Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

Ndugu yangu twijuke; Amechelewa hawezi kujisafisha tena ...huu upofu siyo wa kawaida ...Na nifursa nzuri kwamba tumeweza kumtambua kwamba huyu bwana siyo mzalendo kama alivyo kuwa akijipigia debe na kulazimisha kueleweka ni Dikteta,Fisadi wa Katiba,Mbinafsi,Katili asiye na upendo kwa watanzania wenzake,Mwenye chuki na visasi kwa watu wanaotofautiana naye kimtazamo.

Kumbe ndiyo maake Lowassa alisema shida ni Uwaziri Mkuu na ufisadi kilikuwa kisingizio ndo maake alipoachia Uwaziri mkuu jamaa aka idondosha issue na kuipotezea kinyemela .Huyu jamaa hana uzalendo wowote ni mnafiki na mtu wa visasi ,amejiaibisha mno na uovu huu uwe juu yake na wale wote wanao mpenda na kuumunga mkono.
Maneno hayo!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.

Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?

Nina wasisi anaweza kataliwa hata watu nyumbani mwake.nilikuwa nasikia mzee hafai sasa nimeamini.
 
Hana jipya huyo Sitta, ni -------- tu, hawezi kuminya uhuru wa watu kutoa maoni yao kuhusu katiba waitakayo.ITV inapaswa kupongezwa kwa kukubali kutoa elinu kwa umma. Itv inapaswa kupongezwa. Hatutaki TBC ambayo masaa 24 inaimba taarabu na sindimba za CCM.
 
Wote ni wahuni. Hawana jipya wameshtuchosha hatuwataki na hatukuwatuma hivyo
 
6 ulevi wa madaraka ni mbaya sana, jirekebishe ujue hapo upo kwa ajili ya wananchi na si ccm :A S 11:
 
Wengine tulio na bahati ya kumfahamu Sitta toka enzi za awamu ya kwanza, wala hatushangazwi na vituko vyake wala kauli zake. Kinachotushangaza ni kwamba tunao wananchi wanaomuona Sitta kama presidential material! But then why not? Si tumeshajiwekea kiwango cha any Tom, Dick and Harry! Previous accomplishment? What for!
 
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.

Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania. Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?

Nani ampe urais huyo mzee mnafiki ndo aazidi kujidhihirisha,alipo nyimwa u spika akataka atoke ccm,amepewa u mwenyekiti wa BMk anaona kama ndo wamempa nafasi ya kuusaka urais kumbe wenzake wamemtega ajimalize.
 
Sad siku fikiria mtu kama huyu anaweza kufiri na kuongea huo ujinga!
Nilimuona ni mtu aliye elimika kumbe na yy ni mbulula!
 
Anajipendekeza na kujisafisha kwa serikali yake baada ya kukosa uspika, sasa alivyopata nafasi hiyo anataka kudhihirisha kwamba yuko bega kwa bega na serikali yake kumbe kuvichana vyombo vya habari anaashiria hatari ya kumbomoa kwa sababu ndivyo vilivyompandisha na ndivyo vinavyoweza kumdidizima akarudi Urambo kulima tumbaku, kula matoborwa na kurina asali! Shame upon him.
 
inabidi wanasayansi wafanye utafiti, nahisi kutoka jasho kulikopitiliza kwa Sitta kumemmaliza akili!
 
Anajipendekeza na kujisafisha kwa serikali yake baada ya kukosa uspika, sasa alivyopata nafasi hiyo anataka kudhihirisha kwamba yuko bega kwa bega na serikali yake kumbe kuvichana vyombo vya habari anaashiria hatari ya kumbomoa kwa sababu ndivyo vilivyompandisha na ndivyo vinavyoweza kumdidizima akarudi Urambo kulima tumbaku, kula matoborwa na kurina asali! Shame upon him.

Sitta hafai hata kuwa kwenye baraza la mawaziri
 
I have lost hope in SIX its as if amechomolewa kichwa kabaki na kiwili wili.
Yaani ni selfishness ya hali ya juu na uroho wa madaraka historia itakuhukumu.
 
Back
Top Bottom