thebigbobo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 168
- 17
- Thread starter
- #21
Uongo mwengine hata mtoto haadanganyiki
It is true
Uongo mwengine hata mtoto haadanganyiki
Ma houseboy wakipata smartphone utawajua tu na thread zao...
Thebig bobo co.😱
Naanza kwa kujuta sana, kuna kipindi nilienda bank ya posta tawi moja hivi mkoa flani, nikakutana na binti mmoja mzuri sana wa type yangu, alikuwa anafanya field pale, nikachanganyikiwa nikajipenyezapenyeza mpaka upande wake nikampa iPhone yangu na yeye bila hiana akanipa namba yake. Nikawasipati usingizi kila wakati naenda bank. Kuna siku akaniambia tukutane nilifurahi sana nikanunua iPhone 4s na cheni ya laki5 nikampelekea nikamkuta na rafiki yake. Hatukupata nafasi ya kuongea sana akaondoka, kesho yake nikamuuliza kama alipenda ile zawadi akanijibu ndio aliipenda . Toka siku hiyo hakutaka kuonana na Mimi tena, nilikasirika sana nikaishia kumtukana. tumekaa muda wa mwaka mmoja hatujaongea! Jana nimempigia simu tukaongea sana, kikubwa cha kunishangaza Eti zile zawadi alitupa muda uleule cause hazilingani na thamani yake yeye. Yeye hapendi mwanaume anajifanya anapesa anataka mtu wa kawaida and simple. Nikajiangalia mimi pia napenda kuwa simple sasa nashindwa kujua kihelehele nilikitoa wapi cha kununua zawadi za mil2!! Najuta kumkosa huyu binti.
alitupa?????????????? asa si bora angeuza punga kweli huyo mmxxiiuuu
Wewe si ndo yule kaka uliibiwa na msichana wa arusha mbona muongo ww kama huna stor s ukse kimya
Cc. Mafikizolo
Muongo huyo hana jeuri ya kutupa anakuchemsha tu
Mpaka hapo bado sijajua nani mjinga, aliyetoa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. siku ya kwanza tu ya kukutana na Binti au aliyezitupa zawadi zenye thamani ya Tsh 2,000,000. Kweli kwenye miti mingi hakuna wajenzi.
Ma houseboy wakipata smartphone utawajua tu na thread zao...