Kelvin Temba
Member
- Apr 18, 2013
- 79
- 13
Hizo pesa walizo zifuata huko dodoma wakati wanajua mwisho wa siku hawawezi kupata hiyo theluthi tatu kupitisha mambo yao ni matumizi mabaya ya madaraka ngoja katiba ya wananchi ipite atashtakiwa.
Watanzania tumelogwa kila kitu kupinga ,kuzusha uongo, wivu , ubinafsi na umbea hii sasa itakuwa laana hata kwa kizazi
tamu kamma niniiii?Wakati mwingine siasa ni tamu sana lolz
Ila tuseme kweli, kama 6 ana nia njema ajiuzulu sasa, ili abaki na heshima mbele ya watanzani, 6 hakuwa na jinsi ya kujinusua kwenye mtego huo zaidi ya kujiondo kwenye issue ya kugombea uspika. Kile kiti kina pande 2 ukikidhi matakwa ya chama wananchi watakulaum, lakini pia ukikidhi matakwa ya wananchi chama kitakulaum.
Mkitumwa kazi muwe mnapewa na hadidu za rejea.
KWA TAARIFA YAKO:-
1. Busara hainunuliwi wala haisomewi pia ni aghalabu kurithiwa.
2. kuyategemea maombi ya viongozi wa dini akina Mtetemela Jongo n.k ni kusubiria kupata phd ya uzombee, Mvua tu imewashinda kumshawishi mungu sembuse katiba inayopingana na AMRI KUMI ZA MUNGU.
3. Kwa mujibu wa maandiko ni kwamba,
Amtumainiaye mwanaadam huyo hana akili kabisaaaaaaa, yaani wewe unatumaini Sita aandike vizuri historia yetu!!!!! dhihaka gani hii kwa watanganyika.
HITIMISHO/MSIMAMO
Ukome kutushirikisha maimla yenu yaliyofeli ya kina lenin na kina max.
Kwani hata asingelikuwa ameitoa, wewe ulitegemea anaweza kuwa rais 2015!??
hata mie ni mbunge wangu lkn sijamsoma kabsaaa kwanza ni maskini wa maendeleo hata mzee juma kapuya anamshinda amejenga nyumba ambayo ndio ikulu ya mkuu wa kaya akitembelea jimboni kwake (yaani kwenye jimbo lake SITTA kapuya kawekeza mjengo ambao ndio ikulu ya mkuu wa kaya.Nilikuwa namuona ana busara kumbe duh! Sitaki hata kupiganae picha
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.
Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Ni kweli hatutaki rais anayechekacheka tena.
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.
Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Ndugu yangu twijuke; Amechelewa hawezi kujisafisha tena ...huu upofu siyo wa kawaida ...Na nifursa nzuri kwamba tumeweza kumtambua kwamba huyu bwana siyo mzalendo kama alivyo kuwa akijipigia debe na kulazimisha kueleweka ni Dikteta,Fisadi wa Katiba,Mbinafsi,Katili asiye na upendo kwa watanzania wenzake,Mwenye chuki na visasi kwa watu wanaotofautiana naye kimtazamo.
Kumbe ndiyo maake Lowassa alisema shida ni Uwaziri Mkuu na ufisadi kilikuwa kisingizio ndo maake alipoachia Uwaziri mkuu jamaa aka idondosha issue na kuipotezea kinyemela .Huyu jamaa hana uzalendo wowote ni mnafiki na mtu wa visasi ,amejiaibisha mno na uovu huu uwe juu yake na wale wote wanao mpenda na kuumunga mkono.
Shikamooo mama