Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
- Labda wewe na Hosea mngetuonyesha ushahidi, badala ya kuwapigia simu wabunge na kwenda kujikomba kwa Spika,
- Ninamheshimu sana DK, kazi yake kubwa kwenye taifa, ya kuanzisha kampuni ya umeme nilisema wazi kwamba kweli kulikuwa na conflict of interest, sasa kama tuna sheria on that basi alitakiwa achukuliwe hatua za kisheria, otherwise tunawahukumu wananchi wengine kwa ushahidi na sio ngonjera na viroja! ndio sababu tulienda shule!
- Wananchi wenye mawazo kama wewe ndio sababu kina Sophia watakuwa marais wetu in the future!
Ahsante.
William.
off course tutakuwa marais na watu kama ninyi ndio mnaotupigia kura kwa kuwa shida zenu na umasikini wenu ndo unatufanya tuwe viongozi.so kulalamika ni kulalamikia maamuzi yenu ya kutuchagua viongozi kama sisi na akina Sofia simba