SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

Sheria ya usingizi ya mwaka 2013, ibara ya 2, inasema "ndoto ni haki ya msingi ya kila asinziae". Kifungu cha 3(c) cha sheria hiyo kinampa haki mtu yeyote kulala, kuota na kumtakia njonzi njema mtu ampendae. Hivyo basi, kwa kutumia haki yangu hiyo ya kisheria nakutakia usiku mwema.
 
Ukiweza nakupa Zawadi!

Kuna MTOTO alikuwa analia juu ya KABURI alipiulizwa unalilia nini akajibu KAKA wa MKE wa MAITI ni MJOMBA WANGU. JE MAITI NI NANI HAPO?
 
Mtalii amekodi boti anazunguka nalo kwenye mto Zambezi kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, "Do you know Biology, Psychology, and Anthropology?" Kijana akajibu "No". Mtalii akamwambia "What the hell do you know under the sun? You are useless and u´ll die with your illiteracy"

Baada ya muda boti ikaanza kuzama, kijana akamuuliza mtalii "Do you know kuogeleaology and kusepaology from mambaology?" Mtalii akajibu huku ametoa macho "No". Kijana akamwambia "You will kufaology and mambalogy will eat your machoyakology because of your bad-mdomology".

Chezea language wewe
 
Ha ha ha!
mbavu zangu mie!
 
Ukiweza nakupa Zawadi!

Kuna MTOTO alikuwa analia juu ya KABURI alipiulizwa unalilia nini akajibu KAKA wa MKE wa MAITI ni MJOMBA WANGU. JE MAITI NI NANI HAPO?

Maiti ni baba wa mtoto anaye lia
 
Familia iliyozoea matusi muda wote, siku moja ilienda kumposea mtoto wao wa kiume mchumba kwenye familia ya wastaarabu, wakapatana wawe wastaarabu na heshima huko waendako, hamna kutukana kwenye famillia wanayoenda kuposa.

Mchumba akaleta chai bila kijiko, yule kijana akahamaki kwa kelele "SARAH - sasa unaleta chai bila kijiko ntakoroga na MB*O yangu?".
BABA WA KIJANA: Nyamaza khanithi wee zungumza kwa adabu mtoto wa kahaba wewe!!
DADA: Mnat**bwa nini kwani hapa tumefata chai au K*ma?
MAMA WA KIJANA: Wallahi nifi**ni kama mtaozeshwa huyo binti.

Familia ya binti ikabaki kimya
 
Baada ya pilika za kutwa watu wengi wanaenda kushiriki TENDO linalopendwa na lililotawala wengi, watalifanya wachungaji, mashehe, wanandoa, wasio na ndoa na haswa wewe ndo mtaalamu. Tendo hili lina raha sana, na tamu, na limesababisha watu kufukuzwa kazi, wanafunzi wanaoendekeza wanafeli masomo! Na si lingine bali ni "USINGIZI". Mmmmh ... Pole kama uliwaza tofauti, Sikumaanisha hivyo!
 
Chemsha bongo

Niandikie jina la ndege mwenye herufi 7, ukitoa herufi 2 za mwisho unapata jina la tunda, pia utapata jina la samaki, na ukigeuza jina la samaki unapata silaha.
 
Chemsha bongo

Niandikie jina la ndege mwenye herufi 7, ukitoa herufi 2 za mwisho unapata jina la tunda, pia utapata jina la samaki, na ukigeuza jina la samaki unapata silaha.

Kunguru
 
Familia iliyozoea matusi muda wote, siku moja ilienda kumposea mtoto wao wa kiume mchumba kwenye familia ya wastaarabu, wakapatana wawe wastaarabu na heshima huko waendako, hamna kutukana kwenye famillia wanayoenda kuposa.

Mchumba akaleta chai bila kijiko, yule kijana akahamaki kwa kelele "SARAH - sasa unaleta chai bila kijiko ntakoroga na MB*O yangu?".
BABA WA KIJANA: Nyamaza khanithi wee zungumza kwa adabu mtoto wa kahaba wewe!!
DADA: Mnat**bwa nini kwani hapa tumefata chai au K*ma?
MAMA WA KIJANA: Wallahi nifi**ni kama mtaozeshwa huyo binti.

Familia ya binti ikabaki kimya

Nimecheka sana.Hiyo familia ilikuwa imepinda ni balaa.
 
Makavu ya idd.
mwanamke: baby leo bata wapi?
mwanaume: kwenye banda lao!
 
Kuna DADA alichumbiwa na WANAUME wanne:
1. Msanii
2. Mvuvi
3. Mwindaji
4. Doctor

Siku moja dada huyo alienda mtoni kufua, ghafla alitokea mamba akamchukua akazama nae majini. Pale pale msanii akatunga wimbo akaanza kumwimbia mamba akatokeza kichwa juu. Mwindaji akampiga risasi mamba akafa, na dada akabaki akitapatapa ndani ya maji. Mvuvi akaogelea kwenda kumwokoa akamleta nchi kavu. Doctor akamtibu majeraha mpaka akapona.

Swali linakuja, je aolewe na nani?
 
Mlevi alikamatwa na polisi,kufika kituoni moja kwa moja hadi counter kuandikisha maelezo,mlevi katupa jicho ukutani kaona picha za Rais Kikwete na IGP Mwema..mlevi akaguna mh huku akimwonyesha askari!!!kweli msako wa leo kiboko,hadi hawa mmefanikiwa kuwakamata leo!kweli mlitupania.
 
Back
Top Bottom