SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

Padre na sister wakiwa safarini walikosa nyumba ya wageni wakapata chumba kimoja wakalala wote ila wakatenganisha kwa kuweka mto katikati,asubuhi na mapema wanatoka wanakuta geti limefungwa na hakuna mtu,
PADRE; Turuke ukuta!!
SISTER;Nyoooo!!umeshindwa kuruka mto uutaweza ukuta!!

Ha ha ha ha ha.... Asante kwa kunifanya nicheke, nadhani padri aliishiwa nguvu kabisa kwa jibu hilo!!
 
MC Aangalie baba mkwe ni kabila gani..maana huo utani uwafanyie watu wa tarime..mmmmh..kabla ujamalizia sentensi shingo halali yao
Hahahaaa anaangalia kabila vinginevyo wanafungua bucha hapo hapo
 
PESA INA MAJINA MENGI SANA
  • Kwenye Ibada Sadaka /zaka
  • Kwenye Misiba inaitwa Rambirambi
  • Kwenye Mashuleni/ Vyuoni inaitwa ada /Karo
  • Kwenye vyombo vya Usafiri inaitwa Nauli
  • Kwenye kudai upendeleo Mahakamani au POLISI inaitwa Rushwa Hongo.
  • Kwenye Kumdhamini Mtu Mahakamani au POLISI inaitwa Dhamana
  • Kwenye Mapenzi pesa inayotolewa kununua / kulegeza / kulinda Penzi inaitwaje?
Inaitwa hongo, wahongaji wanalijua hili watakuja kuleta na yale majina mengine
 
jamaa alchkua changudoa, sasa wakati wana**x demu akajamba, jamaa akamuuliza unataka kun*a? Dem akajibu, nakubeep u2mie line hii, hyo unayo2mia netwrk inasumbua! Teh teh teh
Jamani tuhurumie mbavu mbavu zangu!
 
Ni vizuri kuutia mkono kwa mbele na kuichezea..!! Inapendeza kutumbukiza vidole viwili ndani na kuisugua..!! Pia unaweza kuongeza vidole kulingana na upana wake..!!!uc fikirie vibaya ni jinsi yakuosha glass...!!!
 
Binti wa mchungaji katoa ushuhuda kanisani

Haleluyaaaaa!!! Nashukuru Mungu kwa kuniponya, nilikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu sehemu za siri kila mwezi, lakini tangu nimeanza kwenda kwa kaka Sanga usiku ni mwezi wa tatu sasa ugonjwa umepona kabisa haleluyaaaa

Watu aaaaah!! Mimba hiyo!!!!
 
Ni vizuri kuutia mkono kwa mbele na kuichezea..!! Inapendeza kutumbukiza vidole viwili ndani na kuisugua..!! Pia unaweza kuongeza vidole kulingana na upana wake..!!!uc fikirie vibaya ni jinsi yakuosha glass...!!!
Hahahaaaa
 
Nimeiona: mtoto alikuwa anaoga akicheza na baba yake, alipomrukia babaye shingoni akateleza kabla ya kuanguka akadaka uume...mtoto akamshukuru baba. Baba akamwambia una bahati, ungekuwa na mama yako ungekoma!
Kwikwikwiiiii
 
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika.

sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku, mpaka huyu mwanamke akawa anachukia,mwisho akaamua abadilishe laini, alipotia laini ile mpya tu akamtumia sms yule jamaa kwa kumwambia

"sasa nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe"
...
nae yule jamaa zuzu akamjibu

"nitahakikisha naitafuta hio namba yako mpya, hata chini ya ardhi mpaka niipate."
teheteheteheeee
 
Mke : kuna nini kwa jirani?
Mume. : itakuwa Birthday
Mke : ya nani?
Mume : Tuyuu
Mke : Tuyuu ndio nani?
Mume. : simui ila wanamwimbiaga Happy Birthday Tuyuu ....

Dah mwanangu hii kabambe, tehe tehe teheeee
 
[h=5]kuna mzee mmoja alikua anakunywa uji katika
mgahawa flani hivi,mara akafika mzungu na
kuagiza soda ya FANTA alipomaliza kunywa
akasema THIS IS VERY FANTASTIC.yule mzee
naye ili kuonesha amesoma na anajua kizungu,
alipomaliza uji wake akasema THIS IS VERY
UJISTIC[/h]
 
Ushauri wangu kwenu "UCMUONE NG'OMBE ANAJISAIDIA HUKU ANATEMBEA",anaokoa muda.
 
nani mwenye makosa?

Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.

hahaaaaaaaaaaaa, wote sawa.
 
Nani hasa mmiliki wa MWANAMUME? ni MAMA MZAZI au MKEWE basi fuatailia kisa hiki
  • MAMA; Mwanangu ni lazima aniheshimu sana mimi kwani alinyonya MAZIWA yangu kwa miaka 2 mfululizo
  • MKEWE: Mimi ni zaidi ya miaka 5 toka anioe hadi leo ananinyoya tu MAZIWA yangu
  • MAMA: Nilimbeba tumboni kwa miezi 9 hadi alipozaliwa akiwa na kilo 3.5
  • MKEWE: Kipindi hicho alikuwa mwepesi sasa hivi mimi nambeba akiwa na kilo 87
  • MAMA: Alipita katika mapaja yangu
  • MKEWE Haa wewe alipita mara moja tu kwangu mimi anakuwemo kwenye mapaja yangu kila usiku na anazama kabisa chumvini.
 
Binti wa Kijijini Matombo kaolewa na baada ya fungate wakaenda Jijini Dar ilipofika usiku
  • Mume=panda kitandani
  • Bint= kapanda
  • Mume= vua nguo zote,
  • Binti = akavua hadi pichu
  • Mume= *anua miguu
  • Binti = akatii
  • Mume= akasogea kuangalia akaona msitu wa mavutz marefu kama rasta
  • Mume= mbona msitu wote huo?
  • Binti = nimekuja kwa Mume kut*mb** au kusukwa ebu toka Wanaume wa Dalisalam nasikia huwa mnakulaga kwanza mm nilishakata na *****
 
  • Kwa nini siku 40?
  • Mtoto akizaliwa anatolewa nje baada ya siku 40,
  • Mtu akifa siku ya 40 anafanyiwa ibada,
  • Za mwizi 40,
  • Waisrael walikaa nyikani kwa muda wa miaka 40,
  • Yesu nae alifunga kwa siku 40,
  • Pasaka inaadhimishwa baada ya siku 40 toka j,5 ya majivu.Hebu leo nipe jibu,why 40?Ukishindwa mtumie m2 mwingine hadi 2pate jibu.
 
Hivi Wajua kuwa mwanamme ndie mpishi hodari Duniani!?
Akikuandalia soseji moja, mayai mawili na maziwa kidogo sana utashiba kwa miezi tisa. Unalijua hilo.
 
wakati wa Kombe la TAIFA CUP lililoshindanisha Mikoa, Mkoa wa Kilimanjaro kulikuwa na wachezaji kama vile MARTINI KIKWA, ONESMO MBORO na wengineo
Mechi kati ya Iringa na Kilimanjaro Onesmo Mboro akaumia kwa hiyo asingeweza kucheza Mechi inayofuata na Tanga
kabla ya siku 3 ya mechi Magazeti yakatoka na kichwa cha Habari 'KILIMANJARO KUCHEZA BILA MBORO' Kocha wao akalalamika sana vichwa vya habari vibadilishwe upesi kabla ya siku ya mechi nayo yakaandika 'KILIMANJARO KUCHEZA WAKATI MBORO NJE' Kesho yake Uwanja ukajaa mashoga kibao na wadada wakitaka kushuhudi urefu na ufupi wao
 
Back
Top Bottom