Siwanawake wote wanataka Pesa

Siwanawake wote wanataka Pesa

Hilo Mwanamke Liongo, Eti "Nilizitupa" Jalala Gani? Kwa Nin Asingekataa Huyo ----- Hakukupenda Kabisa Arafu Ana Bwana Lake Huyo.
 
Naanza kwa kujuta sana, kuna kipindi nilienda bank ya posta tawi moja hivi mkoa fulani, nikakutana na binti mmoja mzuri sana wa type yangu, alikuwa anafanya field pale, nikachanganyikiwa nikajipenyezapenyeza mpaka upande wake nikampa iPhone yangu na yeye bila hiana akanipa namba yake.

Nikawasipati usingizi kila wakati naenda bank. Kuna siku akaniambia tukutane nilifurahi sana nikanunua iPhone 4s na cheni ya laki5 nikampelekea nikamkuta na rafiki yake. Hatukupata nafasi ya kuongea sana akaondoka, kesho yake nikamuuliza kama alipenda ile zawadi akanijibu ndio aliipenda .

Toka siku hiyo hakutaka kuonana na Mimi tena, nilikasirika sana nikaishia kumtukana. tumekaa muda wa mwaka mmoja hatujaongea! Jana nimempigia simu tukaongea sana, kikubwa cha kunishangaza Eti zile zawadi alitupa muda uleule cause hazilingani na thamani yake yeye.

Yeye hapendi mwanaume anajifanya anapesa anataka mtu wa kawaida and simple. Nikajiangalia mimi pia napenda kuwa simple sasa nashindwa kujua kihelehele nilikitoa wapi cha kununua zawadi za million mbili.

Najuta kumkosa huyu binti.


Habari wana MMU.

Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.

Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.

Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.

Naomb ushauri wako tafadhali.

In red: Wewe na huyo bweg.e mwenzako mnafanana,mnategemea mtaambiwaje na wanawake wanaojitambua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom