SMS hizi! Ungefanyaje?

IMG-20140521-WA0008.jpg
 
Mama mmoja alikuwa anapika supu,
akamtuma mwanawe limao,
Mtoto wakati yuko juu ya Mlimao akapita Tajiri mmoja akamuona mtoto ------ wazi,
tajiri akamshusha akampa pesa 50,000/= za kununua nguo na chakula,
Mama kuona mtoto kapata pesa, na yeye akapanda juu ya mlimao bila chupi,
Tajiri akamshusha akampa sh. 100 akamwambia kanunue wembe,
Unadhani tajiri kaona nini?

Duuuh kwikwikwiii
 
JINSI YA KUMUAMSHA MWANAMKE KUSWALI SWALA YA ALFAJIRI

MUME; AMKA MPENZI
MKE ; KIMYA

MUME ; MAMA WATOTO AMKA SWALAA
MKE ; KIMYA

MUME ; WEE MWANAMKE AMKA MUDA WA SWALAA UMEFIKA NAKWAMBIA ...
MKE ; KIMYA

MUME ; NATAKA KUKWAMBIA NIMEPELEKA POSA NATAKA KUOA
MKE ; NINIIII UNASEMAAAJE

MUME ; ALAAAAA KUMBE UPO MACHO haya wakati wa SWALAA UMEFIKA HAYA AMKA

chezea mke wenza weye

Hahahaaaa hiyo kali
 
Mke mwenye Wivu alipanga mpango amfumanie Mumewe kuwa anatembea na HouseG,
akamsafirisha asubuhi huyo beki3 bila mumewe kujua.
Ilipofika usiku Baba akamwambia mkewe kuwa naenda Sebuleni kuangalia mpira Ligi ya UK kuna Man-U
Basi hapo mke akanyemelea chumbani kwa beki 3 na kulala uchi bila kuwasha taa.
Jamaa akaingia na kupiga bao zake 5 alipotaka ya 6 Mama akaruka NIMEKUKAMATA leo mbona mm unapigaga bao 2 tu unachoka?
Du kumbe Mlinzi wao yeye kwa hofu AKAPIGA YOWE MAYUWANEEE sikujua km ni wewe mke wa boss
Hapo mzee chele zikamcheza akafungua mlango ..........

Duuuu hilo soo
 
Back
Top Bottom