Hafai kabisa na kanishangaza sana mie nilidhani ni mpenda democracy kumbe ni walewale
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano. Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania .Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Labda rais mbabe, dictator ndo wa kutunyoosha.
Kwa kauli yako hii inamaana umekata tamaa upinzani kuchukua DOLA? Iweje umuwazie Sitta kuchukua urais 2015 wakati watu wanasema 2015 rais ni Padre Slaa.?Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano. Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania .Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Kwa kauli yako hii inamaana umekata tamaa upinzani kuchukua DOLA? Iweje umuwazie Sitta kuchukua urais 2015 wakati watu wanasema 2015 rais ni Padre Slaa.?
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari Mh Fenela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano. Spika sitta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila Mtanzania .Je akiwa Rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Sasa nimeanza kuielewa vizuri hotuba ya Prof. Kabudi juu ya tofauti kati ya -------- na MJINGA
Kwani hata asingelikuwa ameitoa, wewe ulitegemea anaweza kuwa rais 2015!??
MODS si sahihi kuondoa neno alilotumia Prof KABUDI ambalo mimi likiondoka uzi unakosa maana
Kabudi hakusema hilo neno na zaidi ya hiyo hilo si tusi ni hali ya akili ya binadamu.Waliliondoa kitambo, so andika kama hiv m.puumbavuu tutaelewa tu.
MODS si sahihi kuondoa neno alilotumia Prof KABUDI ambalo mimi nimelitumia, likiondoka uzi unakosa maana. Lets call a spade a spade and not a big spoon.
Mkuu kwani wewe unadhani ni kiongozi gani nchi hii ni mpenda Demokrasia either kutoka Chama tawala au Upinzani? Zote ni takataka tu tofauti ni harufu ya hizo takataka.
Siku nyingine andika hivi M.P.U.M.B.A.V.U hapo utakuwa umeipiga chenga ya kiuno system ya JF.