SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

PESA NOMA


Binti aliyetoweka kijijini akarejea baada ya miaka 3
Baba: We mtoto ulipotelea wapi? Unajua ulimtesa sana mama yako?
Binti: Nilikuwa nafanya kazi ya UMALAYA Marekani!
Dingi: Mshenzi mkubwa we, umetutia aibu wazazi wako hapa kijijini, toka na usikanyage tena hapa!
Binti: Sawa baba ila kabla sijaondoka nimewanunulia nyumba ya kisasa mjini, na milioni 75 nimewawekea benki, na gari nililokuja nalo ni la kwako!
Dingi: Hivi ulisema unafanya kazi gani?
Binti: UMALAYA!
Dingi: Aahaaa,mi nilidhani UYAYA! Karibu ndani mwanangu mpendwa, hongera kwa ubunifu. Safari hii uende na MAMA yako!!
 
Aaaaagh! Hii inaudhi bhana... Unaanza romance na demu unamchezea kila kitu mpaka analainika, halafu unaanza kumvua ngua eti anauliza "Unataka kufanya nini?". Bora umjibu tu "NATAKA NIKUFULIE NGUO ZAKO...!"
 
KIHEREHERE NOMA

Jamaa kaenda ukweni kakaa akaona kuku kakamatwa. Jamaa karopoka "Msiweke mchuzi mimi napendelea rosti!". Mama mkwe akajibu "anaatamia huyu wala hachinjwi". Jamaa Kimya.

Ungekuwa wewe ungefanyaje?
 
MAHUSIANO 10 KATI YA SOKA NA MAPENZI


  1. Kwenda kwa demu bila taarifa ni "OFF SIDE".
  2. Kumtongoza demu na kumgonga siku hiyo hiyo ni "FREE KICK"
  3. Condom ni "GOAL KEEPER"
  4. Kutoa mimba ni "RED CARD"
  5. Kufanya mapenzi na mademu watatu siku moja ni "HAT TRICK"
  6. Kufanya mapenzi na demu wa zamani ni "MECHI YA KIRAFIKI"
  7. Baada ya bao la pili halafu ukaendelea ni "EXTRA TIME"
  8. Miguu kukunja kwenye mabega ni "MPIRA WA ADHABU"
  9. Demu kutumia dawa za kuzuia mimba halafu akapata mimba ni "MAKOSA YA MABEKI"
  10. Demu kupata mimba ni "GOOOOOOOOOL NDANI YA NYAVU"
 
Mzee alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao!

Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao Pwaaa! Baba akasema mimi enzi zangu nilikuwa nakuwa wa kwanza tu, mara nae kibao Pwaaa! Dogo akaanza kucheka, mama yake akafoka, wewe mtoto unacheka nini, hujui huyo ni baba yako? Mara mama naye kibao Pwaaa!

Unajua kwa nini mama alipigwa? Usikose part 2 siku ijayo.
 
DAWA YA MOTO NI MOTO

Mume na mke wanagombana chumbani. Ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa akamuuliza "Unakusanya vitu unakwenda wapi?". Mke kwa nyodo akajibu, "Nakwenda kwa mama yangu". Mume naye akaanza kukusanya nguo zake na kuweka kwenye mabegi yake. Mke kwa jeuri akamuuliza mume wake "Unapaki unakwenda wapi?" Mume akajibu kwa tabasamu, "Na mimi naenda kwa mama yangu". Mke akauliza tena, "Hawa watoto wako watabaki na nani?". Mume kwa kujiamini akajibu, "Nao waende kwa mama yao kama sisi tunavyokwenda kwa mama zetu". Mke, Kha! jamani basi!
 
Mzee alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao!

Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao Pwaaa! Baba akasema mimi enzi zangu nilikuwa nakuwa wa kwanza tu, mara nae kibao Pwaaa! Dogo akaanza kucheka, mama yake akafoka, wewe mtoto unacheka nini, hujui huyo ni baba yako? Mara mama naye kibao Pwaaa!

Unajua kwa nini mama alipigwa? Usikose part 2 siku ijayo.

hehehehe,duh.

majanga
 
JE, HUU MSALA UNGEUSOVU VIPI?

Demu wako kaenda kukutambulisha kwao.
  • Kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani
  • kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae sababu alikufumania na DEMU wake
  • Ulipoangalia ndani ukamwona mama yake ambaye ni SUGAR MAMY wako na ndiye aliyekununulia GARI ambalo unatamba nalo
  • Kabla hujajua la kufanya baba yake anatokea ambaye ni WAKILI aliyekutetea katika kesi yako ya ubakaji
Je, ungefanyaje?
 
Nisaidie kujibu maswali haya

  1. kama elimu ni ufunguo wa maisha, kitasa chake ni kipi?
  2. kama majuto ni mjukuu baba yake ni nani?
  3. aliye juu mngoje chini, atakaemshusha nani?
  4. pole pole ndio mwendo, speed 140 kwenye magari za nini?
  5. kama mtu mzima dawa, hospitali za nini?
kama huwezi kujibu forward kwa wengine mpaka tupate majibu
 
WHAT IS LIFE?

Mathematicians say, life is like a liine segment. It's from point B to D. What is point B to D? Its from point of BIRTH to point of DEATH. So life started from the moment we were born until the day of our last breath. But what is behind of B and D before C? It's point A. What is point A? Stands for ALLAH. If we put Allah at the centre of our lives, our life will not end at D but extends in E. What is E?Its called ETERNITY
 
Mkulima mmoja mcha "MUNGU" alitoka shambani, GHAFLA akakutana na simba, mkulima akashindwa kukimbia akapiga magoti akaanza kusali huku amefumba macho. Kufumbua macho akakuta simba naye amepiga magoti. Mkulima akamuuliza na wewe ni MKRISTO? Simba akajibu "NYAMAZA KWANI HUKO KWENU HAMSALI KABLA YA KULA?". Mkulima akazimia.

Usidhani wote wanaopiga magoti wanamwabudu "MUNGU" wa "KWELI". Wengine wanapiga magoti kumbe roho zao ni kama simba, wapo kwa ajili ya kukuangamiza pasipo wewe kujua. Muombe MUNGU akupe wokovu na uwezo wa kutambua wabaya wako! (YER. 33:3)
 
Peponi kutakuwa hakuna watu wengi kwa sababu ya roho zetu mbaya. Mtu anacho lakini kumpa mwenzie anaona taaabu. Pengine wewe roho yako nzuri, hebu tuone, simu yangu haina salio naomba unipunguzie, nina uhakika mtihani huu utafeli, kama mimi muongo tuma vocha kwangu tuone!
 
WAHAYA kwa mbwembwe, we acha tu! Mujuni na mkewe Kokubanza wanaishi Dar. Walienda likizo kijijini kwao huko Bukoba. Wakiwa huko wakawa wanaitana DARLING, DARLING. Wahaya wa kijijini wakainasa hiyo kwamba hao wanaishi Dar ndio maana wanaitana Darling. Kwa sababu ya ujuaji wala hawakutaka kuuliza maana ya Darling. Walipoondoka tu nao wakaanza kuitana kila mtu na mkewe BUKOLING, BUKOLING eti kwa kuwa wanaishi Bukoba! Chezea wahaya kwa misifa wewe!
 
Aaaaagh! Hii inaudhi bhana... Unaanza romance na demu unamchezea kila kitu mpaka analainika, halafu unaanza kumvua ngua eti anauliza "Unataka kufanya nini?". Bora umjibu tu "NATAKA NIKUFULIE NGUO ZAKO...!"

Hahahaha teh teh teh jamaan
 
JE, HUU MSALA UNGEUSOVU VIPI?

Demu wako kaenda kukutambulisha kwao.
  • Kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani
  • kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae sababu alikufumania na DEMU wake
  • Ulipoangalia ndani ukamwona mama yake ambaye ni SUGAR MAMY wako na ndiye aliyekununulia GARI ambalo unatamba nalo
  • Kabla hujajua la kufanya baba yake anatokea ambaye ni WAKILI aliyekutetea katika kesi yako ya ubakaji
Je, ungefanyaje?

Kha kha kha hlo balaa lake ni kutoka ndukiiii
 
Ticha katangaza test ya imla (dictation).
Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hakuna kufuta wala kukata.

Swali la kwanza:
Taja vyakula vi tatu ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula? (marks 1%)

WANAUME wakajaza;
wali, ugali, mihogo.

WADADA wakajaza;
burger, pizza, egg chop.

Swali la Pili:
Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu bila kuruka hatua hata moja ukianzia na orodha ya viungo vitakavyotumika.
(marks 99%)
wacha wadada waanze kuhangaika kukata majibu ya mwanzo.... Waliyoandika
 
Muda mchache kabla ya ndoa yangu nilikuwa nashangaa mdogo wake na Mke wangu alikuwa ananivalia nguo za kunitega sana! Siku moja nilikwenda kwao nikamkuta peke yake akiwa amejifunga kanga moja! Aliponiona akaniambia afadhali nimekuona shemeji nataka nikupe kitu ambacho ni zaidi hata ya Dada yangu akaingia chumbani mi nikatoka nje kufika getini nikakuta familia yote ya mke wangu wakanipongeza Hongera umeshinda mtihani tuliokupa! Kweli hutomsaliti Binti yetu! Lakini kusema ukweli kabisa kutoka rohoni kwangu nilikuwa naelekea DUKANI kuchukua CONDOM! .Nambie ungefanyeje kama ni ww?
 
AMRI KUMI ZA SIMU.

1.Hiyo ndio cm yako usitamani sim ya mtu mwingine.

2.Usitaje ovyo jina la simu yako na iwe hewani mda wote.

3.Shika cm yako kikamilifu siku1 utaporwa.

4.Waheshimu wanaokubipu na usikawie kuwapigia

5.Usibipu utajivunjia heshima

6.Usitume tafadhali nipigie.

7.Tuma sms kwa uwapendao hasa mimi

8.Usiombe salio ila wakuombao wape na hasa mimi.

9.Usikae mbali na cm yako saa 24

10.Usiwapigie watu sana zaidi ya dk 1 ispokuwa mimi.
 
Back
Top Bottom