So Sad!...@SnowBall nawaageni hapa MMU..

Wanabodi heri ya mwaka mpya kwenu wote

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwepo hapa kwa muda mrefu kidogo...Lakini pia niwashukuru nyote kwa kunipokea. Tumeishi vizuri na mmekuwa msaada kwangu kwa kipindi nilichokuwepo hapa. Ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitakuwa na ninyi kama tulivyozoea. Kwa wale wenye simu yangu nadhani tutawasiliana huko..nitakuwa nje ya social networks kwa muda.
Binafsi ntawamiss sana ila imebidi.
Mwenyezi Mungu awabariki sana
Ndimi wenu mdogo SnowBall

kaka huko uendako Mungu awe nawe...na karibu tena
 
Last edited by a moderator:
mkuu una ``comply with Terms and Conditions`` nn?QUOTE=SnowBall;8256243]Wanabodi heri ya mwaka mpya kwenu wote

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwepo hapa kwa muda mrefu kidogo...Lakini pia niwashukuru nyote kwa kunipokea. Tumeishi vizuri na mmekuwa msaada kwangu kwa kipindi nilichokuwepo hapa. Ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitakuwa na ninyi kama tulivyozoea. Kwa wale wenye simu yangu nadhani tutawasiliana huko..nitakuwa nje ya social networks kwa muda.
Binafsi ntawamiss sana ila imebidi.
Mwenyezi Mungu awabariki sana
Ndimi wenu mdogo SnowBall[/QUOTE]
 
Wakati unaandika haya wewe SnowBall, ulijua kuwa kuna wengine tushakuwa na matatizo ya kung'amua mambo?

Hebu mweleze vizuri babu akuelewe....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu au kanuni ukiwa waziri wa ulinzi inabidi u-sarrende ID ya jf ? nilikuwa nasikiaga tu kumbe inawezekana...Hope utarudi jf pindi ukipigwa chini kama mtangulizi wako...all the best ktk kulijenga taifa....
 
Wakati unaandika haya wewe SnowBall, ulijua kuwa kuna wengine tushakuwa na matatizo ya kung'amua mambo?

Hebu mweleze vizuri babu akuelewe....

Babu DC!!

babu DC ww kwa uelewa wa kibabu unahisi anaenda kuanza safari na mzee wa Monduli??safari imeanza jana tar/1/2014, aah aha aah
Nijuavyo mimi kijana wetu mpira wa kwenye barafu anaenda kuukwaa ukuu wa walala nje.....
 
Last edited by a moderator:
Pacha usiende bana!
Please.

Pacha wangu najua how hard it is kukuacha mpweke..
But..please niruhusu niondoke kwa sasa mahali hapa
I hope one day we wanna meet again with same ID and Avatar
I wanna miss u saana...
 
Wakati unaandika haya wewe SnowBall, ulijua kuwa kuna wengine tushakuwa na matatizo ya kung'amua mambo?

Hebu mweleze vizuri babu akuelewe....

Babu DC!!

Babu si unajua zile sababu zilizo juu ya uwezo?
Imebidi tu mkuu wangu..
Na nadhani sikuwaangusha kipindi chote nilichokuwepo
This is my last thread...msalimie bibi bana
 
so saaaaad.... to accept this news jamani.
haya kila la kheri rafiki.
 
Back
Top Bottom