Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Sitta ni mnafiki nambari one, anatafuta umaarufu na huruma ya wananchi!
Shida ya watanzania ni moja tu.hatujui hata nani yuko nasi na nani hayuko nasi.mtakalia kusema sitta mnafiki siku mkija kugundua hakua mnafki mlikua mnawaamini ndo wanafki itakua too late.nawapenda sana watu wenye misimamo kama yake ni mtu ambae hatabiriki ukifanya kosa atakuumbua ukifanya vizur atakusifu.haawa ndo watu tunawataka kwenye hii nchi.otherwise kama mtamsifi jk anaekosa maamuzi kisa tu fulan ni rafiki yake.rabish
 
Shida ya watanzania ni moja tu.hatujui hata nani yuko nasi na nani hayuko nasi.mtakalia kusema sitta mnafiki siku mkija kugundua hakua mnafki mlikua mnawaamini ndo wanafki itakua too late.nawapenda sana watu wenye misimamo kama yake ni mtu ambae hatabiriki ukifanya kosa atakuumbua ukifanya vizur atakusifu.haawa ndo watu tunawataka kwenye hii nchi.

tupo pamoja sana hapa...
 
Sammy six ukweli utakuweka huru hata mbele za Mwenyezi Mungu, simama katika ukweli uliyoyaema ni kweli kabisa nasisi walalahoi tunayaona. Usiogope kufukuzwa CCM eti kwasababu umesema ukweli. Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti.
 
Source: dakika 45.
Kasema mafisadi ambao wako tayari kumtoa roho ndio waliobadili utaratibu wa uchaguzi wa spika.
Anasema walishindwa kushindana naye kwenye box la kura wakaamua kuweka kigezo cha jinsia.
My take: kama JK aliridhia naye ni fisadi
acha kujifanya hujui kwamba JK NI FISADI NAMBA MMOJA
 
bila shaka we ndio mnafiki, sitta ndio kiongozi pekee ndani ya ccm anaeweza kukemea ufisadi ndani ya chama chake hadharani na kwa uwazi zaidi. Unafiki wake ni nini? Hata kama yuko katika chama ambacho kimepoteza mvuto, nadhani tumtendee haki.
una akili za kushikiliwa
1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni
2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao
3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
4.ni sitta aliyeunga mkono posho
5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani
 
Sitta ni jembe lisilo pingika kama unbisha bac wewe si muelewa bora ukae kimya Simba Mzee
 
Butola mbona mishipa inakusimama akikuguswa Sitta? Mkuu Sitta ameamua kuungana na wananchi kupambana na adui yake Eddo na si ufisadi!!
 
una akili za kushikiliwa
1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni
2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao
3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
4.ni sitta aliyeunga mkono posho
5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani
Asante mdau! Huyo ndio Sitta original huyu Sitta anayepambana na eddo(si ufisadi!) ni feki.
 
mzee sitta bana yaani kumwamini yule mzee ni kazi kweli
 
huyu mzee siita na mwenzake aliyoko huko apolo mtu mzima mwakyembe ni watu wa ajabu sana......
 
Mwacheni aendelee kuwataja tu,hapo kwa Makinda tayari fisadi namba 1 ni JK.
 
Source: dakika 45.
Kasema mafisadi ambao wako tayari kumtoa roho ndio waliobadili utaratibu wa uchaguzi wa spika.
Anasema walishindwa kushindana naye kwenye box la kura wakaamua kuweka kigezo cha jinsia.
My take: kama JK aliridhia naye ni fisadi

Siyo kweli kama president aliridhia basi naye ni fisadi kwa sababu inawezekana kipengele cha jinsia kiliingizwa bila Rais kujulishwa lengo ni nini na yeye akaona ni suala la kawaida ukizingatia kweli moja ya jambo atakalokumbukwa nalo Rais Kikwete ni suala la Gender balance katika uongozi.
 
Mwacheni aendelee kuwataja tu,hapo kwa Makinda tayari fisadi namba 1 ni JK.

Hivi wewe ukimdanganya mumeo kuwa unakwenda sokoni , kumbe unakwenda kuchuna buzi, utakuwa anakokwenda kweli. Kama ni kweli spika aliwekwa na mafisadi siyo lazima Kikwete ajue kwa sababu wajumbe walikuwa wanatoa mawazo ya gender balance mbele ya Mwenyekiti kumbe wao walishajipanga kivingine. Acha chuki binafsi au unafikiri Kuwa mwenyekiti basi yeye ndo msemaji wa mwisho.
 
Naona waziri Sitta anatoa yaliyo moyoni kwake. Anaelezea alivyoshindwa uspika kwa kushindwa kulala mwanamme na kuamka mwanamke. Hicho ni kigezo kilichowekwa mahsusi kumuengua katika mbio za uspika!
Kipindi chenywew hakina mvuto.
 
Nimeona Highlight ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, nimeona Mzee Mnafiki Sitta akizungumza Maneno yanayoashiria kwamba Spika wa Bunge Anne Makinda aliwekwa Na Mafisadi walioamua Kubadilisha Masharti ya Uchaguzi ili Ashindwe.
Haeleweki yule jamaa. Anataka tu kumchafulia mama. Hivi asingeweza kuongelea kule bungeni hiyo issue mpaka aende kwenye press?
 
Butola mbona mishipa inakusimama akikuguswa Sitta? Mkuu Sitta ameamua kuungana na wananchi kupambana na adui yake Eddo na si ufisadi!!

Hilo nalo neno. Walifanya nini hawa jamaa, mbona wanatafutana sana kila kona?. Sasa kama ndo hivyo kwa nini anataka kumchafulia yule mama mkuu wa mjengo?
 
Wenye akili hawatajitaji majina kwenye vyombo vya habari, kwanza ni kinyume cha sheria za utangazaji, chambo chochote cha habari kilicho makini hakiruhusu hilo litokee, hivyo kama mtu mwenye akili ukizingatia haitaharibu ujumbe wako utataja tu in-abstract term na kuzungumzia maswala, lakini hivi kuna mtu leo hii bado hajui Sitta anapotaja mafisadi anamaanisha akina nani? kama yupo mtu kama huyo niseme tu karibu Tanzania..

..Hayo mengine naona unazidi tu kujivua nguo hadharani, kukaa kimya pia ni busara..
Tatizo la nchi hii kila kitu kinachakachuliwa, Si ajabu akiambiwa ataje atasema baadhi na wengine wakaachwa ikawa ni subset ya ile ya Slaa ndo maana watu wanapenda kusikia hiyo list yake imekamilika au ni pungufu?
 
una akili za kushikiliwa
1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni
2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao
3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
4.ni sitta aliyeunga mkono posho
5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani

Mkuu baelezeee. Sita huyu huyu ndiye aliyegeuza Ofisi ya Spika kuwa Urambo na kujenga Ofisi ya Spika jimboni utadhani angekuwa spika maisha yake yote yeye na uzao wake!!

Kwa Dowans/Richmond mimi nadhani anawajibika kwa kuwa aliingilia na kuwa mtendaji na kuamuru mkataba ufutwe matokeo yake ni tuzo ya mabilioni!!
 
Back
Top Bottom