FIKRA MBADALA
Senior Member
- Jun 30, 2008
- 167
- 16
kikwete fanya maamuzi magumu fukuza sitaaaaaaaaaa you lose nothing anakibomoa chama huku hataki kutoka? mtoe nje akaanzishe CCJ part 2
Bila shaka we ndio mnafiki, Sitta ndio kiongozi pekee ndani ya CCM anaeweza kukemea ufisadi ndani ya chama chake hadharani na kwa uwazi zaidi. unafiki wake ni nini? hata kama yuko katika chama ambacho kimepoteza mvuto, nadhani tumtendee haki.
I concur with your observation and conclusionWalio muweka makinda ndio walio muweka sita, hapo vipi? concln na yeye aliweka na kutolewa na mafisadi. Sasa basi aliyekuwa rafiki wa mafisadi naye ni fisadi.
All of the above are trueSitta kapatwa na kiwewew au kanusa wanataka kumfukuza
Huu siyo muda wa kutafuta ujiko kwa kukemea ufisadi hadharani, tunahitaji hao mafisadi wachukuliwe hatua za kisheria. Sitta anatumiwa na Kikwete ili watu waone kuwa CCM bado kuna watu wenye uchungu. Huwezi ukawa na kadi ya CCM halafu ujifanye unachukia ufisadi, hii ni sawa na kuwa Mkristo lakini humpendi Yesu Kristo.
tatizo la Sitta ni unafiki.Gazeti lisipomsifia anasema limenunuliwa na Mafisadi.Mbona Raia mwema linapamba kundi lake kila toleo?
Bila shaka we ndio mnafiki, Sitta ndio kiongozi pekee ndani ya CCM anaeweza kukemea ufisadi ndani ya chama chake hadharani na kwa uwazi zaidi. unafiki wake ni nini? hata kama yuko katika chama ambacho kimepoteza mvuto, nadhani tumtendee haki.
Nimeona Highlight ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, nimeona Mzee Mnafiki Sitta akizungumza Maneno yanayoashiria kwamba Spika wa Bunge Anne Makinda aliwekwa Na Mafisadi walioamua Kubadilisha Masharti ya Uchaguzi ili Ashindwe.
naondoka kuendlea na shughuli zangu mzeee hana jipya hajaeleza kwa nini hataki kutoka kwenye nyumba ya spika
Sitta kapatwa na kiwewew au kanusa wanataka kumfukuza
Sitta ni mnafiki nambari one, anatafuta umaarufu na huruma ya wananchi!
Source: dakika 45.
Kasema mafisadi ambao wako tayari kumtoa roho ndio waliobadili utaratibu wa uchaguzi wa spika.
Anasema walishindwa kushindana naye kwenye box la kura wakaamua kuweka kigezo cha jinsia.
My take: kama JK aliridhia naye ni fisadi
Mshauri awataje majina hao mafisadi, kwanini anamung'unya maneno? Ujasiri ni kutoa list yake ya mafisadi kama ile iliyotolewa Mwembeyanga. Unajua kwanini hathubutu kuwataja kwa majina? kwa sababu hao anaodai ni mafisadi wana rekodi yake full mkoko! Kumbuka hata Sitta uspika alipewa na hao anaodai ni mafisadi. Ni Rostam ndiye aliyesuka mpango Sitta awe Spika ili EL apewe U-PM, ambao Sitta bado unamtesa hadi leo!
Kwa mfuatiliaji yeyote anajua jinsi Mwanahalisi lilivyobadili mtazamo katika mapambano dhidi ya ufisadi, sio kama zamani tena. tafuta humu JF hili swala la mwanahalisi kununuliwa na mafisadi liliongelewa sana. Sitta ni mpambanaji anaefaa kuendelea kuwepo ccm ili kundi lake la wapambanaji wa ufisadi lisife ili mafisadi (ccm bila sita) wasipate nafasi ya kuelekeza nguvu zote katika kubomoa upinzani (kazi ambayo sio ngumu kwa wenye fedha)
Taifa lenye nguvu liombee vita ya wenyewe kwa wenyewe