Mnadhani Sita tatizo!No yote yanayotokea bungeni yamepangwa.Lakini tutegemee taifa kugawanyika sana.Mimi nilikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanamuamini sana mheshimiwa huyu hasa pale alipokuwa Spika wa Bunge la JMT. Lakini tangu ameteuliwa kuwa Spika wa BMK amekuwa mtu tofauti kabisa. Siwasemei wengine lakini kwangu mimi nadhani amepoteza hadhi ya kuwa kiongozi kwenye ngazi yoyote ile inayohusisha watu wenye mitazamo tofauti. Ameshindwa kubalance mitazamo na wala kukubali kukosolewa pale anapokoea. Nasikitika kusema rasmi nimejitoa kuwa shabiki wako kama kiongozi.
Wewe ulikuwa hujajua kuwa Sita ni mchumia tumbo wa kutupwa?
Mimi nilikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanamuamini sana mheshimiwa huyu hasa pale alipokuwa Spika wa Bunge la JMT. Lakini tangu ameteuliwa kuwa Spika wa BMK amekuwa mtu tofauti kabisa. Siwasemei wengine lakini kwangu mimi nadhani amepoteza hadhi ya kuwa kiongozi kwenye ngazi yoyote ile inayohusisha watu wenye mitazamo tofauti. Ameshindwa kubalance mitazamo na wala kukubali kukosolewa pale anapokoea. Nasikitika kusema rasmi nimejitoa kuwa shabiki wako kama kiongozi.
Baadhi ya vijana tunafikiri na kumhukum mzee warioba tukiwa hatuna hata tafiti za kuundoa umaskin hata ngazi ya familiya zaid ya kuish kwa kutegemea fadhira za wanasiasa. kwa fikra zangu kama vijana wakitaka kuupinga uongo ama ukwel wa warioba fanyen tafiti ambazo hazin ubaguz wowote wa kifikra,makund juu uhai wa taifa hili ktk nyanja zote tangu uhuru tutapata ukwel kulko hisia na mitazamo ya makundi yetu. Vijana tunayo nafas ya kujifunza juu ya kazi za warioba ktk Taifa hil zaid ya kumhukum. Pia ni vigumu kuielewa kazi ya kitaaluma kwa kusoma vichwa vya habari.
Ni nafas ya mwisho kwa sita kuanguka kwenye dhambi aliyopinga siku nyingi kwa fikra zake au kuiruhusu hisia itawale fikra yake sahih kama mtaaluma .si jambo la ajabu na jipya kuona sita anaiandika historia nzur ya TZ mpya au kuingiz Tz ktk maajabu ya dunia .kwangu mimi 6 anao wakati mgumu ambao unahitaji busara na maamuz magumu ambayo yaweza mpa heshima ktk Taifa hili lenye vuguvugu la mabadilko au kuichafua historia yake ktk Taifa ambalalo husifika kiusulhishi Afrika na dunia.
Kwa fikra yangu ni wakati wa viongoz wadin kuliombea Taifa na kujiepusha kuonyesha upendeleo wa kundi lolote bali kuyaasa makundi yote kutanguliza kuangalia maslahi ya taifa kwanza.
Je kwa mwendo huu Sitta atatusaidia kupiga hatua au mtihani huu uko zaidi ya uwezo wake?.
Kweli kabisa wana bwabwaja na kupiga porojo coz wao wanadhani tupo kwajili ya kuwasikiliza ebo hawajuwi hata kutafakari sisi ndio Tanzania kwanza bwana wana nchi badae na tutakufa na tanzania mengine badae yes na tanzania kwanza ulaya tutaenda baadaye sana kama balali!Huko ni kubwabwaja na porojo.
Eti wanataka katiba mpya nje ya bunge la katiba!
Amma kwa hakika Tanzania hakuna upinzani ni mchezo wa kuigiza.
Eti "huko ni kubwabwaja tu"Huko ni kubwabwaja na porojo.
Eti wanataka katiba mpya nje ya bunge la katiba!
Amma kwa hakika Tanzania hakuna upinzani ni mchezo wa kuigiza.
Mimi nilikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanamuamini sana mheshimiwa huyu hasa pale alipokuwa Spika wa Bunge la JMT. Lakini tangu ameteuliwa kuwa Spika wa BMK amekuwa mtu tofauti kabisa. Siwasemei wengine lakini kwangu mimi nadhani amepoteza hadhi ya kuwa kiongozi kwenye ngazi yoyote ile inayohusisha watu wenye mitazamo tofauti. Ameshindwa kubalance mitazamo na wala kukubali kukosolewa pale anapokoea. Nasikitika kusema rasmi nimejitoa kuwa shabiki wako kama kiongozi.
Kwani kuna ubaya gani jamaa anakokotoa mahesabu yake ya urais 2015? Mamvi alie tu ...