So Sad!...@SnowBall nawaageni hapa MMU..

So Sad!...@SnowBall nawaageni hapa MMU..

shemkwe hapana hakuna aliyenikataza na wala si fungate...kuna wakati tu mambo huwa mengi hadi wakosekana wasaa wa kuja huku.


So sad

Will miss you for sure my shemkwe
 
Wanabodi heri ya mwaka mpya kwenu wote

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwepo hapa kwa muda mrefu kidogo...Lakini pia niwashukuru nyote kwa kunipokea. Tumeishi vizuri na mmekuwa msaada kwangu kwa kipindi nilichokuwepo hapa. Ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitakuwa na ninyi kama tulivyozoea. Kwa wale wenye simu yangu nadhani tutawasiliana huko..nitakuwa nje ya social networks kwa muda.
Binafsi ntawamiss sana ila imebidi.
Mwenyezi Mungu awabariki sana
Ndimi wenu mdogo SnowBall

also jf misses you too..
 
Last edited by a moderator:
Nenda salama tunakutakia kila la kheri mkuu. Ukirudi tunakukaribisha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pacha wangu najua how hard it is kukuacha mpweke..
But..please niruhusu niondoke kwa sasa mahali hapa
I hope one day we wanna meet again with same ID and Avatar
I wanna miss u saana...

i miss u already.
 
hii naona ni janja ya nyani tu...!

kwani kuna cost gani kuingia humu? hivi huwezi kuingia jf wakati maybe uko safarini ndani ya basi, ama ndege, ama meli?

na mifoleni yoote hii ya dar, 2hours on road.. kwanini nisijipotezee mastress kwa kulog in na kuongea na warembo kama Ennie.. Heaven on Earth.. miss chagga.. Mrembo by Nature na wengineo?

sidhani kama unaweza kuwa busy kiasi hicho! hata kama ni ofisi.. lazima utachungulia mails na kuzijibu pia..! au sio kaka Arushaone? hata baba paroko Eiyer, kashindwa kujizuia kule parokiani.. anatoroka na kuingia jf..! no way!! otherwise uje na id nyingine!!! hivi kweli itapita wiki sijaingia jf????

nilivyoingia jf hata sikumbuki.. ila kutoka..mmh!! shida!!
SnowBall usiniambie kwamba hautokuwa hata unaangalia mails zako..! hautoingia fb! hautoijua twitter wala insta wala badoo!! sasa sijui utaishi paradize ama vipi??

by the way, maisha mema huko uliko!

duhh nilipotea online mie ndo naonekana kwa hewa....
 
Back
Top Bottom