Hadi raha!! haya majambazi yatahangaika, yatoroga, yatajambajamba sana lakini 2015 ni mwaka wa UKOMBOZI mwaka Bwana alioutangaza wa ukombozi kwa WATZ!! UKAWA mbele kwa mbele!!
wataroga ili wawe wanawake au utaratibu ubadilishe?
Hadi raha!! haya majambazi yatahangaika, yatoroga, yatajambajamba sana lakini 2015 ni mwaka wa UKOMBOZI mwaka Bwana alioutangaza wa ukombozi kwa WATZ!! UKAWA mbele kwa mbele!!
Uspika ni tofauti na urais,naamini kamwe hawawezi kufanya hivyo,labda tu wanataka kutuletea Joys Banda mwingine,kumbuka kuns makabila ambayo hayakubali kutawaliwa na mwanamke,mfano wakurya na wamasai ni makabila yasiyoamini kwa wanawake,na hapa si kuweka mwanawake tu!hata ccm wakileta mzanzibar litakuwa ni pigo.Katika hali ya msuguano unaoendelea chini kwa chini ndani ya chama chakavu CCM, mbinu iliyotumika kumuengua mzee Sitta kugombea uspika kutumika kuwa mgombea urais awamu ya 5 awe mwanamke.
Je Membe, Wassira, January, Lowassa na Sitta watasubiri nafasi za kuteuliwa au watakuja kupitia CCJ? Et Migiro ndio anatajwa.
E8eee Mungu wapige na upofu wa kufanya maamuzi hayo ili kurahisisha chama teule toka mbinguni kushika dola.
Spika wa BMK ameishauri serikali kupitia kwa waziri wa habari mh.funela kuwashughulikia ITV kwa kuendesha mijadala na makongamano.spika sit ta amekereka kwa watu kutoa maoni yao kuhusu mchakato wa kuijadili rasimu ya katiba ambayo ni haki ya msingi kwa kila mtanzania .je akiwa rais ataruhusu demokrasia nchini kweli?
Mwisho wake wakufikiri kumbuka kauli ya Prof. Kabudi jana akimlinganisha na Kificho ambaye yeye ana Diploma tu ya sheria
hafai kabisa na kanishangaza sana mie nilidhani ni mpenda democracy kumbe ni walewale