pole mkuu kwa yote, mi nilidhani ni jina tu unatumia na hakuna uhusiano wowote na JS Malecela maana wengine tulimzoea sana Ipyana (RIP).


LIMBANI WEWE!!

MSITUCHANGANYE HAPA.
 
LIMBANI WEWE!!

MSITUCHANGANYE HAPA.

Veracity,

Inaonekana Limbani amemquote William ila akasahau au kushindwa kuweka maandishi ya William kwenye quotes. Paragraph ya mwisho ndiyo inaonekana kama ni ya Limbani.
 
Wote wachafu...ingawa wanatofautiana kwa wingi wa uchafu walio nao, kundi la mama Simba na wenzake wao wanatetea uchafu kwa nguvu zote, kundi la kina mama Kilango wanauma na kupulizia na ni ndumilakuwili....lakini kwa ujumla wote wachafu....WIZI MTUPU.

😀..........wacha mie nipalilie kiunga changu cha minazi....😀
 
we are witnessing the heights of stupidity within our leadership. Siamini kama WAZIRI, Mwanamke kubehave kama mtoto msichana wa shule ya msingi. Ni kwamba anamwonea wivu mwenzie? au ni kwamba wana beef yoyote personal? ya kugombania Bwana? or what?

Vizuri ni kuwa amekiri Jeetu ni fisadi, kwa kusema "alifadhiliwa" na fisadi kwa hiyo anunga mkono ufisadi na hapingi ufisadi. At least anatuonesha kuwa kwa upande mmoja ametoa insight nzuri kwamba hata yeye anatambua kuwa kuna ufisadi na anauunga mkono.

Lakini yakuanza kumlipua mwenzake kwa mambo binafsi ambayo hayana uhusiano kabisa na issue nzima, shame on her. Good thing ni kuwa things are becoming public and slowly we are getting there.

Kweli tuna waziri "mwanamke".
 
Veracity,

Inaonekana Limbani amemquote William ila akasahau au kushindwa kuweka maandishi ya William kwenye quotes. Paragraph ya mwisho ndiyo inaonekana kama ni ya Limbani.


Bora kama ndio ivo maana nilishangaa inakuwaje watu wawili wawe na maandishi verbatim almost!
Asante na samahani kwa wahusika.
 
Bora kama ndio ivo maana nilishangaa inakuwaje watu wawili wawe na maandishi verbatim almost!
Asante na samahani kwa wahusika.

Hata mimi nilidhani hivyo mwanzoni ila baada ya kuona alichojibu William baada ya hilo bandiko la Limbani ndio nikagundua kinachoendelea.
 

Huu udhaifu wa mtu mmoja usichukuliwe kuwa ni udhaifu wa kundi, kabila, jinsia..
Mbona kuna malumbano ya Dr Mwakyembe na Dr Hosea au nao wana beef ya kugombea bibi?..lets not trivialise issues..lets stick to the principles.Hapa tunaangalia utendaji wa kiongozi.
 

This has nothing to do with gender.

Huyu waziri ni mchemfu na hafai kabisa kuwa waziri wa usalama wa taifa ila kwa sababu anafit profile ya mawaziri wa Kikwete, basi akapewa hiyo ofisi muhimu ya nchi.

Angalia context yake na -

1. Mkullo
2. Nchimbi
3. Ngeleja
4. etc

na katibu mkuu wa ccm Makamba.

Kikwete anajijua ni mchovu kwa hiyo anajiweka karibu zaidi (msisitizo kwenye zaidi) na wachovu wenzake ili wasimfunike.
 

Bwana 'Intellijentsia' kwa haya uliyoyasema ninaamini kuna makubwa yatatokea. data zako zina kawaida ya kuwa factual.
 
Sasa kwakweli CCM wataparuana..wengine yetu macho na masikio!
 

Yakhe, ukifanya tahmini angalia pande zote mbili za sarafu. Mbona hoja ya Dk. kubwia posho mara mbili mbili hutaki kuizungumzia?
 
Yakhe, ukifanya tahmini angalia pande zote mbili za sarafu. Mbona hoja ya Dk. kubwia posho mara mbili mbili hutaki kuizungumzia?

Sio lazima aiseme yeye, hata wewe unaweza kuusema huo udaku wa posho mbili kama ulivyofanya tayari ^^^^ hapo juu.
 
Wakti makeke ya bunge la awamu ya Nne yalipoanza niliwahi kuchallenge huko siku za awali kuwa tujaribu kujiridhisha na motives za hao 'wawasha moto' kwa sababu ya 'harakati zao' ambazo ziliongezeka exponetially & astronomically ktk kipindi kifupi, lakini watu wakanijia juu eti 'paka ni paka al ilimradi tu anakamata panya', sasa twaona wazi kuwa wote tu ni mapanya hakuna paka hata mmoja ..wote tu wanatoboa gunia letu..lol
 
Jifunzeni kabla ya kutoa shutuma mjishughulishe kidogo! Mngekuwa mmepitia posts zote, msingekuandika hivyo! Kuna wadau wengine wameshasema kila kitu alichosema SS incl. mkuu PASCO pitieni....thread nzima u will know nini mama kasema!

Unajua tena u-great thinker ni kazi ngumu!
 

Kweli mambo aliyoyaongea huyu mama ni UTUMBO mtupu, na huyu ndiye waziri mambo ya utawala bora.......mmmh kweli Tanzania ni kchwa cha Mwenda wazimu.

Sasa kama alijua kuwa Malecela na mkewe walifadhiliwa kwenye ndoa yao au Malecela alilamba m200, yeye kama Waziri wa wizara husika kwa nini hakufuatilia hadi asubiri tume hiyo ya Mwinyi ndo atoe upupu huo??

Huyu kweli ni waziri Tanzania,.....mmmh ONLY in TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…