SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

mfalme mmoja aliwaita wananchi wake akawaambia 'namtaka shujaa atakaye weza kuogelea na kuvuka kwenye huu mto wa mamba nitamuozesha bint yangu na kumpa nusu ya ufalm....'
kabla ya kumalizia akasikia 'pwaaah'.jamaa kaogela mpaka upande wa pili.mfalme akasema 'nitakupa bint yangu na nusu ya ufalme wangu' jamaa akasema 'sitaki bint yako wala zawadi zako,namtaka huyo bw**g* alyenisukuma humu mtoni'
 
kwa kwa kwaaa
 
jamaa alchkua changudoa, sasa wakati wana**x demu akajamba, jamaa akamuuliza unataka kun*a? Dem akajibu, nakubeep u2mie line hii, hyo unayo2mia netwrk inasumbua! Teh teh teh
 
SALA MAALUMU

Familia moja ilitembelewa na wageni.Wakati wa wageni kuondoka ulipofika wakamwambia mtoto wao mdogo aombe wageni waende salama,akaanza:-

"Ee Mungu nashukuru kwa kunipa wazazi wakarimu,nashukuru kwa kuwaleta hawa wageni waliomaliza chakula changu...naomba usiwalete tena wakati wa kula.

Mungu bariki wasichana wote walio uchi katika simu ya baba wapate nguo.

Mungu pia wajalie wasichana wanaoingia chumba cha kaka wapate sausage zao...waache kunyonya ya kakangu.

Pia punguza hasira za watchman wetu...aache tabia ya kuingia chumba cha dada kila usiku na tabia ya kumrukia kwa hasira kitandani na kumpigisha nduru.

Mwisho mungu bariki wanaume wote wanaokuja kulala na mama wakati baba yupo safarini wapate vitanda vyao..Amen!!"
 
Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema kuwa anataka uhusiano wao uishe. Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi.Mume wake alipomuona akamuuliza;

MUME:"Hio sms ya nini?"
MKE:"Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu."
MUME:"Mbona unalia basi?"
MKE:"Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu!"
 
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika.

sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku, mpaka huyu mwanamke akawa anachukia,mwisho akaamua abadilishe laini, alipotia laini ile mpya tu akamtumia sms yule jamaa kwa kumwambia

"sasa nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe"
...
nae yule jamaa zuzu akamjibu

"nitahakikisha naitafuta hio namba yako mpya, hata chini ya ardhi mpaka niipate."
 
Je unatamani kuwa mwalimu?

Kibaka aliapa mbele ya wenzake kutowaibia walimu tena! kutokana na mambo yaliyokuwemo kwenye pochi za walimu hao
1. Majina ya wapiga kelele
2. Vipeperushi vya mgomo
3. Marking scheme
4. List ya madeni anayodaiwa
5. Vipande vya chaki
6. Majina ya watoro
7. List ya watoto waliokopa ubuyu na barafu
8. Sh. 500 ya nauli tu
 
Uvumilivu Umenishinda

Habari yako. Uvumilivu umenishinda, kuna kitu umekifanya kimenikera kweli...!! Nimeambiwa habari zako, yaani sikuamini...! mpaka sasa hainiingii akilini, naona kama naota vile! lakini hizi ni habari toka kwa mtu ninayemuamini sana. Nikaona nikuulize mwenyewe kwa sababu labda ni chuki binafsi kuchafuliana majina. Sasa naomba uwe muwazi na mkweli uniondoe katika utata huu na kurudisha heshima yako. eti ni kweli UNATEMBEA na simu yako?
 
Eti kurudiana na X wako ni sawa na kulipia kiingilio kwenda kuwatch movie ambayo ulikwisha kuangalia. LOL!
 
HP1 hapana mbavu zimeisha ama kweli wee balaa,uyo mtoto mbona asingefika uko unamziba mdomo na kumnyakua juu-juu

Tehe tehe toh koh koh kwikwikwiiiii
 
Jamaa alikuwa anasumbuliwa na panya akaamua kuwategea sumu kwenye nyama ya nguruwe. Kesho yake akakuta karatasi imeandikwa 'TUWEKEE KWENYE SAMAKI SISI WENGINE NI WAISLAM'
 
[h=5]"Every day in Africa a gazelle wakes up. It knows it must run faster than the fastest lion or it will be killed. Every morning a lion wakes up. It knows that it must outrun the slowest gazelle or it will starve to death. It doesn't matter whether you are a lion or a gazelle. When the sun comes up, you better be running." ~ Abe Gubegna.[/h]
 
Jamaa alikuwa anasumbuliwa na panya akaamua kuwategea sumu kwenye nyama ya nguruwe. Kesho yake akakuta karatasi imeandikwa 'TUWEKEE KWENYE SAMAKI SISI WENGINE NI WAISLAM'

hahaaaa....umetishaaas
 
Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema kuwa anataka uhusiano wao uishe. Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi.Mume wake alipomuona akamuuliza;

MUME:"Hio sms ya nini?"
MKE:"Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu."
MUME:"Mbona unalia basi?"
MKE:"Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu!"
jf ina raha sana nimecheka mpaka nimejamba.
 
Duuuu! Hakyanani jf haina mfano yaani unaweza kusahau hata kakodi ka nyumba kwa mda. Aiseee teheteheteheeeeee uuuuu!! uwarikiWaU
 
Jamaa alikuwa anasumbuliwa na panya akaamua kuwategea sumu kwenye nyama ya nguruwe. Kesho yake akakuta karatasi imeandikwa 'TUWEKEE KWENYE SAMAKI SISI WENGINE NI WAISLAM'
teh teh tee!!Wanivunja mbavu!Uwwwwiiiii!!!
 
Duuuu! Hakyanani jf haina mfano yaani unaweza kusahau hata kakodi ka nyumba kwa mda. Aiseee teheteheteheeeeee uuuuu!! uwarikiWaU
Ha ha ha huhaaaa! We MKALEEEE UNAMULIKA MPKA GIZANI? MSALIMIE MZEE WA MAJIMBO!
 
Back
Top Bottom