Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

Ameumia sana roho huyu Sitta kushindwa na Mwanamke. Mfumo Dume.

Hivi huo uchaguzi wa spika wa Sitta na Makinda uuliompatia ushindi makinda ulifanyika lini??? Mimi sikumbuki uchaguzi huo bali kilichofanyika ni udikteta uliohujumu demokrasia kwa kuingiza mfumo wa mwanamke tu ndani ya chama.
 
Sitta kwa sasa ni kama "Black Mamba" aliyejeruhiwa anajuwa kuwa ama kupona ama kufa na kama ni kifo basi kiwe cha wengi.

Kumbuka, wadhifa wa Uspika wa Bunge ni mkubwa sana katika Tanzania, hata Waziri Mkuu haufiki, ni mhimili mmoja wa Dola kati ya mitatu. Inauma sana kutolewa uspika ukapewa uwaziri. Lazima ajitutumuwe, nna kuhakikishia yumo katika system lakini kwa sasa ni nani zaidi? hakuna.

Msaada tutani!! Mwenzenu huwa simuelewi huyu mama!!
 
Mheshimiwa Sitta, tunakubali hoja zako lakini kusema kuwa hauko tayari kuhama chama sikubali hoja hiyo. Kama umeamua kusema ubaya wa chama na viongozi wake, na kwa kuwa hawataki kubadilika, adhabu kwao ni kuhama nchama. Karibu CDM
 
Hivi huo uchaguzi wa spika wa Sitta na Makinda uuliompatia ushindi makinda ulifanyika lini??? Mimi sikumbuki uchaguzi huo bali kilichofanyika ni udikteta uliohujumu demokrasia kwa kuingiza mfumo wa mwanamke tu ndani ya chama.

Hapo sasa ndio pazuri, mwanamke alliyeshinda mbinu na hila za mfumo dume akaingia kwenye uspika bila kura. Huoni ni "tough" huyo? Jaribu wewe uone, hata pakuanzia sijui kama utapajuwa.
 
Msaada tutani!! Mwenzenu huwa simuelewi huyu mama!!

Wewe mwenyewe ni Mr. Zero, unategemea kunielewa kweli? hata mimi sitegemei kuwa unanielewa au kama itatokea kunielewa, I do not expect that from Zero.
 
Back
Top Bottom