Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Kama anaona kinachozungumziwa kwenye makongamano ni nonsense kwanini anaogopa na kutaka yasiwepo..!! Hii ni mijadala tu kama wao wanavyoijadili katiba bungeni, inatoa fursa kwa wananchi kuelewa kwa mapana zaidi ili rasimu itakavyoletwa kwao waamue..!! Kama kweli dhumuni la serikali ni kupata katiba bora, bac waache wananchi tuendelee kuelimishwa by any how..!!
 
Nashukuru Mungu hatimae Mnafiq amejiweka wazi zaidi sasa, Wengi walikuwa hawamjui Samweli Sitta! Siku zote alikuwa akijinasibu kama Mpambanaji mzalendo mwenye kupenda nchi yake na watu wake! Wengi walianza kumuamini wakasahau hadi kuhoji uhalali wa kujenga Ofisi ya Spika Urambo! Huyu ni Mnafiq Number one... Wajuzi wa mambo walikuwa wanajiuliza ilikuaje Sitta huyu huyu alikuwa mstari wa Mbele kumshawishi Baba wa Taifa kuwa Lowassa anafaa na kuwa wanamsingizia kuwa ni mla rushwa fisadi!!! Alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Lowassa alisoma UK hivyo kuwa na Entrepreneur mind tofauti na wenzie waliosoma Urusi na Bulgaria kwenye nchi za Kijamaa!!! Baada ya Baba wa Taifa kufanya Utafiti na kugundua kweli kuwa Lowassa ni Msafi alikaa kimya Jambo lililopelekea Lowassa kumuomba baba wa Taifa kwenda kumsafisha Moduli kupitia Kawawa!!! Kawawa nae alifanya Utafiti na kuridhika kuwa Lowassa yuko Safi ila alibahatika kupata Contract nono kwa kuipangishia Jengo Ubalozi wa SA jambo lililopelekea Wivu wa kike kwa Makada wengi! Kawawa aligundua kuwa Lowassa alikuwa tayari amejijengea maadui wa nje Kampuni ya City Water aliyoifutia Mkataba hivyo kumpelekea kuwa kwenye wakati mgumu kisiasa... Si semi haya kwa Kumsafisha Lowassa bali ni facts tupu!!! lililo waogofya zaidi CCM ni kuwa Lowassa alikuwa anajua A-Z mauaji ya Sokoine hivyo kuogopa kuwa akipata nafasi ataweza kulipiza kisasi!!! Sitta anayajua haya vizuri sana, wengine wanajuza kuwa Mke wake anataarifa muhimu kuhusiana na kifo cha Sokoine!!! Wengi wanajua Kuwa Mkakati wote wa Richmond ulikuwa unamhusisha Mkuu wa nchi na kuwa Sitta et al walikuwa wanajua kila hatua iliyokuwa inaendelea... Wajuzi wa mambo wanajuza kuwa Kwakuwa Fitna zilishakuwa kubwa sana za kumuhusisha Lowassa na Sakata la Richmond walikubaliana kuwa Lowassa aandike barua ya kujiuzulu na Baadae Rais angekataa hivyo kurudisha Confidence kwa Wananchi kuwa Lowassa anafaa! Katika Mashauriano Sitta, Membe na Kundi lake walijipanga na kupenyeza fitna zaidi hivyo Rais aliamua kinyume na Mchakato wa awali!!! Haikuchukua hata dk 30 Rais aligundua kuwa ameingizwa Chaka !!! Hadi leo hii Nchi imekosa Mtendaji Mkuu kwasababu ya SItta ... Sasa hivi ameanza kutoa makucha yake, muda si mrefu ataanza kunena kilugha kutubu madhambi yake .... Inasikitisha kuona kuwa ITV inapigwa vita wakati kiuhalisia ilipaswa kupewa ruzuku kwa kuwasilisha mawazo ya Watanzania walio wengi ...
 
Inchi itulie na amani ichanue rais apewe dr Sheni hanaitikadi kali ya kisiasa au dini
Hapo kwenye dini huna uhakika. Hapo juzi tu watu wamepigwa sn zenji eti wanakula wkt wa mfungo. Ajabu huwezi iusikia kiongozi yeyote akiwemo huyo shein akikemea uhuni huo wa Islamic extremist s
 
Huko ni kubwabwaja na porojo.

Eti wanataka katiba mpya nje ya bunge la katiba!

Amma kwa hakika Tanzania hakuna upinzani ni mchezo wa kuigiza.

Kupitia mijadala kama hii wewe Faizafoxy,TheBigShow,Ritz,Boko Haramu na wafiadini wenzenu wote hapa JF mna kitu cha kujifunza.
Hebu angalia hapa kwenye thread hii wachangiaji wanavyomsema na kumchambuwa Mzee Sitta kwa hoja makini. Ila wewe na wafia dini wenzako wote ambao nimewaorodhesha hapo juu huyu Mzee Sitta angekuwa ni Muislaam basi mngekesha hapa kwenye thread na kumtetea mwanzo hadi mwisho kwa Kauli mbiu yenu ya huyu mnamsema na ham-mtaki kwa vile ni MUislaam tu.
Leo kupitia thread hii nawaombeni mbadilike. Sisi wengine inapotokea kiongozi au mtu yeyote kafanya makosa huwa atuangalii kabila,ukanda wala Dini...tunampa za uso mwanzo hadi mwisho kama unavyoona kwenye thread hii.

Badilikeni ndugu zanguni.
 
Sitta na CCM yake ni sikio la kufa. Nawasikitikia sana wanashindwa kusoma alama za nyakati.
 
Simshangai Mh Sitta kwani hiyo ndiyo tabia yake. Wengi wetu hawajui historia yake. Alikuwa mmoja wa viongozi waliogoma chuo kikuu cha DSM enzi hizo wakidai posho kubwa wakati huo na kupinga kwenda JKT miaka ya 1974 kama kumbukumbu za watu waliokuwa naye wako sahihi, Na mmoja wa waliomwendea Mwalimu JK Nyerere kuomba msamaha walipofukuzwa wote chuoni. Alitumika vile vile kuwataja waliokuwa vinara wa mgomo ambao hawakusamehewa kabisa kurudi chuoni kuendelea na masomo Hivyo tangu zamani ni ndumila kuwili anayeangalia upepo unavyovuma na kujitupa kwenye mkondo ili apate umaarufu. Mnakumbuka akiwa spika ailvyokalia kesi ya Mh Lowassa? Ni mtu hatari zaidi ya tunavyomdhania.
 
Nashukuru Mungu hatimae Mnafiq amejiweka wazi zaidi sasa, Wengi walikuwa hawamjui Samweli Sitta! Siku zote alikuwa akijinasibu kama Mpambanaji mzalendo mwenye kupenda nchi yake na watu wake! Wengi walianza kumuamini wakasahau hadi kuhoji uhalali wa kujenga Ofisi ya Spika Urambo! Huyu ni Mnafiq Number one... Wajuzi wa mambo walikuwa wanajiuliza ilikuaje Sitta huyu huyu alikuwa mstari wa Mbele kumshawishi Baba wa Taifa kuwa Lowassa anafaa na kuwa wanamsingizia kuwa ni mla rushwa fisadi!!! Alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa Lowassa alisoma UK hivyo kuwa na Entrepreneur mind tofauti na wenzie waliosoma Urusi na Bulgaria kwenye nchi za Kijamaa!!! Baada ya Baba wa Taifa kufanya Utafiti na kugundua kweli kuwa Lowassa ni Msafi alikaa kimya Jambo lililopelekea Lowassa kumuomba baba wa Taifa kwenda kumsafisha Moduli kupitia Kawawa!!! Kawawa nae alifanya Utafiti na kuridhika kuwa Lowassa yuko Safi ila alibahatika kupata Contract nono kwa kuipangishia Jengo Ubalozi wa SA jambo lililopelekea Wivu wa kike kwa Makada wengi! Kawawa aligundua kuwa Lowassa alikuwa tayari amejijengea maadui wa nje Kampuni ya City Water aliyoifutia Mkataba hivyo kumpelekea kuwa kwenye wakati mgumu kisiasa... Si semi haya kwa Kumsafisha Lowassa bali ni facts tupu!!! lililo waogofya zaidi CCM ni kuwa Lowassa alikuwa anajua A-Z mauaji ya Sokoine hivyo kuogopa kuwa akipata nafasi ataweza kulipiza kisasi!!! Sitta anayajua haya vizuri sana, wengine wanajuza kuwa Mke wake anataarifa muhimu kuhusiana na kifo cha Sokoine!!! Wengi wanajua Kuwa Mkakati wote wa Richmond ulikuwa unamhusisha Mkuu wa nchi na kuwa Sitta et al walikuwa wanajua kila hatua iliyokuwa inaendelea... Wajuzi wa mambo wanajuza kuwa Kwakuwa Fitna zilishakuwa kubwa sana za kumuhusisha Lowassa na Sakata la Richmond walikubaliana kuwa Lowassa aandike barua ya kujiuzulu na Baadae Rais angekataa hivyo kurudisha Confidence kwa Wananchi kuwa Lowassa anafaa! Katika Mashauriano Sitta, Membe na Kundi lake walijipanga na kupenyeza fitna zaidi hivyo Rais aliamua kinyume na Mchakato wa awali!!! Haikuchukua hata dk 30 Rais aligundua kuwa ameingizwa Chaka !!! Hadi leo hii Nchi imekosa Mtendaji Mkuu kwasababu ya SItta ... Sasa hivi ameanza kutoa makucha yake, muda si mrefu ataanza kunena kilugha kutubu madhambi yake .... Inasikitisha kuona kuwa ITV inapigwa vita wakati kiuhalisia ilipaswa kupewa ruzuku kwa kuwasilisha mawazo ya Watanzania walio wengi ...

Tena sitta Ni hatari.Wakati walikuwa wakijinasibu kuwa wao ni wapambanaji wa ufisadi na kundi lake la kilaghai la akina kilango, lembeli Kimaro n.k walitumia ITV kuwabeba leo kapewa uwenyekiti ana muons mzee Mengi hafai.Amakweli maskini akipata mat....k hulia mbata
 
labda kama kuna Urais wa tumbakuni tu atapata.ataikiwa ccm inasalia madarakani kamwe hawezi kua yeye leo na hata kabla ya kauli hii.mm nauona huu kama uoga na hofu dhidi ya ukwel..ITV wako neutral sana nahsi TBc na clouds haziangaliwi na wengi ndo maana hata hawafanikiwi na propaganda zao
 
Unaijadili katiba kwenye majukwaa kwani rasimu ya pili mnayo?Wanahaki ya kuanzisha mijadala ila sio katiba,kwan kaz ya Warioba ilikuwa nin?Ngoja nikasake mkate wa siku usiku huu!
 
Tena sitta Ni hatari.Wakati walikuwa wakijinasibu kuwa wao ni wapambanaji wa ufisadi na kundi lake la kilaghai la akina kilango, lembeli Kimaro n.k walitumia ITV kuwabeba leo kapewa uwenyekiti ana muons mzee Mengi hafai.Amakweli maskini akipata mat....k hulia mbata
sitta Kajianika na kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe. Upumbavu wa sitta Malipo ya matendo yetu yatapatikana hapa duniani, akhera ni kupata hesabu tu.

Kwa kujiumbua huko anaungana na bw nywele nyeupe kuwa watu wasio na hata sifa ya kuishi ikulu hata kwa siku moja
 
ndio mana alicharazwa viboko na mwalimu Nyerere kisa siagi na maziwa.
 
urais hata wa kariakoo hatapewa labda urais ktk familia yake
 
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.

Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Huyu Mzee Ni mtu asiye jitambua,hivi inaingia akilini akiws speaker WA bunge kuelekeza ofisi ya speaker ijengwe urambo kama vile atakuwa speaker WA maisha na aibu iliyoje!Raisi akaenda kuifunguwa?cheap forgeries za matibabu etc huyu mzee Ni mbinafsi Sana,hana uwezo wakuisadia this country
 
Back
Top Bottom