So Sad!...@SnowBall nawaageni hapa MMU..

Kuonana ni majaaaliwa kaka, nakutakia kila la kheri huko wendako.....
 
wasalimie kigoma kaka......... du inaonekana unaenda sayari ya mars nini?
 
Babu si unajua zile sababu zilizo juu ya uwezo?
Imebidi tu mkuu wangu..
Na nadhani sikuwaangusha kipindi chote nilichokuwepo
This is my last thread...msalimie bibi bana

Bado babu hajaweza kukuelewa aisee...

Mitandao imezagaa kila mahali kama mchanga wa beach. Na kama mkoloni anabana sana, unaweza kumwomba shemeji akawa anatupiapo jicho jukwaani na kukupa hint ya kile kinachoendelea....

Yaani unahisi kuwa umetutendea haki sisi wenye vitukuu? Ukimaanisha kuwa, hata Mungu akiamua leo kujichukua kilicho chake bado utaendelea kuwa mafichoni....na hutaweza kutuaga siyo??

Not fair hata kidogo....

Babu DC!!
 
babu DC ww kwa uelewa wa kibabu unahisi anaenda kuanza safari na mzee wa Monduli??safari imeanza jana tar/1/2014, aah aha aah
Nijuavyo mimi kijana wetu mpira wa kwenye barafu anaenda kuukwaa ukuu wa walala nje.....

Mi sitaki bwana....

Nimeshajichokea kiasi kwamba hizi story za kupasua moyo siwezi kuzimudu tena.....

Babu DC!1
 
We will miss you SnowBall.

. . . . But if possible please change your mind bhana.
 
Last edited by a moderator:
Huko ni wapi kusiko na internet mkuu? Anyway safari njema ya kwenda mwezini.
 
O o ho! Tutamiss sana uwepo wako humu jamani. Yani nimepata huzuni gafla bin vuu....
 
hii naona ni janja ya nyani tu...!

kwani kuna cost gani kuingia humu? hivi huwezi kuingia jf wakati maybe uko safarini ndani ya basi, ama ndege, ama meli?

na mifoleni yoote hii ya dar, 2hours on road.. kwanini nisijipotezee mastress kwa kulog in na kuongea na warembo kama Ennie.. Heaven on Earth.. miss chagga.. Mrembo by Nature na wengineo?

sidhani kama unaweza kuwa busy kiasi hicho! hata kama ni ofisi.. lazima utachungulia mails na kuzijibu pia..! au sio kaka Arushaone? hata baba paroko Eiyer, kashindwa kujizuia kule parokiani.. anatoroka na kuingia jf..! no way!! otherwise uje na id nyingine!!! hivi kweli itapita wiki sijaingia jf????

nilivyoingia jf hata sikumbuki.. ila kutoka..mmh!! shida!!
SnowBall usiniambie kwamba hautokuwa hata unaangalia mails zako..! hautoingia fb! hautoijua twitter wala insta wala badoo!! sasa sijui utaishi paradize ama vipi??

by the way, maisha mema huko uliko!
 
Heeey! Umeongea kwa hisia jamani...ngoja nkuletee maji upandishe walau tabasamu
 
Excel wala usijali sisi tutaendesha jukwaa kama kawa ila mwache akale maisha huko alipo
 
aya kilalakheri rafiki ila ukirudi niletee chocolate ... i will miss u
 
Back
Top Bottom