MGOMO WA WEZI
Hatimae wezi nao wametangaza mgomo, watagoma kuiba kuanzia KESHO na kuendela kushinikiza siku zao ziongezwe, badala ya siku za mwizi AROBAINI wanataka za mwizi ziwe THEMANINI! Kweli Tanzania bila migomo haiwezekani.
Weka nje mali zako kipindi hiki cha ngomo, usalama upo.
Mwanafunzi: hivi mwl ukichanganya omo na foma zotatoa povu?
Mwl: Kwa hasira akajibu,swali gani la kipuuzi hilo, zitatoa kwa sababu zote ni sabuni.
Mwanafunzi: WeWe ndo mwenyw majibu ya kipuuzi, ----- wee zitatoaje povu wakati hatujaweka maji.
Mwl: hoi
Wendawazimu waliamua kuanzisha shule chini ya mti wakaokota vitabu na kujifanya wanasoma. Kesho yake wakamkuta mmoja wao amepanda juu ya mti na baada ya kumuuliza mbona uko juu? Akajibu niko High School...