SMS hizi! Ungefanyaje?

SMS hizi! Ungefanyaje?

uoga mwngne tena... Familia moja ilivamiwa na majambaz bac ilikuwa hv
JAMBAZ: Ww mama unaitwa nani?
MAMA: Mm naitwa asha
JAMBAZ: Unabahati jina lako km la marehem mama yangu hivyo ckuuwi,umesalimika na ww baba unaitwa nani?
BABA: Mm naitwa Athuman lakin kazin wamezoea kuniita asha kama marehem mama yako.siku njem
 
Peponi kutakuwa hakuna watu wengi kwa sababu ya roho zetu mbaya. Mtu anacho lakini kumpa mwenzie anaona taaabu. Pengine wewe roho yako nzuri, hebu tuone, simu yangu haina salio naomba unipunguzie, nina uhakika mtihani huu utafeli, kama mimi muongo tuma vocha kwangu tuone!

nitajie namba yako
 
uoga mwngne tena... Familia moja ilivamiwa na majambaz bac ilikuwa hv
JAMBAZ: Ww mama unaitwa nani?
MAMA: Mm naitwa asha
JAMBAZ: Unabahati jina lako km la marehem mama yangu hivyo ckuuwi,umesalimika na ww baba unaitwa nani?
BABA: Mm naitwa Athuman lakin kazin wamezoea kuniita asha kama marehem mama yako.siku njem

ahahahahaaa kifo kinasababsha unaukana ubaba wako
 
Mume: Kiwango gani unanipenda baby?
Mke: Zaidi ya unavyofikiria.
Mume: Hebu nieleze basi.
Mke: Mimi ni simu na wewe ni line. Bila ya line simu haiwezi fanya kazi yoyote hivyo bila ya wewe sina kazi.
Mume: Oh honey I love you!
Mke: (Kimoyomoyo) "Asante Mungu, hili kweli jinga. Halijui kama simu za kichina zinaingia hadi line 3

duh,umetisha jomba
 
Bahari ya shamu haikumzuia Musa kuvuka kwenda nchi ya ahadi. Ukuta wa Yeriko haukumzuia Yoshua kusonga mbele. Mto Yordan haukumzuia Elia kuvuka. Nawe amin hakuna nguvu ya shetani itakayozuia KUFANIKISHA malengo yako. Mwamini MUNGU, yote yanawezekana: YEREMIA 32:27.
 
"LEO MBONA KAMA UNAUZUNIKA?" HUNA FURAHA kwa ajili ya WANAOKUCHUKIA maana hao watakuwa ZULIA la kufutia MIGUU yako utakapokuwa UNAINGIA kwenye MLANGO wa MAFANIKIO. Kila anayekubariki ABARIKIWE. Anayekulaani ALAANIWE, haijalishi una MAADUI wangapi!! Kila jambo lina majira na wakati wake. WAKATI wa utawala wa SHETANI ukiisha kupita utainuliwa juu. MUNGU akupe MAJARIBU KIASI ili kiwango chako cha IMANI kiongezeke. Maana hakuna JEMEDARI pasipo VITA!!
 
WAZO LA LEO


Kati ya aliyeiba Biblia kanisani ili akaisome na alliyeiba hela ili akatoe sadaka kanisani, ni yupi mwenye dhambi? Naomba jibu
 
WAZO LA LEO


Kati ya aliyeiba Biblia kanisani ili akaisome na alliyeiba hela ili akatoe sadaka kanisani, ni yupi mwenye dhambi? Naomba jibu

wizi ni dhambi haijalishi umekwapua nini
 
Mlevi kakutwa akikojoa eneo la shule. Mwalimu akamuuliza, hilo bango linasomekaje?
Mlevi: USIKOJOE HAPA
Mwalimu: Kwa hiyo?
Mlevi: Nilijua ni jina la shule...!!
 
NANI MWENYE MAKOSA?

Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "Jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
Ngoma droo hakuna wa kujitetea hapo.
 
HIVI MTOTO NI WA BABA AU WA MAMA?

Fuatilia kisa kifuatacho...

Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili HAKIMU aamue nani akae na mtoto!
MUME: Akasimama akauliza hivi, "Hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa za ATM au za kwangu?"
MKE: Akasimama na kuuliza, "Hakimu, hivi ukimwaga mbegu katika shamba la watu mti ukiota utakuwa wa kwako au wa mwenye shamba?"

Sasa toa mawazo yako umsaidie HAKIMU ampe nani mtoto?
 
Jamaa alikuwa anasafiri kwenda ulaya, akamwambia dereva wake ampeleke airport. Wakiwa njiani akakumbuka kuna document amesahau, akamwamuru dereva ageuze gari. Alipofika nyumban akamkuta mkewe akiwa bafunianaoga, akaamua kumnyemelea na kumshika kiuno. mke akiwa na mapovuusoni akalitaja jina la dereva, "We Hancy, umeshamfikisha yule ms**ge Airport? Acha nikuoshee utafaidi mwezi mzima. Je, ungekuwa wewe ungefanya nini? Ningetoka zangu kimya kimya na kuwahi zangu airport.
 
PROFESA WA SAYANSI YA KOMPYUTA ANAMTONGOZA BINTI
l

"Penzi langu lina "GB" kubwa sana kwako mpenzi. Nataka ni "INSTAL" moyo wangu kwenye "CPU" ya nafsi yako. Naomba uni "double click" kwenye maisha yako ili niwe "software" moyoni mwako"

duh....
 
[h=5]WIFE: Honey before we got married, you used to give me gifts and expensive jewellery.
HUSBAND: Yes, and?
WIFE: How come you don't do it anymore?
HUSBAND: Have you ever seen a fisherman giving worms to the fish after catching?[/h]
 
Shehe na Padri walikutana katika ndege.

Padri: Karibu kitimoto
Shehe: Sisi haturuhusiwi kula kitimoto.
Padri: Pole mnakosa UTAMU

Walipofika airport wakaagana
Shehe: Msalimie mkeo
Padri: Sisi haturuhusiwi kuoa
Shehe😛ole, mnakosa UTAMU

Je yupi kati yao anakosa UTAMU ZAIDI? Nipatie jibu kabla sijauza simu
 
Back
Top Bottom