Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Nasisitiza kuwa sista sophy asihukumiwe kwa msimamo wake, mwanakijiji anapaswa aweke kila kitu jamvini waziwazi ili tuweze kumuangalia sista sophy kwa ubaya ama uzuri wake.

Jamii ijiulize kwanini waziri? Wanini m/kiti wa uwt na kwanini mbunge atoe maelezo hayo mbele ya kamati ya chama chake?

Tusaidie mzee mwanakijiji, weka mambo hadharani ili pengine tujiridhishe na motive za dada sophy.

Tusimuhukumu kabla ya kufahamu kama faili hili la mwanakijiji lina fact au la?

Tupeni nondo za huko dodoma.
Kamarade es nini kinachojiri huko? Wewe uko wazi na unathubutu kusimama katika kile ukiaminicho.
 
mwanakijiji acha uchochezi, tangu lini umeanza kumtuhumu mtu na kumtaka ajiuzulu bila kuwaambia wana JF sababu?, au unafikiri tulikuwepo wote kwenye kikao?

kama huwezi kunukuu basi naomba topic hii ifungwe!!!

Jifunzeni kabla ya kutoa shutuma mjishughulishe kidogo! Mngekuwa mmepitia posts zote, msingekuandika hivyo! Kuna wadau wengine wameshasema kila kitu alichosema SS incl. mkuu PASCO pitieni....thread nzima u will know nini mama kasema!
 
mwanakijiji acha uchochezi, tangu lini umeanza kumtuhumu mtu na kumtaka ajiuzulu bila kuwaambia wana JF sababu?, au unafikiri tulikuwepo wote kwenye kikao?

kama huwezi kunukuu basi naomba topic hii ifungwe!!!/QUOTE]

Join Date: Wed Nov 2009
Posts: 2
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

Kwanza karibu JF!
Mgeni basi njoo polepole!
 
Huyu mama anaweza kwenda, ebu niambie nani anatakiwa kubaki katika hali ya sasa

Ikiwa ungeunda serikali leo kutoka bunge la sasa, unadhani ungepata japo mawaziri wa kutosha wizara 10? Sijauliza kuhusu raisi na waziri mkuu wake, maana makamu wa raisi ukiacha matakwa ya kikatiba hata asipokuwepo hamna tofauti

Mwanakijiji nitafurahi ikiwa utaweza kujibu kaswali kangu
 
Eeeeh ndo nini hapa ? Ama nimeingia mlango usio wenyewe ?
 
Tuwaache CCM wapasuke jamani. Itakuwa ahueni. Katika hali ya sasa CCM is a threat to national security!

Niliandika mada moja kuwa "kuvunjika kwa CCM ni muhimu kwa taifa". Na kwamba "bora CCM imeguke ili taifa lipone. Na kwa kweli huko tunakokwenda itakuwa hivyo. Tatizo are you guys ready to seize the moment?
 
Kama ni haya tu aliyoyazungumza, sioni sababu ya yeye kujiuzulu. Tusiingie kwenye mtego wa kukataa kuona mapungufu ya hao tunaowapenda kwa sababu tu aliyeyaleta yuko kambi nyingine.

Amandla.......

FM.. siyo kuhusu kile alichosema ni kuhusu kile asichosema vile vile. Huwezi kusimamia utawala bora kwa kuufafanua ufisadi wa kundi moja kwa kuelezea ufisadi wa kundi jingine. Kwa hiyo, tuhuma alizotoa nyingine zinahusu uhalifu wa viongozi wenzake na madai ya mambo kadha ambayo yanapakana na uhalifu. Badala ya kuwaambia kuwa sheria itawafuatia mkondo yeye anaapa kuwa hata hawa wengine nao watasafishwa tu kwa sababu wote ni wachafu. Waziri wa Utawala bora anayetetea ufisadi kwa kuonesha ufisadi mwingine siyo tu hafai anatufanya tujiulize huyo aliyemteua na chama chake wana lengo gani na Watanzania?

do we have any principles au kila kitu kinaangaliwa in terms of nani anaathirika au anafaidika?
 
It's only in Tanzania where a person like Sophia Simba can become a leader and a cabinet minister for that fact. Mama kakaa kama muimbaji wa taarabu na hata maneno yake saa nyingine uta fikiri ni nyimbo za akina Hadija Kopa. If it wasn't for her being a minister i wouldn't waste my time on her.

Hakika kabisa! Huyu mama aliwahi kufanya mahojiano/ mazungumzo na Mwanakijiji kwenye redio yake. Baada ya kusikiliza hayo mazungumzo nikabaki kujiuliza...hhhmm...hivi huyu kweli ni waziri huyu?

Mnaweza kuniita petty lakini jinsi anavyoongea na maneno anayotumia hakika hayaendani na hadhi ya kiuwaziri. Natambua kuwa hakuna masharti ya kwamba ukiwa waziri basi lazima uongee kwa namna flani na lazima utumie maneno flani lakini huyu mama...duuuuh....ukimsikiliza utabloo mwenyewe.

Kwa hiyo hakuna tena litokalo kwa huyu mama litakalonishangaza.

Ila kuna jambo jingine ambalo wengi hamlizungumzii. Huyu mama hakujipa uwaziri yeye mwenyewe. Aliteuliwa. Ni imani yangu kuwa mtu aliye makini mara tisa kati ya kumi atachagua watu walio makini pia. So go figure!
 
mwalimu wake primary aliwahi kusema sophia alishajibu anapenda akikua akaimbe Taarab zanzibar! sasa hii ndo taarab yenyewe sikuwa najua
 
Amesoma barua ya kumsafisha Chenge!!!!! Jamani eeewe Sophia ewe!!!! Kumbe ndivyo ulivyo?!!??? Haya mama!!!
 
Naweza kusema hii ni serikali ya ajabu sana kupata kutokea hapa nchini kwetu tangu tupate uhuru. Ina mawaziri ambao huwezi kujua aliyewateua alikuwa anafikiria nini! Huyu Sofia Simba simfahamu vizuri sana. Sina uhakika kuhusu elimu yake kwani nasikia aliwahi kufanya kazi kama karani wa kawaida sana kwenye idara ya habari (Maelezo) miaka ya nyuma. Wanaomfahamu vizuri wanasema alikuwa na tabia za kichangudoa. Lakini naambiwa pia amezaa watoto wanne na wanaume tofauti tofauti. Mtu wa namna hii lazima atakuwa na dosari kubwa sana, hasa kama kabila lenyewe ni Mndengereko... Hakuna seriousness nchi hii tunahitaji mabadiliko makubwa sanaa kuirejesha nchi kwenye mstari.
 
Pasco.. sofia alisema nini kuhusu wizi wa Benki Kuu wa EPA? amesemanini kuhusu Meremeta? amesema nini kuhusu Richmond kuwa ni kampuni Hewa? amesema nini kuhusu Dowans kuwa ni kampuni hewa? vipi kuhusu Deep Green Finance, Mwananchi, na Loliondo?

Kwake yeye maelezo yake ni "nyinyi wote ni wachafu na tunajua historia yenu kwa hiyo hamna haki ya kutuonesha uchafu wa wengine"? Ndio utawala bora huo?
.

IQ ya Sofi ni ndogo, hivyo alisema hicho alicholishwa kusema, ila lazima tufike mahali tukubali, give the devil his due, EL ni fisadi, fine, lakini ni mtendaji, mchapa kazi na IQ iko juu zaidi ya baby face smiling boy, ambaye hana sound ya authority, na ana total lack of seriousness. Kurudia matapishi ya IPTL ni uthibitisho wa madudu yaliyo kichwani mwake.

Simtetei EL lakini nimebahatika kufanya nao kazi karibu enzi za Mkapa. Tunakokwenda tutakuja kushudia mdhaniaye ndiye kumbe siye, na usiemdhania kabisa, kumbe ndiye.
 
Mmmhhhhh
 
Ingelikuwa vyema ungetujuza ufisadi na agenda walizonazo Wapiganaji. Otherwise naona kama ni mtetezi wa Lowassa na kundi lake.
La ajenda utakuwa umeliona kwenye magazeti ya leo, la ufisadi, nakutayarishia.
 
Naweza kusema hii ni serikali ya ajabu sana kupata kutokea hapa nchini kwetu tangu tupate uhuru. Ina mawaziri ambao huwezi kujua aliyewateua alikuwa anafikiria nini! Huyu Sofia Simba simfahamu vizuri sana. Sina uhakika kuhusu elimu yake kwani nasikia aliwahi kufanya kazi kama karani wa kawaida sana kwenye idara ya habari (Maelezo) miaka ya nyuma. Wanaomfahamu vizuri wanasema alikuwa na tabia za kichangudoa. Lakini naambiwa pia amezaa watoto wanne na wanaume tofauti tofauti. Mtu wa namna hii lazima atakuwa na dosari kubwa sana, hasa kama kabila lenyewe ni Mndengereko... Hakuna seriousness nchi hii tunahitaji mabadiliko makubwa sanaa kuirejesha nchi kwenye mstari.

Matusi mengine haya jamaa mmh haya.

By the way Da Sophy sio mndengestan ni mluguru! au na waluguru nao hawako serious pia?
 
.

IQ ya Sofi ni ndogo, hivyo alisema hicho alicholishwa kusema, ila lazima tufike mahali tukubali, give the devil his due, EL ni fisadi, fine, lakini ni mtendaji, mchapa kazi na IQ iko juu zaidi ya baby face smiling boy, ambaye hana sound ya authority, na ana total lack of seriousness. Kurudia matapishi ya IPTL ni uthibitisho wa madudu yaliyo kichwani mwake.

Simtetei EL lakini nimebahatika kufanya nao kazi karibu enzi za Mkapa. Tunakokwenda tutakuja kushudia mdhaniaye ndiye kumbe siye, na usiemdhania kabisa, kumbe ndiye.

Pasco,
Kwa jinsi ulivyoandika ni kama vile tuna options mbili tu, EL na JK. Nadhani tunweza kupata watu makini kuliko hawa. EL, ni mchapata kazi, hilo halina ubishi lakini ufisadi 'upo kwenye damu'. Hili la pili linafanya hata uchapaji kazi wake usiwe na manufaa kwa taifa. Bado sijashawishika, ni kwa vipi Tz bado inamwitaji EL.
 
Ndg Pasco!!!!

On the other side, amini nawaambieni,
Lowassa is not that bad (Kindly tell us why and how prove ur statement plz?) na wapiganaji are not that clean(Since when those heros are clean??),
nao wanaufisadi wao na agenda zao( Agenda gani mwaga hapa tuone??)

Just to remind u Pascooo labda kule Monduli ndio ana uzuri peke yake laki kwa wilaya zingine za Mkoa huuooo wa Arusha wanamfahamu fika alivyo noma, alikuwa akiwafukuza watendaji bila kuwasikiliza na kawaulize wakandalasi walivyokuwa wakitendwa na na maaamuzi yake na kuweka watu anao wajua wao,

Huyo Sofia Simba ni utata mtupu ni bora ajiuzuli tu ingawa desturi ya viongozi wa TZ hawajiuzuru ng'oooooo hata msemeje
Kuhusu uchafu na usafi wa EL, Rev Kisho alishasema yote.
Baadhi ya wapiganaji sio all that clean, tukianzia kwa Six mwenyewe, stinks ufisadi, Mwaki ni too sensetional, Sendeka ni Pupet wa Mengi, and list goes on. Wako wapiganaji ambao hawapiganii maslahi ya taifa, wanapigania nafsi zao 2015, ila pia nakiri, there are some good guys akiwemo Selelii.
Agenda ni moja tuu, 2015, namsikiikia Six, anamwamini sana Mwaki, cames 2015, amini usiamini, kambi inahamishiwa kwa M'Ndosya kule kule kwenye siasa za Mbeya. Membe ni boya litasukumwa kama ubua, tishio kwa sasa ni Pinda, naye watamuandermine in between 2010-2015 ili kumueliminate.
Mambo ni mengi ni mengi ni mengi sijui pa kuanzia na pa kuishia. Natamani ningekuwa na kipaji cha uandishi kama Mwanakijiji nami niwe namwaga sera zangu, unfortunately I'm not.
 
.

IQ ya Sofi ni ndogo, hivyo alisema hicho alicholishwa kusema, ila lazima tufike mahali tukubali, give the devil his due, EL ni fisadi, fine, lakini ni mtendaji, mchapa kazi na IQ iko juu zaidi ya baby face smiling boy, ambaye hana sound ya authority, na ana total lack of seriousness. Kurudia matapishi ya IPTL ni uthibitisho wa madudu yaliyo kichwani mwake.

Simtetei EL lakini nimebahatika kufanya nao kazi karibu enzi za Mkapa. Tunakokwenda tutakuja kushudia mdhaniaye ndiye kumbe siye, na usiemdhania kabisa, kumbe ndiye.

Mkuu hilo halina ubishi ila kuna kitu hakijapewa uzito wake. Kwa wale anaosoma maandiko wanajua kuwa, Baba alimtuma mwana, naye mwana aliyafanya mapezi ya baba yake. Kama mwana alifanya mema sifa si zinakwenda kwa baba? Na akiboronga inakuwaje baba awekwe pembeni? Mimi naamini shida yetu kubwa ni baba na siyo wana.
 
Back
Top Bottom