Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Mada inasema skyline ya Dar inakua (jambo zuri), wanapinga wanasema Dar kuna uchafu (jambo baya) kitu ambacho hakionekani kwenye picha zilizoonyeshwa na wala sio mada. Then wanatoa mifano ya Cairo na Kigali kwamba ni miji mizuri.

Unawaambia Cairo kuna foleni kubwa sana (sifa mbaya), wanaruka wanadai Cairo kuna watalii milioni ngapi sijui (sifa nzuri).

Wao kila kitu Dar ni kibaya, ila kila kitu uko nje ni kizuri.
Hayo ni matokeo ya stress na frustration za maisha. Kitu chochotw kizuri mtu anakichukia nakuanza kutoa kasoro. Mwingine na matusi kabisa
 
Ukiongelea Skylines kama ni kitu kizuri kwenye nchi ni sawa na mtu wa Nigeria anayejisifia nchi yake ni ya nne kwa ukubwa wa uchumi(GDP) barani Africa, haina maana yoyote kama hautaangalia vigezo vingine vya per capita income, usalama, mazingira, miundombinu n.k Nigeria kuwa mzalishaji namba moja wa mafuta Africa ni jambo zuri la sifa lakini haina maana yoyote kwa raia wengi ambao wanaishi na majenerata muda wote, ni bora hata sisi Tanzania tusio na mafuta. Hakuna maana yoyote kwa DRC Congo kujisifia yenyewe ndio inaongoza kwa rare earth, mambo mengine kama hizo skylines ni vanity tu wakati mwingine.
Paris uliyosifia ina mnara wa Eiffel ambao ni vyuma tu viliwekwa kupendezesha mji. Ila umekuwa kivutio cha utalii na ni landmark ya jiji.

Kwanini view ya Eiffel tower kwa Paris iwe jambo la maana, ila skyline view ya Dar es Salaam ionekane ni jambo la kijinga?
 
Sidhani kama ni jambo la maana sana ila ni jambo la kihistoria na hasa zaidi ukifuatilia sababu zake za kujengwa wakati huo, ni kama vile ujenzi wa Al Kaaba pia, ina maana kidini na kihistoria ila huwezi kusema ina maana kwa maana ya kuboresha maisha ya raia wa Saudia, labda kupitia mapato ya utalii.

Hata hivyo pia kuna wakati vanity ilikuwa ni jambo muhimu kwa Ulaya ila sio leo hii, serikali ya Ufaransa ya sasa ikijaribu kujenga kitu kama eiffel tower raia wataiondoa madarakani.
 
Njoo Frankfurt Germany utoe tongotongo ,ushamba wa maghorofa unawasumbua
Hiyo Frankfurt yenyewe imejaa maghorofa kila kona halafu uko busy kusema kusifia skyline ni upuuzi
Nina mashaka hata huijui Frankfurt. Kama unaijua usingeongea upuuzi wako
Skyline_Frankfurt_am_Main_2015.jpg
 
Jiji ***** linakusanya billions kila mwezi lakini hata drainage systems au sidewalks hakuna,tatizo ni uongozi sio pesa
 
Ni Dar es Salaam inaweza kupendeza zaidi ikipata uongozi mzuri
Ni kama miji mingine tu, ina challenges zake na zinahitaji uongozi makini kuzitatua.
Ila hata hapo ilipofikia Dar es Salaam ni jiji zuri
 
Kupendeza ni vizuri ila jambo muhimu zaidi ni kuwa livable city.

Inasikitisha sana kuona nyakati za sikukuu madaraja ya juu ya kuvukia barabara yanageuka kuwa ndio sehemu za kupumzikia kwa sababu Jiji kwenye nchi kubwa kama ya Tanzania halina open spaces katikati ya maeneo ya mji.
 
Kweli kuna vitu vingi tunapaswa kuimprove yeah
 
Hiyo Frankfurt yenyewe imejaa maghorofa kila kona halafu uko busy kusema kusifia skyline ni upuuzi
Nina mashaka hata huijui Frankfurt. Kama unaijua usingeongea upuuzi wako
View attachment 3562700
We mpuuzi mshamba wa maghorofa hapa Frankfurt kuna sehemu kibao hamna skyscrappers na mji umepangika na kuna kila sababu ya kukufanya utamani kuishi na kufurahia maisha hiyo masaki na posta upanga takataka wanazoishi hao malimbukeni masikini wenzenu wa akili mnaoita viongozi ,kunajaa maji ya mikojo na vinyesi ,njia potholes zimejaa ,mitaro imeziba ,uvundo ,sasa wewe fala unayeishi Tandale imagine sijui unaishije ?,Panya w Frankfurt ana maisha mazuri kuliko wewe mbumbumbu.
Ushamba na kukosa exposure ndio ugonjwa wenu +ignorance na ubishi wa kijinga
 
Kwani nani kasema Dar imejaa skyscrapers kila sehemu we kilaza
Unaona tatizo lako. Hata mwenyewe huelewi unatetea nini
Pia hakuna aliyebisha kuwa Frankfurt inavutia watu wengi kuishi kuliko Dar. Actually una argue kitu ambacho hakipo kwenye mada
 
Hiyo Frankfurt yenyewe imejaa maghorofa kila kona halafu uko busy kusema kusifia skyline ni upuuzi
Nina mashaka hata huijui Frankfurt. Kama unaijua usingeongea upuuzi wako
View attachment 3562700
Elewa argument yangu wewe , sijasema Frankfurt hamna maghorofa ,, ghorofa ni upuuzi tu kama mji ni takataka, miundombinu duni ,slums na squatters zimetapakaa . Skyscrappers ni nonsense tu
 
Hiyo Frankfurt yenyewe imejaa maghorofa kila kona halafu uko busy kusema kusifia skyline ni upuuzi
Nina mashaka hata huijui Frankfurt. Kama unaijua usingeongea upuuzi wako
View attachment 3562700
Elewa argument yangu wewe , sijasema Frankfurt hamna maghorofa ,, ghorofa ni upuuzi tu kama mji ni takataka, miundombinu duni ,slums na squatters zimetapakaa . Skyscrappers ni nonsense tu
 
Kupendeza ni vizuri ila jambo muhimu zaidi ni kuwa livable city.

Inasikitisha sana kuona nyakati za sikukuu madaraja ya juu ya kuvukia barabara yanageuka kuwa ndio sehemu za kupumzikia kwa sababu Jiji kwenye nchi kubwa kama ya Tanzania halina open spaces katikati ya maeneo ya mji.
Dar ni rubbish kabisa ,imagine hamna centers za public kama gardens ambapo mtu unaweza kwenda kukaa kufanya maongezi ,kufanya recreation ,kureflect na kutafakari mambo.Watu wanarundikana kwenye mabanda ya bar na sehemu za ovyo ,Dar na majiji mengine ya Tz ni upuuzi mtupu ,quality of life ni zero Tanzania ,ñshangaa wanaotetea huu upuuzi wa nchi yetu hiyo .
 
Open spaces zote mmeweka mabanda yenu hayo yenye kutu na takataka , mkoloni kaiacha Dar imepangika na kustaarabika ,hiyo posta ,oysterbay ,masaki ,upanga ,MIKOCHENI ni masterplan ya mkoloni hata infrastructure ni za mkoloni mjerumani na mwingereza , imagine ni miaka mingapi imepita tangu hao watu wameondoka na angalia hali ya hizo sehemu leo hii let alone the fact that kwamba ni aibu hata kufungua kinywa na kusema " Masaki na posta ndio sehemu za watu kujivunia ,nchi yenye ukubwa kama Tanzania na rundo la watu milioni 60+ na miaka 60+ tangu uhuru , what a shame ,rubbish kabisa .Halafu mtu na kichwa chake anadiriki hiyo nchi ina watu wenye akili timamu kabisa.

Ni hivyo hivyo katika kila nyanja , Tanzania ni nchi yangu nimezaliwa hapo na kukulia hapo ila tuna ugonjwa sugu kabisa na huu ugonjwa unaanzia kichwani .Reflection ni hii mada yenyewe ,ukisoma comments humu utaona huu ugonjwa na hiyo nchi haiendi popote ,itabaki kuwa Zizi na kuwa even worse
Hao wasêng€ wanawaongoza wanachojua ni kutembeza convyoys za SUV mamia na kupiga ving'ora na misafara ya kiseng£ ,hayawezi hata kukaa na kutafakari tofauti na kucopy ustaarabu wa nchi nyingine za watu wenye akili timamu ambazo huwa yanaenda kuzurura kila siku kwa kodi zenu
 
Dar ni rubbish kabisa ,imagine hamna centers za public kama gardens ambapo mtu unaweza kwenda kukaa kufanya maongezi ,kufanya recreation ,kureflect na kutafakari mambo.Watu wanarundikana kwenye mabanda ya bar na sehemu za ovyo ,Dar na majiji mengine ya Tz ni upuuzi mtupu ,quality of life ni zero Tanzania ,ñshangaa wanaotetea huu upuuzi wa nchi yetu hiyo .
Kuna namna fulani wabongo huwa tunahusudu vitu bila kuelewa undani wake, Skyscrapers/maghorofa haipaswi kuwa kitu cha maana sana kwa raia wa kawaida anayezurura Kariakoo ambako njia za watembea kwa miguu na usafiri wa umma ni tatizo kubwa, watu wanasongamana muda wote kama siafu kwa sababu njia za magari ndizo hizo za watembea kwa miguu, parking za kushushia na kupakia mizigo na wamachinga waliozagaa kila kona.

Ukweli ni kwamba kwa watu wengi wa kipato cha kawaida wanaotegemea usafiri wa umma, hospitali, na shule za umma inahitaji moyo sana kuishi Dar.

Wanaofurahia kidogo labda ni hao wamiliki wa hizo skyscrapers, top 1% na middle class wenye vigari kimoja viwili, wengine wote wanaishi kwa matumaini tu kwa sababu imebidi tu wawepo Dar.

Hembu fikiria soko kubwa zaidi la chakula la Jiji la Mabibo halina hata sakafu au pavements, watu wanaishi na kufanyia biashara kama wako zizini.
 
Kuna namna fulani wabongo huwa tunahusudu vitu bila kuelewa undani wake, Skyscrapers/maghorofa haipaswi kuwa kitu cha maana sana kwa raia wa kawaida anayezurura Kariakoo ambako njia za watembea kwa miguu na usafiri wa umma ni tatizo kubwa, watu wanasongamana muda wote kama siafu kwa sababu njia za magari ndizo hizo za watembea kwa miguu, parking za kushushia na kupakia mizigo na wamachinga waliozagaa kila kona.

Ukweli ni kwamba kwa watu wengi wa kipato cha kawaida wanaoetegemea usafiri wa umma, hospitali, na shule za umma inahitaji moyo sana kuishi Dar.

Wanaofurahia kidogo labda ni hao wamiliki wa hizo skyscrapers, top 1% na middle class wenye vigari kimoja viwili, wengine wote wanaishi kwa matumaini tu kwa sababu imebidi tu wawepo Dar.

Hembu fikiria soko kubwa zaidi la chakula la Jiji la Mabibo halina hata sakafu au pavements, watu wanaishi na kufanyia biashara kama wako zizini.
Swali rahisi
Kuna maelezo yoyote kwenye thread yanayopinga hizi hoja zako kuhusu Dar?
Kwa mfano labda, kuna hoja yoyote kwenye thread inayopinga kuhusu soko la Mabibo kutokuwa na pavements? Au hoja inayopinga kuwa kuna msongamano mkubwa wa watu Kariakoo?
 
Swali rahisi
Kuna maelezo yoyote kwenye thread yanayopinga hizi hoja zako kuhusu Dar?
Kwa mfano labda, kuna hoja yoyote kwenye thread inayopinga kuhusu soko la Mabibo kutokuwa na pavements?
Wengine tunaweza ku multitask na kufanya system thinking mkuu.
 
Back
Top Bottom