Sitta kaharibu vibaya. Sasa hivi nahisi anajilaumu kwa kugombea nafasi hiyo.
Nimesoma gazeti la Mtanzania (hasimu wake) lilivyochekelea kuboronga kwake.
Lakini mbaya zaidi anataka kugombana na vyombo vya habari vya IPP vilivyompaisha sana kisiasa wakati wa harakati zao (feki) za mapambano dhidi ya ufisadi.
Mzee sitta,, step down vinginevyo utaingia kwenye kumbukumbu ya wasaliti wa taifa hili.