Said mayazi
Member
- Sep 24, 2011
- 10
- 1
Lol confusing lakini maiti alikuwa BABA wa mtoto yule
WAHAYA kwa mbwembwe, we acha tu! Mujuni na mkewe Kokubanza wanaishi Dar. Walienda likizo kijijini kwao huko Bukoba. Wakiwa huko wakawa wanaitana DARLING, DARLING. Wahaya wa kijijini wakainasa hiyo kwamba hao wanaishi Dar ndio maana wanaitana Darling. Kwa sababu ya ujuaji wala hawakutaka kuuliza maana ya Darling. Walipoondoka tu nao wakaanza kuitana kila mtu na mkewe BUKOLING, BUKOLING eti kwa kuwa wanaishi Bukoba! Chezea wahaya kwa misifa wewe!
Cheki kimombo cha polisi wa bongo baada ya kumkamata mzungu:
Yesterday I saw you at the maize shop (jana nilikuona dukani kwa muhindi). When you saw me you started to six six (uliponiona ukaanza kusitasita). When I follow you run and plant a car (nilipokufuata ukakimbia na kwenda kupanda gari). Now your down of security (sasa upo chini ya ulinzi). Sleep and snake well before I cut you a millet (lala nyooka vizuri kabla sijakukata mtama)
SALA MAALUMU
Familia moja ilitembelewa na wageni.Wakati wa wageni kuondoka ulipofika wakamwambia mtoto wao mdogo aombe wageni waende salama,akaanza:-
"Ee Mungu nashukuru kwa kunipa wazazi wakarimu,nashukuru kwa kuwaleta hawa wageni waliomaliza chakula changu...naomba usiwalete tena wakati wa kula.
Mungu bariki wasichana wote walio uchi katika simu ya baba wapate nguo.
Mungu pia wajalie wasichana wanaoingia chumba cha kaka wapate sausage zao...waache kunyonya ya kakangu.
Pia punguza hasira za watchman wetu...aache tabia ya kuingia chumba cha dada kila usiku na tabia ya kumrukia kwa hasira kitandani na kumpigisha nduru.
Mwisho mungu bariki wanaume wote wanaokuja kulala na mama wakati baba yupo safarini wapate vitanda vyao..Amen!!"
Kesi wa Marangu
Baada yakutoka kwenye ibada ya pasaka, Kessy alipita kwenye moja moto moja baridi. Pombe zikaanza kumpanda taratibu akaanza kukumbuka ibada sehemu ambapo Yesu anakaribia kukamatwa na kuteswa. Akaanza kuimba kwa sauti...
... Mateso yake Bwana wetu Yesu Kristu, Kama yalivyoandikwa na Luka...
...Wakati uke, Yesu alipokuwa na wafuasi wake, akasema...
Mara akawaona watu ambao sura zao hazieleweki wakiingia kwenye bar, wakiangalia huku na huku. Kessy akashituka, lakini baadae akaendela kuimba
Kessy: .... Mwamtafuuta naaaani...?
Wale watu wakadakia: ... Kessy wa Marangu...
Kessy wa Marangu akaona makubwa haya, akashindwa kuendelea kuimba kwa sababu maneno yaliyokuwa yanafuata yanatakiwa yawe ... Niii mimiiii....
Roho Mbaya
Ona watu walivyo na roho mbaya!;
Jamaa alishukiwa na Malaika wa Mbinguni akaambiwa "Omba chochote unachotaka utapewa, lakini jirani yako atapewa mara mbili". (Mfano: Ukiomba PRADO jirani yako atapewa PRADO mbili, nawe utapata moja).
Jamaa akafikiria sana kwa muda kisha akamwambia Malaika "Nitoe jicho moja"
My girlfriend left a note on the fridge "It's not working. I can't take it anymore. I am going to my Mom's place"
I opened the fridge. The light came on. The beer was cold... What the hell is she talking about?
wakati wa Kombe la TAIFA CUP lililoshindanisha Mikoa, Mkoa wa Kilimanjaro kulikuwa na wachezaji kama vile MARTINI KIKWA, ONESMO MBORO na wengineo
Mechi kati ya Iringa na Kilimanjaro Onesmo Mboro akaumia kwa hiyo asingeweza kucheza Mechi inayofuata na Tanga
kabla ya siku 3 ya mechi Magazeti yakatoka na kichwa cha Habari 'KILIMANJARO KUCHEZA BILA MBORO' Kocha wao akalalamika sana vichwa vya habari vibadilishwe upesi kabla ya siku ya mechi nayo yakaandika 'KILIMANJARO KUCHEZA WAKATI MBORO NJE' Kesho yake Uwanja ukajaa mashoga kibao na wadada wakitaka kushuhudi urefu na ufupi wao
Duh! Hahahaa
maiti baba yako.Ukiweza nakupa Zawadi!
Kuna MTOTO alikuwa analia juu ya KABURI alipiulizwa unalilia nini akajibu KAKA wa MKE wa MAITI ni MJOMBA WANGU. JE MAITI NI NANI HAPO?
inabidi niende hospitali nikapige X- ray nahisi mbavu zimevunjia kwa kucheka, gays you make my day
Padri alikuwa anafuga kuku, siku moja jogoo waka alipotea akaamua kutangaza kanisani.
Padri: Waumini wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama!
Padri: Sio hivyo, wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.
Padri: Hamjanielewa, wangapi wameona jogoo wangu? Masister wote wakasimama!
Padri akatimua mbio! Je padri alikimbia nini?
Wasukuma watatu walienda mjini kwa ndugu yao. Walipofika wakapewa soda wakanywa. Mmoja akachukua kisoda akaweka mfukoni, akamnong'oneza mwenzake "NASOLA MBIYU (nimechukua mbegu) TUKAHAMBE NUBHISE UKUKAYA TUNONINO UTWENUTU (tukapande na sie nyumbani utu tumaji tutamu)".
Chezea Wasukuma wewe!